inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Mawaziri wa nchi iliyoua Mungu wakoKumbe wale waliotafunwa vichogo jana walikua na ulinzi hafifu au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawaziri wa nchi iliyoua Mungu wakoKumbe wale waliotafunwa vichogo jana walikua na ulinzi hafifu au
Mungu hawezi kubariki magaidi labda useme allah bariki HezbollahMungu bariki Hezbollah...
Hivi kile kijikesi uchwara Chao kiliishaje?Haya ndio mambo nitakayo ila isiwe mkwala mbuzi.
NB: South Africa aandae mafaili mengine ya kwenda The Hague kuishtaki Israel kwa genocide.
Huyu mkuu wa magaidi inapaswa nae aliwe kichwa tumechoka na matisho yakeWadau hamjamboni nyote?
Kumekucha na amri imeshatolewa kwa magaidi kuanza kuichakaza Israel kesho kulipa kisasi mauaji ya Ismael haniyeh
Muda wa mashambuluzi ni baada ya maziko ya Ismael haniyeh/ sala ya ijumaa, hivyo ni takribani kuanzia saa 7 mchana na kuendelea kwa saa za kwetu Afrika Mashariki
Mungu ibariki Israel
Taarifa kamili hapo chini:
Nasrallah said he had ordered Hezbollah forces in southern Lebanon to curb the fighting on Wednesday and Thursday but that they would resume with higher intensity on Friday, reiterating that the only way to end the war on the Lebanese front was for Israel to stop its “aggression
View attachment 3058915
Eeenh we jamaa inaonekana unajua mambo mengi sana ,kumbe kuna Mungu alikufa?Mawaziri wa nchi iliyoua Mungu wako
Dr anaongea akiwa shimo lipiWadau hamjamboni nyote?
Kumekucha na amri imeshatolewa kwa magaidi kuanza kuichakaza Israel kesho kulipa kisasi mauaji ya Ismael haniyeh
Muda wa mashambuluzi ni baada ya maziko ya Ismael haniyeh/ sala ya ijumaa, hivyo ni takribani kuanzia saa 7 mchana na kuendelea kwa saa za kwetu Afrika Mashariki
Mungu ibariki Israel
Taarifa kamili hapo chini:
Nasrallah said he had ordered Hezbollah forces in southern Lebanon to curb the fighting on Wednesday and Thursday but that they would resume with higher intensity on Friday, reiterating that the only way to end the war on the Lebanese front was for Israel to stop its “aggression
View attachment 3058915
Hana tofauti na Mbowe!Ukute huyo Nasr allah anaongea akiwa shimoni. Aende front akapigane
Mbowe ameingiaje hapa wewe kobaziHana tofauti na Mbowe!
Hassan Nasrallah Kasoma usikute kuliko ukoo wako mzima.Hilo neno Dokta siku hizi linatumiwa vibaya sana haya tuambie huyo jamaa ni Dokta wa nini? vilipuzi ama? Mimi ninachojua huyo ni Sheikh tu hana tofauti na Sheikh Ponda/ Mwaipopo.
Tulia wewe kocho, tuliza mshono, soma tena post ya niliyemjibu utajua Mbowe anaingiaje hapo!Mbowe ameingiaje hapa wewe kobazi
Netanyau alishaapa magaid yote atayawahisha jehanamu wakapambe na bikra 72 mapema kabla jogoo kuwika
Pambanen na hali zenu
Nilitegemea ungeandika hicho alichosomea badala yake unaanza kutoa mawaidha, peleka masjid mkuu hapa sio mahala pake.Hassan Nasrallah Kasoma usikute kuliko ukoo wako mzima.
Hao mashia elimu ni jambo la kwanza.
Kuna hadi wahandisi humo Hizbollah