Mkuu wa Mkoa Amos Makalla ana mkosi au kuna nini? Mbona masoko yanaungua sana?

Kuungua kwa soko la Mitumba Karume limefanya nifikirie mambo mengi mpaka jibu sina, kumbuka huyu bwana alipokuwa Mbeya mwendo wa kuwaka moto masoko, ilikuwa shida sasa naona imehamia DSM. Sasa huyu mkuu ana mkosi au kuna namna?
BASHITE ndio mpanga
 
Yule mtu alifukuzwa kazi na Magufuli. Mama akiambiwa kitu hasikii!. Mama anataka masoko yote yaungue?
Lissu ameongea kidogo tu kuhusu madeni,yule mtu kahamaki. Sasa amehamaki nini?
Lakini,come again,sijaipata hii. Unasema soko la Karume limeungua? Wapi? Pale wanapopanda mabasi ya Gongs na Chanika?
Yule anaongea carelessly.
Yule mtu amelisafisha Jiji,limekuwa safi. Wamachinga wanamshukuru sasa.
 
Kama aliweza waondoa machinga huku anakunywa soda hiyo Kazi ashindwi
Machinga wapo na hakuna chinga aliyeondolewa popote , yule makala ni mropokaji tu anaongea kumfurahisha mama ila hakuna machinga aliyemuondoa hapa Dar ... niambie kawaondia machinga wa sehem gan hapa dar?
 
Mwenge mkuu na vibanda barabaran au naona tofauti na uonavyo ww mkuu wangu
 
Kuungua kwa masoko ni kitu Cha kawaida hasa pale wanapoongezeka wafanyabiashara wapya kwenye soko.

Fikiria hii pwani miaka kadhaa nyuma ilijaa wafanyabiashara wachaga, wahindi, waarabu na wengine kwa uchache.

Sasa hivi wamekuja watu wa nyanda za juu kusini hasa Wakinga, Nyakyusa na Wabena sasa masoko lazima yaungue Ili waweze kuingia sokoni.

Wengi hamtanielewa hii
 
Machinga wapo na hakuna chinga aliyeondolewa popote , yule makala ni mropokaji tu anaongea kumfurahisha mama ila hakuna machinga aliyemuondoa hapa Dar ... niambie kawaondia machinga wa sehem gan hapa dar?
Congo, Sijafika Dar es Salaam kitambo.
 
Kuungua kwa soko la Mitumba Karume limefanya nifikirie mambo mengi mpaka jibu sina, kumbuka huyu bwana alipokuwa Mbeya mwendo wa kuwaka moto masoko, ilikuwa shida sasa naona imehamia DSM. Sasa huyu mkuu ana mkosi au kuna namna?
Hahahahah ana nyota ya moto
 
Chonde chonde Watu wa Usalama... Polisi na Serikal kwa Ujumla. Angalau muwe mnatujulisha kabla haya masomo hayajaungua.

Tunajua jinsi ambavyo huwa mnapata taarifa za kiintelejensia. Taarifa hizo zitumike kitujulisha soko lifuatalo kuungua. Je inawezekana kuwa ni Buguruni? Au itakuwa wapi?

Tunakumbuka iliundwa kamati kufuatilia chanzo cha moto kariakoo. Nadhani bado inafuatilia au imesahau kutupa majibu. Anyway ...hayo tuachane nayo. Sisi watanzania tushasahau kwanza.

Nashauri... Linapokaribia soko lingine kuungua mtujulishe tuhamishe vitu vyetu mapema. Mnatutia hasara halafu mnaanza kutusimanga kuwa tunachagua kazi.
 
Siko la Karume limeungua lini? Niko nje ya DSM mikoani ndani huko hata TV king'amuzi hakikamati. Tanzania ya miaka 60 ya umaskini.
 
Machinga wapo na hakuna chinga aliyeondolewa popote , yule makala ni mropokaji tu anaongea kumfurahisha mama ila hakuna machinga aliyemuondoa hapa Dar ... niambie kawaondia machinga wa sehem gan hapa dar?
Sio mkaazi wa dar unasema hivyo
 
Kuungua kwa soko la Mitumba Karume limefanya nifikirie mambo mengi mpaka jibu sina, kumbuka huyu bwana alipokuwa Mbeya mwendo wa kuwaka moto masoko, ilikuwa shida sasa naona imehamia DSM. Sasa huyu mkuu ana mkosi au kuna namna?
Afukizwe na ashtakiwe kwa ugaidi. Magaidi yanajikalia tu ofisini huku yakiendelea kuratibu vitendo vya kigaidi.
 
Back
Top Bottom