Mkuu wa Mkoa Amos Makalla ana mkosi au kuna nini? Mbona masoko yanaungua sana?

Mkuu wa Mkoa Amos Makalla ana mkosi au kuna nini? Mbona masoko yanaungua sana?

Kuunguwa Kwa solo la mitumba karume limefanya nifikilie mambo mengi mpaka jibu sina,kumbuka huyu bwana alipokuwa mbeya mwendo wa kuwaka moto masoko ilikuwa shida sasa naona imeamia dsm.Sasa huyu mkuu anamkosi au kuna namna?

kuunguwa --- kuungua
solo --- soko
karume --- Karume
nifikilie --- nifikirie
mbeya --- Mbeya
imeamia --- imehamia
dsm --- Dsm
 
Wanyetshaji wanakwambia yeye pekee ndio huweza ifanya kazi hiyo kwa ufanisi..
Nyie si wabishi.
Au usikute ndiyo hivyo wanatafsiri kivitendo ile kauli ya Bi Mikopo: ^Kila mbuzi ale kadiri ya urefu wa kamba yake.^
 
Kuunguwa Kwa solo la mitumba karume limefanya nifikilie mambo mengi mpaka jibu sina,kumbuka huyu bwana alipokuwa mbeya mwendo wa kuwaka moto masoko ilikuwa shida sasa naona imeamia dsm.Sasa huyu mkuu anamkosi au kuna namna?
Alifukuzwa kazi na meco huyo
 
Kuungua kwa soko la Mitumba Karume limefanya nifikirie mambo mengi mpaka jibu sina, kumbuka huyu bwana alipokuwa Mbeya mwendo wa kuwaka moto masoko, ilikuwa shida sasa naona imehamia DSM. Sasa huyu mkuu ana mkosi au kuna namna?
Kichwa panzi huyu anadamu ya moto!
 
Kuungua kwa soko la Mitumba Karume limefanya nifikirie mambo mengi mpaka jibu sina, kumbuka huyu bwana alipokuwa Mbeya mwendo wa kuwaka moto masoko, ilikuwa shida sasa naona imehamia DSM. Sasa huyu mkuu ana mkosi au kuna namna?
Anaujua ukweli wote. Anafanya kazi yake ipasavyo.
 
Hii kitu inaonekana kama ni planned ili kufanyike uboreshaji ukiangalia interval ya mambo yanavyo tokea namna yanavyotokea kwa akili ya kawaida tu unaweza hisi kitu tuachilie mbali watakaofanya uchunguzi n.k !! Hii trend inaweza kusaidia kukawa na maboresho ama ikaua kabisa kile kitu kilichokuepo.
 
Hebu wajaribu kumhamishia kwingine tuone akichoma Moto Tena basi aachane na uteuzi aendelee na ndumba zake
 
Back
Top Bottom