Mwamba ni master minder , anaweza asiwe mzuri kusimamia maendeleo mengine lakini kwa sector hiyo ya master minder hasa matukio kama hayo yuko vizuri. Mkimpeleka Arusha haichukui round yale masoko , Moshi hivyo hivyo yaani popote hadi wananchi wamkatae labda