Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

Pole kama hujui uwe unaefuatilia habari,huo ndio ukweli Warundi walifurahia na alialikwa Burundi..

Kwa taarifa Yako ana ndugu Hadi Burundi.
Kwao ni huko mpakani, mke wake ni wa kasulu.
Japo nae licha ya kuwa na nafasi kubwa ila hakuna alichofanya
 
Nchi inakataza uraia wa nchi mbili wakati wahamiaji wako wengi hata nafasi za juu.
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Ngozi nyeusi bana hamna kitu kabisa, inchi hii warabu na waindi ni wengi sana hadi serekalini na majina yao ni ya kiarabu na kiindi na walio wengi wanaendaga likizo Oman kama nyumbani kwao ila hawajawai kubaguliwa hata kidogo, ila utakuta mtanzania real wa baba na mama anabaguliwa kisa katokea kigoma.
 
Japo unajiona mwerevu na mahiri lakini ukweli ni zezeta tu,hakuna jasusi yeyote anayeweza kukupa mwanya wa kuhisi chochote wala kutilia shaka kuhusu yeye na hili uweze kumgundua inatakiwa umakini mkubwa, Sasa leo wanatokea wapuuzi wachache wanafikiri eti kiongozi fulani sio raia kwa sababu tu jina lake linafanana na watu wa nchi jirani,hivi una akili kweli!.
Ukienda kule Rufiji kuna kina Rwambo wengi sana je hao nao ni Wacongo? Kule Tanga kuna kina Banda hao nao ni Wamalawi au Wazambia? Acha uzuzu ndugu.
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?

Mtanzania kwa kuzaliwa
Mzaliwa wa Kasulu-Kigoma
Francis Michael Kasavubu kazaliwa ndani ya Jamhuri ya TZ
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Utanzania ni upi? Au ulitaka usikie jina la kibantu umekariri kaka
 
Utanzania ni upi? Au ulitaka usikie jina la kibantu umekariri kaka

Mtu ataitwa mtz kama katimiza mambo makubwa matatu
1- Kazaliwa ndani ya mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa TZ
2-Mzazi wake mmoja au wote walikua watz siku anazaliwa
3-Kazaliwa na wazazi watz akiwa nje ya TZ ambapo mzazi wake kapelekwa nje kwa shughuli za kiserikali,mfano mzazi mmoja ni balozi Japan na wamepata mtoto huko Japan

Kuhusu huyu RC ana sifa 2 za juu
 
kwahiyo ni Mtz
 
Uraia haumundolei mtu asili yake ndio maana kuna watanzania wenye asili ya Asia
Unadhani muasia akiwa kiongozi ni kesi, kesi ni pale mwenye asili ya congo, Rwanda,Burundi, Kenya, Malawi na Msumbiji na Mganda hapo jamii F hapakaliki.
 
Watu wate waishio mipakani lazima majina yanajitokeza sehemu mbili hata ukoo unakuta ukoo uko nchi flan ukivuka mpaka ukoo huohuo unaukuta nchi nyongine.
 
Utetezi wa kitoto huu.
 
Jina la Kasavubu ni la watu wa Congo.Nillishi Congo Kolwezi mtaa wa Kasavubu
 
1. Hii namba Moja sio kweli maana wageni kibao wanazaliwa ndani ya ardhi ya Tanzania ila sio Watanzania
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Ni Max Webber, ex lecturer UDSM aka Jalalani. Nyavuni huyo.
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Unaacha kulalamika waarabu na wahindi unalalamika mweusi mwenzio akipewa cheo. Stupid. Kwani Congo si jirani? mipaka ni ya wakoloni, kabla ya hapo tulikuwa kitu kimoja, ni ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…