Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hofu yangu ni kwamba majigambo yake yanaweza kuwaudhi maafisa vijana wenzake na hata wazee wazoefu na wenye nguvu humo humo UPDF ambao pia wanaweza kupanga mapinduzi na ikasababisha hali mbaya zaidi uganda 🐒ukiona mambo kama hayo yanatokea na raia wapo kimya ujue hakuna mbada wake kungekuwa na mbadala wake raia wangeshafanya maamuzi magumu
Nyinyi kina nani tena gentleman?Hakuna demokrasia hapa mkuu,,, ni uhuni wa watu wachache,,,,, tofauti yetu na Uganda ni kwamba Museveni anatumia jeshi moja kwa moja kukaaa madarakani,,,, ila nyie mnatumia indirect….kwa kuiba na kutisha watu.
Nyie wana SISIEMUNyinyi kina nani tena gentleman?
eleza kwa kina kifupi kidogo kwa faida ya wadau 🐒
Yuko sahihi bora waafrica tuongozwe kwanza na wanajeshi hadi wanasiasa wapate akili ,waache kuahirisha kufikiri kizalendo, kama burkina faso ndiyo mfano mzuri kwasasaC&P
Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza rasmi kuwa hatagombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2026, isipokuwa ataelekeza nguvu zake jeshini huku akimuunga mkono baba yake, Rais Yoweri Museveni, ambaye anatarajiwa kugombea tena urais mwaka huo.
Kupitia akaunti yake rasmi ya mtandao wa X, Muhoozi ameeeleza kuwa Mungu alimwelekeza aelekeze nguvu zake kwenye jeshi ili kuwalinda raia wa Uganda.
"Ningependa kutangaza kuwa sitakuwa kwenye karatasi ya kura mwaka wa 2026. Mwenyezi Mungu aliniambia nijikite kwanza kwenye Jeshi lake. Kwa hivyo, namuunga mkono kabisa Rais Yoweri Museveni katika uchaguzi ujao", ameeleza Gen. Muhoozi.
Katika taarifa yake, Muhoozi ameonekana kuweka wazi kuwa ataendelea kutumikia kama Mkuu wa Majeshi akisema kuwa hakuna kitu kitakatifu zaidi hapa duniani kuliko Jeshi la wananchi wa Uganda (UPDF).
"Kwa hiyo, siwezi kufikiria heshima kubwa zaidi kuliko kuwa sehemu ya UPDF. Ni ardhi takatifu!! Mungu ibariki UPDF takatifu na Uganda yenye baraka milele”, alisema Muhoozi.
Rais Yoweri Museveni (80) ambaye anatarajiwa kugombea tena urais mwaka 2026, alichaguliwa tena kwa muhula wa sita mwaka 2021, baada ya kuwa madarakani tangu mwaka 1986.
Licha ya tangazo hili, haijulikani kwa nini Muhoozi alibadili uamuzi wake wa kugombea urais, jambo ambalo limewashangaza mashabiki wake wengi waliokuwa tayari kuanza kampeni za kumuunga mkono.
Mwaka 2023, Muhoozi alitangaza nia yake ya kugombea urais mwaka 2026 akisisitiza kuwa ni wakati wa kizazi kipya kuchukua hatamu za uongozi kwa kuwapumzisha wazee.
"Kwa jina la Yesu Kristo Mungu wangu, kwa jina la vijana wote wa Uganda na dunia, na kwa jina la mapinduzi yetu makubwa, nitasimama kugombea urais mwaka 2026”, ameandika Muhoozi.
Uchaguzi wa mwaka 2026 unatarajiwa kuvutia wagombea mashuhuri kama mwanamuziki aliyegeuka mwanasiasa, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, na Dk. Kizza Besigye, hata hivyo kauli nyingine ya Muhoozi huenda ikabadili mwelekeo wa siasa za Uganda.
Amesema kuwa kamwe vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Uganda havitaruhusu raia kushika madaraka ya Urais pindi baba yake atakapoamua kutokugombea.
"Hakuna raia atakayeongoza Uganda baada ya Rais Museveni. Vikosi vya usalama havitaruhusu hilo. Kiongozi ajaye atakuwa mwanajeshi au polisi", Gen Muhozi Kainerugaba aliandika hivyo kwenye ukrasa wake wa X , hapo majuzi.
Je, kwamba utawala wa kiraia ni ndoto ya mchana Uganda?
Au anahamasisha ujasiri kwa vijana majeshini kujiandaa kuchukua hatamu za uongozi wa kisiasa kwa muda muafaka, au ni maandalizi ya mapinduzi ya kidemokrasia Africa mashariki?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Jitahidi unavo andika maada mtandaoniC&P

Kama siyo kifo cjui hata sisi leo tungekuwa wapiC&P

sawa umewabeza wanasiasa ni uhuru na haki yako ya kutoa maoni,Yuko sahihi bora waafrica tuongozwe kwanza na wanajeshi hadi wanasiasa wapate akili ,waache kuahirisha kufikiri kizalendo
Kwani hapo kuna tofauti ipi na CCM ya TZ? Si huwa mnabadirisha magarasha tu; wote Sawa tu, Africa ni laanaC&P
Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza rasmi kuwa hatagombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2026, isipokuwa ataelekeza nguvu zake jeshini huku akimuunga mkono baba yake, Rais Yoweri Museveni, ambaye anatarajiwa kugombea tena urais mwaka huo.
Kupitia akaunti yake rasmi ya mtandao wa X, Muhoozi ameeeleza kuwa Mungu alimwelekeza aelekeze nguvu zake kwenye jeshi ili kuwalinda raia wa Uganda.
"Ningependa kutangaza kuwa sitakuwa kwenye karatasi ya kura mwaka wa 2026. Mwenyezi Mungu aliniambia nijikite kwanza kwenye Jeshi lake. Kwa hivyo, namuunga mkono kabisa Rais Yoweri Museveni katika uchaguzi ujao", ameeleza Gen. Muhoozi.
Katika taarifa yake, Muhoozi ameonekana kuweka wazi kuwa ataendelea kutumikia kama Mkuu wa Majeshi akisema kuwa hakuna kitu kitakatifu zaidi hapa duniani kuliko Jeshi la wananchi wa Uganda (UPDF).
"Kwa hiyo, siwezi kufikiria heshima kubwa zaidi kuliko kuwa sehemu ya UPDF. Ni ardhi takatifu!! Mungu ibariki UPDF takatifu na Uganda yenye baraka milele”, alisema Muhoozi.
Rais Yoweri Museveni (80) ambaye anatarajiwa kugombea tena urais mwaka 2026, alichaguliwa tena kwa muhula wa sita mwaka 2021, baada ya kuwa madarakani tangu mwaka 1986.
Licha ya tangazo hili, haijulikani kwa nini Muhoozi alibadili uamuzi wake wa kugombea urais, jambo ambalo limewashangaza mashabiki wake wengi waliokuwa tayari kuanza kampeni za kumuunga mkono.
Mwaka 2023, Muhoozi alitangaza nia yake ya kugombea urais mwaka 2026 akisisitiza kuwa ni wakati wa kizazi kipya kuchukua hatamu za uongozi kwa kuwapumzisha wazee.
"Kwa jina la Yesu Kristo Mungu wangu, kwa jina la vijana wote wa Uganda na dunia, na kwa jina la mapinduzi yetu makubwa, nitasimama kugombea urais mwaka 2026”, ameandika Muhoozi.
Uchaguzi wa mwaka 2026 unatarajiwa kuvutia wagombea mashuhuri kama mwanamuziki aliyegeuka mwanasiasa, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, na Dk. Kizza Besigye, hata hivyo kauli nyingine ya Muhoozi huenda ikabadili mwelekeo wa siasa za Uganda.
Amesema kuwa kamwe vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Uganda havitaruhusu raia kushika madaraka ya Urais pindi baba yake atakapoamua kutokugombea.
"Hakuna raia atakayeongoza Uganda baada ya Rais Museveni. Vikosi vya usalama havitaruhusu hilo. Kiongozi ajaye atakuwa mwanajeshi au polisi", Gen Muhozi Kainerugaba aliandika hivyo kwenye ukrasa wake wa X , hapo majuzi.
Je, kwamba utawala wa kiraia ni ndoto ya mchana Uganda?
Au anahamasisha ujasiri kwa vijana majeshini kujiandaa kuchukua hatamu za uongozi wa kisiasa kwa muda muafaka, au ni maandalizi ya mapinduzi ya kidemokrasia Africa mashariki?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Sawa...kuna hotuba yake moja alisema ilikumtoa na wao waingiendiyo,
ni sawa. Lakini kuna haja ya vitisho na kujiapiza kwamba hakuna raia au polisi ataingoza Uganda?
huko si kuwaamsha sasa ili wajitokeze kijeshi kutoka humo humo ndani anapopadharau?🐒
huko si kuamsha hasira, tamaa na ubabe ndani ya Majeshi ya Uganda?
Wapo generals wenye sifa na uwezo dhidi yake huenda wamejiskia vibaya sana 🐒
Huyu Generali yuko vizuri kichwani amesomea mambo mengi wewe Google tu kuhusu yeye, alipelekwa kusoma shule nzuriJitahidi unavo andika maada mtandaoni
Ambatanisha
1.Picha
2.chanzo cha habari
3.Ushahidi au nukuu
Usiandike tu kama kijana wa mparange aliyeokota simu
Hana busara kabisa na staha ya mdomo wake. Si unakumbuka dharau zake kwa Nchi na jeshi la Kenya mpaka ikabidi baba yake aombe msamaha kwa wakenya.dah,
jamaa ana kiburi, halafu ni mjeuri mbaya sana dah!
dah,

Basi shule itakua imemuharibu sana, amejaa akili mingi mno, mpaka sasa upeo, Ufahamu na uelewa wake umekua wa kupindukia, na inaonekana upeo huo unamrejesha utotoni kifikra kwasababu maoni yake yaliyojaa, majivuno, kiburi na jeuri yanaamsha hasira za raia na vijana kwa wazee wenye nia nadhamira ya dhati ya kuona Uganda yenye utawala wa kiraia unasonga mbele kwa mipango madhubuti ya maendeleo na sio majivuno na majigambo mtu fulani 🐒Huyu Generali yuko vizuri kichwani amesomea mambo mengi wewe Google tu kuhusu yeye, alipelekwa kusoma shule nzuri
Yes,Hana busara kabisa na staha ya mdomo wake. Si unakumbuka dharau zake kwa Nchi na jeshi la Kenya mpaka ikabidi baba yake aombe msamaha kwa wakenya.