Mkuu wa Majeshi ya Israel akiri kushindwa na Hamas

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Allahu Akbar.

Mkuu wa majeshi ya Israel kwa kauli yake mwenyewe, amekiri kushindwa vita na Hamas.

Israel imethibitisha kuwa imeshindwa kufikia malengo yake ya vita katika Ukanda wa Gaza wakati waasi wa IDF wakijiondoa kutoka sehemu kubwa ya eneo la Palestina baada ya mapigano ya miezi kadhaa. Mkuu wa majeshi, Luteni Jenerali Herzi Halevi amesema malengo hayo bado hayajafikiwa kikamilifu katika Ukanda wa Gaza na hiyo ni pamoja na kurejea kwa mateka wote, kurejea kwa wakaazi wote wa kaskazini na kusini katika makazi yao kwa usalama, na kusambaratisha Hamas katika Ukanda mzima wa Gaza. Tazama video kwa zaidi. HABARI ZA KIMATAIFA

View: https://youtu.be/x9VSIMjK2Ho?si=CWTf6IY4PcFXgCpm
 
IDD njema kwako na familia yako,wakumbuke pia wahanga wa vita pale south Sudan 🇸🇸,DRC (tumepoteza wapiganaji wetu hivi karibuni),na border yetu na Mozambique 🇲🇿,ALLAH awape wepesi ili na Wao wishing maisha ya kawaida
Sina taarifa hizo.

Taarifa ziambatane na ushahidi.
 
malengo hayo bado hayajafikiwa kikamilifu au kushindwa na Hamas hatujakuelewa mara useme IDF inaondoka kwa kichapo ivi kati ya Palestine na Israel nani kapoteza hadi sasa maana hao Hamas walivyopiga October 7 waliua raia na wanajeshi kadhaa wakakimbia kujificha.. Israel imelipiza mara dufu sasa nani kala kichapo hapo kwa taarifa IDF inajiandaa kwa war front zingine
 
Kama hujaelewa siyo tatizo langu, ni shule ulienda kusomea ujinga.
 
Allahu Akbar.

Mkuu wa majeshi ya Israel kwa kauli yake mwenyewe, amekiri kushindwa vita na Hamas.

Israel imethibitisha kuwa imeshindwa kufikia malengo yake ya vita katika Ukanda wa Gaza wakati waasi wa IDF wakijiondoa kutoka sehemu kubwa ya eneo la Palestina baada ya mapigano ya miezi kadhaa. Mkuu wa majeshi, Luteni Jenerali Herzi Halevi amesema malengo hayo bado hayajafikiwa kikamilifu katika Ukanda wa Gaza na hiyo ni pamoja na kurejea kwa mateka wote, kurejea kwa wakaazi wote wa kaskazini na kusini katika makazi yao kwa usalama, na kusambaratisha Hamas katika Ukanda mzima wa Gaza. Tazama video kwa zaidi. HABARI ZA KIMATAIFA

View: https://youtu.be/x9VSIMjK2Ho?si=CWTf6IY4PcFXgCpm

Hamas ni Wanaume
 
Faiza uongo utaacha lini? hivi kama unadanganya kwa vitu ambavyo vinaonekana, je utakuwa umedanganya vitu vingapi ambavyo havionekani.
Unaonesha umeumizwa aana na hii habari mpaka kichwa chako hakitaki kuuamini ukweli.
ahicho chanzo ni marafiki wa mazayuni

Hata kilichopo kwenye video clip hukielewi?

Nafahamu tatizo lako ni shule tu, hakuna zaidi.
 
Idd njema

IDF kushindwa na hamas hilo waachie wanaopigana,
 
Mara imeshindwa vita; mara haijafikia malengo which is which? Hizo ni scenarios mbili tofauti na sahihi ni hiyo ya pili.
 
Maneno ya jenerali mkuu wa majeshi ya mazayuni hayo, si yangu.
 
Back
Top Bottom