Pre GE2025 Mkuu wa Majeshi: Baadhi ya Wakimbizi wamepewa teuzi Serikalini katika nafasi zenye maamuzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kingine CDF kuna gepu ameacha wazi angetaja na majina hata mawili matatu km mfano wa hao waliopenyezwa huko kwenye idara nyeti kwamba huyu hapa raia wa Somalia Ila kapachikwa TISS anafanya nini kule na kapewa mafaili yote nyeti yanayotuhusu kwanini?
Moto ungewaka pale
 
Binafsi ningefurahi sana kupata kauli kutoka kwa viongozi hawa, ndugu Mrefu, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Geita, na mbunge wa Geita Vijijini, ndugu Joseph Musukuma Kasheku.

Watoe kauli yao kuhusu maneno ya Mkuu wa Majeshi kwamba kuna watu wako kwenye nafasi za maamuzi ambao si watanzania.

Kauli yao itanifanya nifunguke mambo mengi hapa JF
 
Asingeweza kumtaja kwa sababu alikuwepo palepale kwenye ukumbi. Ingeleta taharuki.
 
Haya ndio maswala siyo ule utoto utoto wa kukumbusha majonzi kwa Wapendwa wa marehemu
 
Binafsi ningefurahi sana kupata kauli kutoka kwa viongozi hawa, ndugu Mrefu, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Geita, na mbunge wa Geita Vijijini, ndugu Joseph Musukuma Kasheku.

Watoe kauli yao kuhusu maneno ya Mkuu wa Majeshi kwamba kuna watu wako kwenye nafasi za maamuzi ambao si watanzania.

Kauli yao itanifanya nifunguke mambo mengi hapa JF
Atoe kauli kwani yeye ni raia wa nchi hii?

Geita asilimia 75 ya wakazi wa pale sio Watanzania ndo mana ni ukatili kwenda mbele
 
Binafsi ningefurahi sana kupata kauli kutoka kwa viongozi hawa, ndugu Mrefu, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Geita, na mbunge wa Geita Vijijini, ndugu Joseph Musukuma Kasheku.

Watoe kauli yao kuhusu maneno ya Mkuu wa Majeshi kwamba kuna watu wako kwenye nafasi za maamuzi ambao si watanzania.

Kauli yao itanifanya nifunguke mambo mengi hapa JF
maana yake wewe huna maoni 🐒
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda unaofanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Januari, 2024
CDF: VIJANA WETU WA MIAKA 15 HADI 35 WANALENGWA NA WANA MTANDAO WA UGAIDI
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob John Mkunda amesema hali ya ulinzi na usalama ni shwari licha ya uwepo wa matukio ya kigaidi na itikadi kali na kuwa kuna vijana wanaochukuliwa na kwenda kujiunga kwenye makundi ya Kigaidi Nchini DR Congo, Msumbiji na Somalia.

Amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anashiriki kwenye Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda unaofanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge Jijini Dar es Salaam, leo Januari 22, 2024.

CDF: BAADHI YA WAKIMBIZI WAMEPEWA TEUZI SERIKALINI KATIKA NAFASI ZENYE MAAMUZI
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob John Mkunda amesema kuanzia Januari Mosi, 2023 hadi Desemba 31, 2023 jumla ya Waomba Hifadhi 138,149 walipokelewa Nchini Tanzania.

Ameongeza kuwa imebainika baadhi ya Waomba Hifadhi au Wakimbizi au familia zao wameteuliwa Serikalini katika nafasi zenye maamuzi.

Amesema hayo katika Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda unaofanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge Jijini Dar es Salaam, leo Januari 22, 2024.

RAIS SAMIA: JESHI LIWE TAYARI KUKABILIANA NA CHOCHOTE KITAKACHOJITOKEZA
Rais Samia Suluhu amesema "Ombi langu kwenu (JWTZ) ni kwamba Mwaka huu (2024) na Mwakani (2025) tunatarajia kuwa na chaguzi na hapa ndipo usalama mkubwa ndani ya nchi unapotakiwa kuangaliwa kwa ukaribu zaidi, niwaombe sana Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwenye Kamandi zenu tofauti kujipanga kwa ajili hii.”

Amesema hayo katika Mkutano wa Saba wa Mkuu wa Majeshi-CDF na Makamanda wa Mwaka 2023 Jijini Dar es Salaam, leo Januari 22, 2024.

Ameongeza “Ni chaguzi zinazoshirikisha vyama vingi vyenye nia tofauti, hatuoni kwamba kila kitu kitaenda kama kilivyopangwa, ni vyema tukakaa tayari kukabiliana na chochote kile kitakachojitokeza."

sasa kwani ni nchi gani ina tabia ya kunusanusa mataifa jirani!!!!!"ipo siku kitaeleweka tu!!
 
Binafsi ningefurahi sana kupata kauli kutoka kwa viongozi hawa, ndugu Mrefu, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Geita, na mbunge wa Geita Vijijini, ndugu Joseph Musukuma Kasheku.

Watoe kauli yao kuhusu maneno ya Mkuu wa Majeshi kwamba kuna watu wako kwenye nafasi za maamuzi ambao si watanzania.

Kauli yao itanifanya nifunguke mambo mengi hapa JF
Haaaahaaa...warundi? Au wasukuma? Au vyote viwili? Au vyote haviwahusu?
 
Huyu Mrefu ni Mnyarwanda, na ndiye Mwenyekiti wa Wanyarwanda wa ukanda huo. Wakati wa vita vya Rwanda, miaka ya tisini, yeye alikuwa anazunguka kuchangisha michango kwa wanyarwanda huko Buziku na kwingine, apeleke kusaidia RPF. Bahati mbaya ndugu Mrefu ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Geita

Akina Salama, diwani wa Buziku wana mtandao mkubwa huko.
 
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob John Mkunda amesema
CDF: BAADHI YA WAKIMBIZI WAMEPEWA TEUZI SERIKALINI KATIKA NAFASI ZENYE MAAMUZI
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob John Mkunda amesema kuanzia Januari Mosi, 2023 hadi Desemba 31, 2023 jumla ya Waomba Hifadhi 138,149 walipokelewa Nchini Tanzania.

Ameongeza kuwa imebainika baadhi ya Waomba Hifadhi au Wakimbizi au familia zao wameteuliwa Serikalini katika nafasi zenye maamuzi.
Niliwahi kusema kitu humu, Ili kuepuka possibility ya kutawaliwa na wageni, kuna haja kutumia DNA kuthibitisha asili halisi za viongozi wetu wakuu? nilishutumiwa sana humu, lakini leo kuongea CDF, ndio watu mnaanza kujiuliza ni kina nani?!.
P
 
Kwani mlipoivamia Zanzibar na kuleta watu wa Tanganyika mlikuwa mkiona raha huku mki enjoy ngawira yenu. Mumetuwekea mpaka Raisi kutoka Mkuranga bila kufuata katiba. matokeo yake Karma inaanza kuwatandika . Mtatawaliwa na kila mtu , kwani hao si waafrika wenzenu au vipi tena leo ?? Mkuki kwa nguruwe tu ??
 
Back
Top Bottom