Mkuu wa Mkoa wa Arusha (Batilda Buriani) na ukabila; Ukemewe na kila mmoja wetu!

Dik

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
1,205
Reaction score
416
Nimemsikia huyu mkuu wa mkoa kupitia east africa radio akidai Lema alikuwa akihamasisha uandikishaji kwenye eneo ambalo mwaka 2010 ndipo alipata kura nyingi na eneo hilo lina wachaga wengi. Sijapenda tabia hii ya kutaja kabila. Najua alikuwa na uwezekano wa kudeliver speech yake bila ya kutaja kabila. Kila mmoja wetu ni wakati wa kukemea tabia hii chafu.
 
Dik

Ukiona kiongozi anatangukiza ukabila basi ujue ndio yupo ukingoni kisiasa.
 
Last edited by a moderator:
mbona cdm ndio zenu hizo mkishindwa kwenye ukabila mnaanza ya udini kwani atujui
 
Kama MAGAMBA watapambana KIKABILA kumleta mwarusha mwenzetu eti tumpe kura IMEKULA KWAO.
 
Hana kosa labda kosa lake ni kusema ukweli!
 
Dik

Kwani uongo basi mbona ukweli mtpu.
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,
Delaration of interest: Mimi Pasco wa JF, Siungi mkono ubaguzi wa aina yoyote ila pia siungi mkono superiority ya baadhi ya makabila kujiona bora kuliko makabila mengine, huu pia ni ubaguzi mbaya kabisa!.

Kuna baadhi ya makabila, wanajisikia sana, na kujiona makabila yao ndio makabila bora na ya maana sana kwa sababu au wamesoma sana, wana pesa sana, wanamaendeleo sana, na kudharau makabila mengine kwa uduni wa makabila hayo au kwa umasikini!, wao kila mahali ndio wanajiona ndio bora kuliko wenyeji! kwa kugombea majimbo ya wengine!, kwa yale maeneo ambayo wenyeji ni kweli hawana uwezo kabisa, it is ok wakiwakilishwa na mtu mwingine yoyote wa kabila jingine lolote mwenye uwezo, lakini kwenye maeneo ambayo wenyeji wenyewe wapo wenye uwezo wa uongozi lakini hawana uwezo wa kifedha kushindana kwenye chaguzi ambazo fedha ndio sifa kuu ya ushindi, natoa wito kwa wenyeji wajengewe uwezo nao wajiwakilishe!.

Kama kuna wenyeji na wana uwezo, kwa nini wawakilishwe na mamluki miaka nenda miaka rudi?!, ifike mahali wenyeji wenyewe wawashukuru hawa mamluki wageni waliowawakilisha kwa kuwaeleza wazi kuwa wanawashukuru sana kwa uwakilishi wao miaka yote iliyopita wakati wao hawana uwezo na kuwashukuru kwa asante kwa kazi nzuri na mema yote, lakini sasa imetosha, ama waende wakagombee makwao, au washindane kwa ushindani wa haki kwa kupanda ulingoni na wenyeji waliojengewa uwezo!.

Kutawaliwa na wageni wahamiaji kwa muda mrefu sana nako kunachosha!, utadhani wenyewe hawapo kumbe wako kama mazuzu tuu!. Kama wenyeji wameacha uzuzu wao, nao sasa wameamka kudai haki yao ya uwakilishi wa watu wao, wapewe haki hiyo!, tena nashauri hata zoezi la kujiandikisha, kila mtu aende akajiandikishe kwao, ili uwingi wa mamluki kwenye baadhi ya maeneo, upungue, na kusipelekee eneo hilo kuendelea kuwakilishwa na mamluki miaka nenda miaka rudi as if hakuna wenyewe!.

Mfano mimi ni Msukuma, nalitamani sana jimbo la Lyatonga kule Moshi Vijijini, niruhusiwe tuu nikagombee popote, lakini kiukweli kule Uchagani wewe kama sio Mchagga, utaanzia wapi kabla ya kuitwa "kyaska" lakini kwa upande wa Wachagga, ambao kwenye maeneo waliolowea hivi 'vyasaka' vyao vimetapakaa majimbo ya wenzao!, yaani kwao ni kwao na kwa wenzao ni kwao!. Hii ni kama 'changu changu', 'chako changu' 'chake changu', 'chao changu', 'chetu changu'.

Yaani eneo lao ni kwao tuu, na wao tuu, lakini maeneo mengine yote kwa wengine pia ni kwao!.

Sorry kwa mtakaoniita mbaguzi, huo ndio ukweli wenyewe, kama wenyewe pia wapo wajengewe uwezo na waruhusiwe kugombea sambamba na wageni, kama wenyeji wapo lakini hawana uwezo, then wajengewe uwezo hata kwa affirmative action, washike wenyewe nafasi za uongozi sambamba na wageni, na sio kila siku kushikiwa tuu na wageni miaka nenda, miaka rudi!.

NB. Kuna makabila yenye kupenda kesherehekea defloration kwa shuka nyeupe kuonyeshwa hadharani ndipo sherehe ya ndoa hufuatia!, ikitokea mhusika ameshindwa kufanya defloration, ili kukinga aibu kwa familia, kaka mtu au hata ikibidi baba mtu, huingia kusaidia kwenye hiyo process ya defloration, na baada ya hapo, huendelea kuservice hadi mhusika apate uwezo na kama anachelewa kupata uwezo, juhudi za dhati za kumjengea uwezo hufanyika!. Sasa hao ambao kila siku huwa wanashikiwa na kuservisiwa na watu baki, wataservisiwa hadi lini?!. Natoa wito wenyeji wajengewe uwezo waji service wenyewe!.

Kama kitendo cha kuomba, wasio na uwezo, wajengewe uwezo kwa affirmative action nako kutatafsiriwa kuwa ni ubaguzi, then najikubali mimi Pasco wa JF ni mbaguzi wa affirmative action!.

Pasco
 
Siungi mkono ubaguzi wa aina yoyote ila pia siungi mkono superiority ya baadhi ya makabila wao kila mahali ndio wanajiona bora kuli wenyeji! kwa kugombea majimbo ya wengine!, kwa yale maeneo ambayo wenyeji hawana uwezo kabisa, it is oke wakiwakilishwa na mtu mwingine yoyote, lakini kwenye maeneo ambayo wenyewe wapo, na wana uwezo, kwa nini wawakilishwe na mamluki miaka nenda miaka rudi?!, ifike mahali wenyewe wawashukuru mamluki hao kwa kuwaeleza wazi kuwa wanawashukuru kwa uwakilishi wao mioka yote iliyopita na kuwashukuru kwa asante kwa mema yote, lakini sasa imetosha, waende wakagombee makwao, ili wenyewe sasa ndio waingie ulingoni!. Kutawaliwa na wageni wahamiaji kwa muda mrefu sana nako kunachosha!, utadhani wenyewe hawapo kumbe wako kama mazuzu tuu!. Kama wenyeji wameacha uzuzu wao nao sasa wameamka kudai haki yao ya uwakilishi wa watu wao, wapewe haki hiyo!, tena nashauri hata zoezi la kujiandikisha, kila mtu ande akajiandikishe kwao, ili uwingi wa mamluki baadhi ya maeneo, kusipelekee eneo hilo kuendelea kuwakilishwa na mamluki!.

Mfano mimi ni Msukuma, nalitamani sana jimbo la Lyatongo kule Moshi Vijijini, nitaanzia wapi kabla ya kuitwa "kyaska" lakini kwao ni hivi hivi 'vyasaka' vyao vimetapakaa majimbo ya wenzao!, yaani kwao ni kwao na kwa wenzao ni kwao!.
Hii ni kama 'changu changu', 'chako changu' 'chake changu', 'chao changu', 'chetu changu'.

Yaani eneo lao ni kwao tuu, na wao tuu, lakini maeneo meingi yote kwa wengine pia ni kwao!.

Sorry mtakaoniita mbaguzi, huo ndio ukweli wenyewe, kama wenyewe pia wapo, wapishwe hata kwa affirmative action!.

Pasco

Kaka mbona sio kawaida yako kuandika maandishi ya namna hii..ngoja niyatafakari tena..
 
Tafuta kwenu ukayaseme haya kwa nguvu zote.
 
Pasco nimekuwa nikiheshimu saana michango yako, lakini kwa hili la kuunga mkono hoja ya kwamba kila mtu na akagombee kwao, sikubaliani nalo hata sekunde moja.

Huo kama sio ukabila ni kitu gani? Kama leo tutaanza na wanasiasa kuna siku tutaenda hatua moja mbele zaidi baada ya hiyo hoja ya kutaka wanasiasa unaowaita wenywewe kufanya kazi, tutataka kila mmoja na arudi akafanye kazi kwao na, hao unaowaita wenyewe wachukue ofisi zitakazokuwa zimeachwa wazi na wale wakuja. Hapo ndo utakapoanza kuona tatizo, maana sina uhakika kuna watu wangapi wa kabila lako ambao wanafanya kazi kama yako lakini wanafanyia mkoa mwingine tofauti na huko kwenu, pia sina uhakika kama nafasi hizo za kazi zitatosha ku accomodate wenye taaluma wote huko kwenu, wengi wetu tunafanya kazi mbali na kwetu kwa sababu mbalimbali.

Sina uhakika kama tukianza kubaguana kwa kuangalia ni mwenyeji wa wapi kama wengi wetu tutasalimika. Watanzania hatuna historia ya kubaguana na ndio maana ukienda bungeni utakuta kuna wahindi, wasomali, waarabu na waafrika
 
Siungi mkono ubaguzi wa aina yoyote ila pia siungi mkono superiority ya baadhi ya makabila wao kila mahali ndio wanajiona bora kuli wenyeji! kwa kugombea majimbo ya wengine!, kwa yale maeneo ambayo wenyeji hawana uwezo kabisa, it is oke wakiwakilishwa na mtu mwingine yoyote, lakini kwenye maeneo ambayo wenyewe wapo, na wana uwezo, kwa nini wawakilishwe na mamluki miaka nenda miaka rudi?!, ifike mahali wenyewe wawashukuru mamluki hao kwa kuwaeleza wazi kuwa wanawashukuru kwa uwakilishi wao mioka yote iliyopita na kuwashukuru kwa asante kwa mema yote, lakini sasa imetosha, waende wakagombee makwao, ili wenyewe sasa ndio waingie ulingoni!. Kutawaliwa na wageni wahamiaji kwa muda mrefu sana nako kunachosha!, utadhani wenyewe hawapo kumbe wako kama mazuzu tuu!. Kama wenyeji wameacha uzuzu wao nao sasa wameamka kudai haki yao ya uwakilishi wa watu wao, wapewe haki hiyo!, tena nashauri hata zoezi la kujiandikisha, kila mtu ande akajiandikishe kwao, ili uwingi wa mamluki baadhi ya maeneo, kusipelekee eneo hilo kuendelea kuwakilishwa na mamluki!.

Mfano mimi ni Msukuma, nalitamani sana jimbo la Lyatongo kule Moshi Vijijini, nitaanzia wapi kabla ya kuitwa "kyaska" lakini kwao ni hivi hivi 'vyasaka' vyao vimetapakaa majimbo ya wenzao!, yaani kwao ni kwao na kwa wenzao ni kwao!.
Hii ni kama 'changu changu', 'chako changu' 'chake changu', 'chao changu', 'chetu changu'.

Yaani eneo lao ni kwao tuu, na wao tuu, lakini maeneo meingi yote kwa wengine pia ni kwao!.

Sorry mtakaoniita mbaguzi, huo ndio ukweli wenyewe, kama wenyewe pia wapo wapishwe!, kama wapo lakini hawana uwezo, then wajengewe uwezo hata kwa affirmative action, washike wenyewe sio kila siku kushikiwa!.

NB. Kuna makabila yenye kupenda kesherehekea defloration kwa shuka nyeupe kuonyeshwa hadharani ndipo sherehe ya ndoa hufuatia!, ikitokea mhusika ameshindwa kufanya defloration, ili kukinga aibu kwa familia, kaka mtu au hata ikibidi baba mtu, huingia kusaidia kwenye hiyo process ya defloration, na baada ya hapo, huendelea kuservice hadi mhusika apate uwezo na kama anachelewa kupata uwezo, juhudi za dhati za kumjengea uwezo hufanyika!. Sasa hao ambao kila siku huwa wanashikiwa na kuservisiwa na watu baki, wataservisiwa hadi lini?!. Natoa wito wajengewe uwezo waji service wenyewe!.

Kama kitendo cha kuomba, wasio na uwezo, wajengewe uwezo kwa affirmative action nako kutatafsiriwa kuwa ni ubaguzi, then najikubali Pasco wa jf ni mbaguzi wa affirmative action!.

Pasco

Wewe hujitambua soma uharo uliopost hapo vizuri
 
wewe unaujua moto wa huyu RC, au unadhan ni magesa.... waulizen wanakaratu wanamuelewa vzr. tangia amefika arusha mji upo shwar

ni lini arusha sio shwari?
tumemfurumusha mulongo magesa atatuweza huyu mlugaluga?
 
Kumbe na wewe hovyo hivi. sikutegemea. au uliacha laptop bila ya ku log out jamaa yako zuzu akatumia account yako kupost huu uharo hapa. Mwambie hizo ni tabia na hulka za Kenya. Tanzania hakuna. Mtu yeyote yupo huru kuongoza uma uliomkubali na kumpa ridhaa ya kuwaongoza.
 
Siungi mkono ubaguzi wa aina yoyote ila pia siungi mkono superiority ya baadhi ya makabila wao kila mahali ndio wanajiona bora kuli wenyeji! kwa kugombea majimbo ya wengine!, kwa yale maeneo ambayo wenyeji hawana uwezo kabisa, it is oke wakiwakilishwa na mtu mwingine yoyote, lakini kwenye maeneo ambayo wenyewe wapo, na wana uwezo, kwa nini wawakilishwe na mamluki miaka nenda miaka rudi?!, ifike mahali wenyewe wawashukuru mamluki hao kwa kuwaeleza wazi kuwa wanawashukuru kwa uwakilishi wao mioka yote iliyopita na kuwashukuru kwa asante kwa mema yote, lakini sasa imetosha, waende wakagombee makwao, ili wenyewe sasa ndio waingie ulingoni!. Kutawaliwa na wageni wahamiaji kwa muda mrefu sana nako kunachosha!, utadhani wenyewe hawapo kumbe wako kama mazuzu tuu!. Kama wenyeji wameacha uzuzu wao nao sasa wameamka kudai haki yao ya uwakilishi wa watu wao, wapewe haki hiyo!, tena nashauri hata zoezi la kujiandikisha, kila mtu ande akajiandikishe kwao, ili uwingi wa mamluki baadhi ya maeneo, kusipelekee eneo hilo kuendelea kuwakilishwa na mamluki!.

Mfano mimi ni Msukuma, nalitamani sana jimbo la Lyatongo kule Moshi Vijijini, nitaanzia wapi kabla ya kuitwa "kyaska" lakini kwao ni hivi hivi 'vyasaka' vyao vimetapakaa majimbo ya wenzao!, yaani kwao ni kwao na kwa wenzao ni kwao!.
Hii ni kama 'changu changu', 'chako changu' 'chake changu', 'chao changu', 'chetu changu'.

Yaani eneo lao ni kwao tuu, na wao tuu, lakini maeneo meingi yote kwa wengine pia ni kwao!.

Sorry mtakaoniita mbaguzi, huo ndio ukweli wenyewe, kama wenyewe pia wapo wapishwe!, kama wapo lakini hawana uwezo, then wajengewe uwezo hata kwa affirmative action, washike wenyewe sio kila siku kushikiwa!.

NB. Kuna makabila yenye kupenda kesherehekea defloration kwa shuka nyeupe kuonyeshwa hadharani ndipo sherehe ya ndoa hufuatia!, ikitokea mhusika ameshindwa kufanya defloration, ili kukinga aibu kwa familia, kaka mtu au hata ikibidi baba mtu, huingia kusaidia kwenye hiyo process ya defloration, na baada ya hapo, huendelea kuservice hadi mhusika apate uwezo na kama anachelewa kupata uwezo, juhudi za dhati za kumjengea uwezo hufanyika!. Sasa hao ambao kila siku huwa wanashikiwa na kuservisiwa na watu baki, wataservisiwa hadi lini?!. Natoa wito wajengewe uwezo waji service wenyewe!.

Kama kitendo cha kuomba, wasio na uwezo, wajengewe uwezo kwa affirmative action nako kutatafsiriwa kuwa ni ubaguzi, then najikubali Pasco wa jf ni mbaguzi wa affirmative action!.

Pasco

naamini mtoto wako wa darasa la kwanza amehack user yako akaandika huu utombo.
 
Back
Top Bottom