Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua

Hahah wewe jamaa acha kumfananisha Mia Khalifa na vitu vya ajabu unatukosea fans wake na chama cha chaputa
 
Shida hapo ni vazi tu alilovaa halipendezi na halifai hayo mazingira.....
Mengine atajua yeye mwenyewe na aliemuumba.
 
ko mkuu wee kinachokuuma ni mfirwaji kupewa mualiko hapo shuleni. Unashangaa tu vile ujui yaliyomo nyuma ya pazia. Laiti kama madhambi ya watu yangekuwa yanawekwa hadharani, basi pengine hata huyo mkuu wa mkoa unayempelekea mashtaka hayo amber ruty asingemfikia kwa ufirauni hata tone.

kuna madhambi watu wanayatenda, kwa amber ruty bado ni malaika.
 
sio kuliwa kimasihara tuu, na kuliwa tako ka yeye.

Sasa mnamsomea mliwa tako risala ili awachangie. Mnajua hizo pesa kazipateje?

Hapo kunauwezekano wa hao wanafunzi kuungwa kwa mtandao wa waliwa tako, wakaanza kutifuliwa tope bure kwa kushawishiwa kwa vijisenti.
 
yani kila mnapomzungumzia amberruty ni kama mnanihamasisha kutifua tope na mnanifanya nidindishe.
 
Hapa ndipo CCM ilipotufikisha na kufurahia tuendelee kubakia.
Bila kuiondoa CCM madarakani huu ujinga hautaisha milele.
 
Hii nchi mwenye nayo alishaondoka,sasa hivi ni futuhi tu
 
tatizo sio kualikwa.

Tatizo anawafundisha nini wanafunzi?
 
Kuna binadamu tuliishajipa utakatifu wa kudumu, kwa kuwasonta wengine kama wenye dhambi zisizosameheka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…