Mkuu wa Mkoa wa Arusha (Batilda Buriani) na ukabila; Ukemewe na kila mmoja wetu!

Siungi mkono ubaguzi wa aina yoyote ila pia siungi mkono superiority ya baadhi ya makabila wao kila mahali ndio wanajiona bora kuli wenyeji! kwa kugombea majimbo ya wengine!, kwa yale maeneo ambayo wenyeji hawana uwezo kabisa, it is oke wakiwakilishwa na mtu mwingine yoyote, lakini kwenye maeneo ambayo wenyewe wapo, na wana uwezo, kwa nini wawakilishwe na mamluki miaka nenda miaka rudi?!, ifike mahali wenyewe wawashukuru mamluki hao kwa kuwaeleza wazi kuwa wanawashukuru kwa uwakilishi wao mioka yote iliyopita na kuwashukuru kwa asante kwa mema yote, lakini sasa imetosha, waende wakagombee makwao, ili wenyewe sasa ndio waingie ulingoni!. Kutawaliwa na wageni wahamiaji kwa muda mrefu sana nako kunachosha!, utadhani wenyewe hawapo kumbe wako kama mazuzu tuu!. Kama wenyeji wameacha uzuzu wao nao sasa wameamka kudai haki yao ya uwakilishi wa watu wao, wapewe haki hiyo!, tena nashauri hata zoezi la kujiandikisha, kila mtu ande akajiandikishe kwao, ili uwingi wa mamluki baadhi ya maeneo, kusipelekee eneo hilo kuendelea kuwakilishwa na mamluki!.

Mfano mimi ni Msukuma, nalitamani sana jimbo la Lyatongo kule Moshi Vijijini, nitaanzia wapi kabla ya kuitwa "kyaska" lakini kwao ni hivi hivi 'vyasaka' vyao vimetapakaa majimbo ya wenzao!, yaani kwao ni kwao na kwa wenzao ni kwao!.
Hii ni kama 'changu changu', 'chako changu' 'chake changu', 'chao changu', 'chetu changu'.

Yaani eneo lao ni kwao tuu, na wao tuu, lakini maeneo meingi yote kwa wengine pia ni kwao!.

Sorry mtakaoniita mbaguzi, huo ndio ukweli wenyewe, kama wenyewe pia wapo wapishwe!, kama wapo lakini hawana uwezo, then wajengewe uwezo hata kwa affirmative action, washike wenyewe sio kila siku kushikiwa!.

NB. Kuna makabila yenye kupenda kesherehekea defloration kwa shuka nyeupe kuonyeshwa hadharani ndipo sherehe ya ndoa hufuatia!, ikitokea mhusika ameshindwa kufanya defloration, ili kukinga aibu kwa familia, kaka mtu au hata ikibidi baba mtu, huingia kusaidia kwenye hiyo process ya defloration, na baada ya hapo, huendelea kuservice hadi mhusika apate uwezo na kama anachelewa kupata uwezo, juhudi za dhati za kumjengea uwezo hufanyika!. Sasa hao ambao kila siku huwa wanashikiwa na kuservisiwa na watu baki, wataservisiwa hadi lini?!. Natoa wito wajengewe uwezo waji service wenyewe!.

Kama kitendo cha kuomba, wasio na uwezo, wajengewe uwezo kwa affirmative action nako kutatafsiriwa kuwa ni ubaguzi, then najikubali Pasco wa jf ni mbaguzi wa affirmative action!.

Pasco
mkuu pasco unajaribu kulinda uovu kwa rungu ,mtu mwovu ni mwovu usimuonee aibu ,kiongozi huwezi kugawa watu kwa ukabila huku ukizingatia mkuu huyu wa mkoa amekula kiapo anapokengeuka na kuanza kugawa watu hii si nzuri hasa kwa upande wake ,akumbuke yeye mwenyewe si mwenyeji wa mkoa wa arusha anakofanya kazi ,na kwa utafiti wangu hii sumu anayomwaga ni mbaya mno tuone na wengine wanafanya nini ,mfano kule america obama amefika hapo alipo kutokana na chuki hizi za ubaguzi walisha zifuta ,wangeweza kumwambia akagombee kenya .tuje dar mkuu wa mkoa si mzaramo utadai naye ni chasaka ,huu ni ulevi wa madaraka kimsingi angekuwa na kosa la kujibu kwa kauli hizi za hatari
 
Siungi mkono ubaguzi wa aina yoyote ila pia siungi mkono superiority ya baadhi ya makabila wao kila mahali ndio wanajiona bora kuli wenyeji! kwa kugombea majimbo ya wengine!, kwa yale maeneo ambayo wenyeji hawana uwezo kabisa, it is oke wakiwakilishwa na mtu mwingine yoyote, lakini kwenye maeneo ambayo wenyewe wapo, na wana uwezo, kwa nini wawakilishwe na mamluki miaka nenda miaka rudi?!, ifike mahali wenyewe wawashukuru mamluki hao kwa kuwaeleza wazi kuwa wanawashukuru kwa uwakilishi wao mioka yote iliyopita na kuwashukuru kwa asante kwa mema yote, lakini sasa imetosha, waende wakagombee makwao, ili wenyewe sasa ndio waingie ulingoni!. Kutawaliwa na wageni wahamiaji kwa muda mrefu sana nako kunachosha!, utadhani wenyewe hawapo kumbe wako kama mazuzu tuu!. Kama wenyeji wameacha uzuzu wao nao sasa wameamka kudai haki yao ya uwakilishi wa watu wao, wapewe haki hiyo!, tena nashauri hata zoezi la kujiandikisha, kila mtu ande akajiandikishe kwao, ili uwingi wa mamluki baadhi ya maeneo, kusipelekee eneo hilo kuendelea kuwakilishwa na mamluki!.

Mfano mimi ni Msukuma, nalitamani sana jimbo la Lyatongo kule Moshi Vijijini, nitaanzia wapi kabla ya kuitwa "kyaska" lakini kwao ni hivi hivi 'vyasaka' vyao vimetapakaa majimbo ya wenzao!, yaani kwao ni kwao na kwa wenzao ni kwao!.
Hii ni kama 'changu changu', 'chako changu' 'chake changu', 'chao changu', 'chetu changu'.

Yaani eneo lao ni kwao tuu, na wao tuu, lakini maeneo meingi yote kwa wengine pia ni kwao!.

Sorry mtakaoniita mbaguzi, huo ndio ukweli wenyewe, kama wenyewe pia wapo wapishwe!, kama wapo lakini hawana uwezo, then wajengewe uwezo hata kwa affirmative action, washike wenyewe sio kila siku kushikiwa!.

NB. Kuna makabila yenye kupenda kesherehekea defloration kwa shuka nyeupe kuonyeshwa hadharani ndipo sherehe ya ndoa hufuatia!, ikitokea mhusika ameshindwa kufanya defloration, ili kukinga aibu kwa familia, kaka mtu au hata ikibidi baba mtu, huingia kusaidia kwenye hiyo process ya defloration, na baada ya hapo, huendelea kuservice hadi mhusika apate uwezo na kama anachelewa kupata uwezo, juhudi za dhati za kumjengea uwezo hufanyika!. Sasa hao ambao kila siku huwa wanashikiwa na kuservisiwa na watu baki, wataservisiwa hadi lini?!. Natoa wito wajengewe uwezo waji service wenyewe!.

Kama kitendo cha kuomba, wasio na uwezo, wajengewe uwezo kwa affirmative action nako kutatafsiriwa kuwa ni ubaguzi, then najikubali Pasco wa jf ni mbaguzi wa affirmative action!.

Pasco

Umejidhihirisha wewe ni mpuuzi na mjinga wa hali ya juu.

Enzi zile Baba wa Taifa akituchanganya kuanzia mashuleni, jeshini, kazini lengo kuu ilikuwa ni kuondoa ukabila na hata udini, watanzania tuwe wamoja, wote ndugu moja.
Na ndiyo maana hao wachaga wapo kila sehemu na wameoa au kuolewa na kabila tofauti.
Sasa unachokitaka hapa leo hii sijui ni vita au ni nini?

Lastime Batilda(muarusha ) aliwezeshwa wananchi wakamkataa, sasa ujue kwamba suala SI ukabila bali ni uwezo wa mtu.

Mfano wewe hata kama ni wa kabila moja na mimi siwezi kukushabikia kwa ujinga huu uliouweka hapa.

Nimekudharau sana kwa kujidharaulisha hivi.
 
Hivi Arusha kuna maeneo unayoweza kusema wakaazi wake wengi ni wachagga ?.Bora angesema warangi wapo wengi Ngarenarok.
 
Dik

Kwani uongo basi mbona ukweli mtpu.

CCM
1. Jk......m/kit I muislam

2. Dr She in ......makamu. Muislam

3. Kinana ......... Katibu mkuu. Muislam
The list goes on....

Kamati kuu wajumbe 33, 22 ni waislam

Je no sahihi kusema ccm no ya kiislam?
 
Last edited by a moderator:
Post yangu hapo juu isomeke:

Je ni sahihi kusema ccm ni ya waislam?
 
Siungi mkono ubaguzi wa aina yoyote ila pia siungi mkono superiority ya baadhi ya makabila wao kila mahali ndio wanajiona bora kuli wenyeji! kwa kugombea majimbo ya wengine!, kwa yale maeneo ambayo wenyeji hawana uwezo kabisa, it is oke wakiwakilishwa na mtu mwingine yoyote, lakini kwenye maeneo ambayo wenyewe wapo, na wana uwezo, kwa nini wawakilishwe na mamluki miaka nenda miaka rudi?!, ifike mahali wenyewe wawashukuru mamluki hao kwa kuwaeleza wazi kuwa wanawashukuru kwa uwakilishi wao mioka yote iliyopita na kuwashukuru kwa asante kwa mema yote, lakini sasa imetosha, waende wakagombee makwao, ili wenyewe sasa ndio waingie ulingoni!. Kutawaliwa na wageni wahamiaji kwa muda mrefu sana nako kunachosha!, utadhani wenyewe hawapo kumbe wako kama mazuzu tuu!. Kama wenyeji wameacha uzuzu wao nao sasa wameamka kudai haki yao ya uwakilishi wa watu wao, wapewe haki hiyo!, tena nashauri hata zoezi la kujiandikisha, kila mtu ande akajiandikishe kwao, ili uwingi wa mamluki baadhi ya maeneo, kusipelekee eneo hilo kuendelea kuwakilishwa na mamluki!.

Mfano mimi ni Msukuma, nalitamani sana jimbo la Lyatongo kule Moshi Vijijini, nitaanzia wapi kabla ya kuitwa "kyaska" lakini kwao ni hivi hivi 'vyasaka' vyao vimetapakaa majimbo ya wenzao!, yaani kwao ni kwao na kwa wenzao ni kwao!.
Hii ni kama 'changu changu', 'chako changu' 'chake changu', 'chao changu', 'chetu changu'.

Yaani eneo lao ni kwao tuu, na wao tuu, lakini maeneo meingi yote kwa wengine pia ni kwao!.

Sorry mtakaoniita mbaguzi, huo ndio ukweli wenyewe, kama wenyewe pia wapo wapishwe!, kama wapo lakini hawana uwezo, then wajengewe uwezo hata kwa affirmative action, washike wenyewe sio kila siku kushikiwa!.

NB. Kuna makabila yenye kupenda kesherehekea defloration kwa shuka nyeupe kuonyeshwa hadharani ndipo sherehe ya ndoa hufuatia!, ikitokea mhusika ameshindwa kufanya defloration, ili kukinga aibu kwa familia, kaka mtu au hata ikibidi baba mtu, huingia kusaidia kwenye hiyo process ya defloration, na baada ya hapo, huendelea kuservice hadi mhusika apate uwezo na kama anachelewa kupata uwezo, juhudi za dhati za kumjengea uwezo hufanyika!. Sasa hao ambao kila siku huwa wanashikiwa na kuservisiwa na watu baki, wataservisiwa hadi lini?!. Natoa wito wajengewe uwezo waji service wenyewe!.

Kama kitendo cha kuomba, wasio na uwezo, wajengewe uwezo kwa affirmative action nako kutatafsiriwa kuwa ni ubaguzi, then najikubali Pasco wa jf ni mbaguzi wa affirmative action!.

Pasco
Ukitaka kumjua mtu bana aandike maelezo yake toka kichwani mwake, sio copy and paste, jamaa nilikuheshimu sana lakini kwa maelezo haya kumbe white paper, eti viongozi wa nchi kama wabunge wagombee kwenye mikoa yao husika, vipi mbunge huyu akiwa waziri, vipi nafasi ya uraisi tutaachiana kabila moja baada ya jingine? Hutaki kabila fulani kuwa maarufu kuliko jingine, nini kinawafanya wawe maarufu bwana mkubwa, kwanini kitu/jambo hilo halikuwa kwa kabila jingine? Ondoa ukabila wako huo humu, Tanzania ni nchi huru, Tanzania ya Watanzania sio kikuyu wala kamba.
 
Nimemsikia huyu mkuu wa mkoa kupitia east africa radio akidai Lema alikuwa akihamasisha uandikishaji kwenye eneo ambalo mwaka 2010 ndipo alipata kura nyingi na eneo hilo lina wachaga wengi. Sijapenda tabia hii ya kutaja kabila. Najua alikuwa na uwezekano wa kudeliver speech yake bila ya kutaja kabila. Kila mmoja wetu ni wakati wa kukemea tabia hii chafu.

Kwa Lema na Arusha atabana ngenge waliomtangulia hawakumtahadharisha?Lema na wana Arusha ni jiwe lisilosikia joto.
 
Nimemsikia huyu mkuu wa mkoa kupitia east africa radio akidai Lema alikuwa akihamasisha uandikishaji kwenye eneo ambalo mwaka 2010 ndipo alipata kura nyingi na eneo hilo lina wachaga wengi. Sijapenda tabia hii ya kutaja kabila. Najua alikuwa na uwezekano wa kudeliver speech yake bila ya kutaja kabila. Kila mmoja wetu ni wakati wa kukemea tabia hii chafu.

Huyu RC anaitwa TIBENDA!

Wahaya kwa ukabili hawajambo. Atakayebisha abishe tu kwa kuwa ana asili ya UBISHI.
 
Siungi mkono ubaguzi wa aina yoyote ila pia siungi mkono superiority ya baadhi ya makabila wao kila mahali ndio wanajiona bora kuli wenyeji! kwa kugombea majimbo ya wengine!, kwa yale maeneo ambayo wenyeji hawana uwezo kabisa, it is oke wakiwakilishwa na mtu mwingine yoyote, lakini kwenye maeneo ambayo wenyewe wapo, na wana uwezo, kwa nini wawakilishwe na mamluki miaka nenda miaka rudi?!, ifike mahali wenyewe wawashukuru mamluki hao kwa kuwaeleza wazi kuwa wanawashukuru kwa uwakilishi wao mioka yote iliyopita na kuwashukuru kwa asante kwa mema yote, lakini sasa imetosha, waende wakagombee makwao, ili wenyewe sasa ndio waingie ulingoni!. Kutawaliwa na wageni wahamiaji kwa muda mrefu sana nako kunachosha!, utadhani wenyewe hawapo kumbe wako kama mazuzu tuu!. Kama wenyeji wameacha uzuzu wao nao sasa wameamka kudai haki yao ya uwakilishi wa watu wao, wapewe haki hiyo!, tena nashauri hata zoezi la kujiandikisha, kila mtu ande akajiandikishe kwao, ili uwingi wa mamluki baadhi ya maeneo, kusipelekee eneo hilo kuendelea kuwakilishwa na mamluki!.

Mfano mimi ni Msukuma, nalitamani sana jimbo la Lyatongo kule Moshi Vijijini, nitaanzia wapi kabla ya kuitwa "kyaska" lakini kwao ni hivi hivi 'vyasaka' vyao vimetapakaa majimbo ya wenzao!, yaani kwao ni kwao na kwa wenzao ni kwao!.
Hii ni kama 'changu changu', 'chako changu' 'chake changu', 'chao changu', 'chetu changu'.

Yaani eneo lao ni kwao tuu, na wao tuu, lakini maeneo meingi yote kwa wengine pia ni kwao!.

Sorry mtakaoniita mbaguzi, huo ndio ukweli wenyewe, kama wenyewe pia wapo wapishwe!, kama wapo lakini hawana uwezo, then wajengewe uwezo hata kwa affirmative action, washike wenyewe sio kila siku kushikiwa!.

NB. Kuna makabila yenye kupenda kesherehekea defloration kwa shuka nyeupe kuonyeshwa hadharani ndipo sherehe ya ndoa hufuatia!, ikitokea mhusika ameshindwa kufanya defloration, ili kukinga aibu kwa familia, kaka mtu au hata ikibidi baba mtu, huingia kusaidia kwenye hiyo process ya defloration, na baada ya hapo, huendelea kuservice hadi mhusika apate uwezo na kama anachelewa kupata uwezo, juhudi za dhati za kumjengea uwezo hufanyika!. Sasa hao ambao kila siku huwa wanashikiwa na kuservisiwa na watu baki, wataservisiwa hadi lini?!. Natoa wito wajengewe uwezo waji service wenyewe!.

Kama kitendo cha kuomba, wasio na uwezo, wajengewe uwezo kwa affirmative action nako kutatafsiriwa kuwa ni ubaguzi, then najikubali Pasco wa jf ni mbaguzi wa affirmative action!.

Pasco

Loooo Pasco umepigwa kipapatio na nani usiku wa kuamkia leo hadi kusahau cordes and ethics za uandishi? Au umewekeza uwezo ulioonekana kuwa nao? Hapa anaongelewa mkuu wa mkoa na udhaifu wa kuyabagua makabila yaliyopo mkoa anaoongoza wa Arusha. Wewe unazuka na ukabila tena wa kabila moja kuwa liwaachie wazawa wajiongoze. Hiyo kazi ya kampeni kwa wazawa umepewa na nani?Hivi unafikiri wana Arusha hawajitambui hadi wazinduliwe na wewe?Umelipwa na chama chochote kuwapigia debe?Wewe ulienda kuomba fomu ya kugombea Arusha ukaambiwa ukagombee kwenu? Umedai wewe ni msukuma wa Mwanza na sio Mwana Arusha. Lini uliwekeana mkataba na Wana Arusha uwatetee? Kwa ufahamu wako viongozi waliopo waliteuliwa kwa ukabila wao au uwezo wao na wote wanaongoza kwenye mikoa yenye makabila yao? Mkuu wa Mkoa wa Arusha ni mzaliwa wa mkoa huo? Wewe mwenyewe unakofanyia kazi yako ya uandishi ni mkoa wa nyumbani? Pengine niamini hili bandiko hukuliandika wewe na ndio maana nauliza umepigwa kipapai na nani?Uelewe hata Mwanza nako jimbo la Ilemela haliongozwi na mzawa labda uwahi fomu kabla muda haujaisha.
 
Nimesikitishwa na mchango wa Pasco wa kuunga mkono kauli ya Mkuu wa Mkoa kuwa Mh. Lema alikuwa anahamasisha eneo lenye wachaga wengi. Pasco Mayalla kama lilivyo jina lako basi na wewe rudi kwenu uskumani huna haki ya kuishi kwa wazaramo. Kama unataka Mh.Lema na wengine kama yeye arudi Moshi basi mwambie na huyo kipenz chako Edward Lowasa arudi kwao Arumeru kani yeye sio mmasai hivyo hana haki ya kuongoza kwenye jimbo la wamasai. Ubaguzi katika mkoa wa Arusha unapaliliwa na viongozi wa CCM iwe waziwazi au kwa kificho. Mh. Ole Medeye ali ripotiwa kuitisha kikao pale Technical na kuwaambia viongozi wa kimila ya kuwa ni wakati kwa kila nafasi kushikwa na wamasai kwani hawawataki watu wa kuja...watu wenye mapenzi mema tulipiga kelele kwa ubaguzi huo....ila sasa PASCO na wewe umejiunga na genge la wahuni wanaoshindwa kufanya kazi zao kwa kufuata taratibu na kanuni zilizopo na kutunga zao za ubaguzi. Ubaguzi hauna rangi wala kabila wewe pamoja na kuyo KIJIKO wenu ni wabaguzi
 
Siungi mkono ubaguzi wa aina yoyote ila pia siungi mkono superiority ya baadhi ya makabila wao kila mahali ndio wanajiona bora kuli wenyeji! kwa kugombea majimbo ya wengine!, kwa yale maeneo ambayo wenyeji hawana uwezo kabisa, it is oke wakiwakilishwa na mtu mwingine yoyote, lakini kwenye maeneo ambayo wenyewe wapo, na wana uwezo, kwa nini wawakilishwe na mamluki miaka nenda miaka rudi?!, ifike mahali wenyewe wawashukuru mamluki hao kwa kuwaeleza wazi kuwa wanawashukuru kwa uwakilishi wao mioka yote iliyopita na kuwashukuru kwa asante kwa mema yote, lakini sasa imetosha, waende wakagombee makwao, ili wenyewe sasa ndio waingie ulingoni!. Kutawaliwa na wageni wahamiaji kwa muda mrefu sana nako kunachosha!, utadhani wenyewe hawapo kumbe wako kama mazuzu tuu!. Kama wenyeji wameacha uzuzu wao nao sasa wameamka kudai haki yao ya uwakilishi wa watu wao, wapewe haki hiyo!, tena nashauri hata zoezi la kujiandikisha, kila mtu ande akajiandikishe kwao, ili uwingi wa mamluki baadhi ya maeneo, kusipelekee eneo hilo kuendelea kuwakilishwa na mamluki!.

Mfano mimi ni Msukuma, nalitamani sana jimbo la Lyatongo kule Moshi Vijijini, nitaanzia wapi kabla ya kuitwa "kyaska" lakini kwao ni hivi hivi 'vyasaka' vyao vimetapakaa majimbo ya wenzao!, yaani kwao ni kwao na kwa wenzao ni kwao!.
Hii ni kama 'changu changu', 'chako changu' 'chake changu', 'chao changu', 'chetu changu'.

Yaani eneo lao ni kwao tuu, na wao tuu, lakini maeneo meingi yote kwa wengine pia ni kwao!.

Sorry mtakaoniita mbaguzi, huo ndio ukweli wenyewe, kama wenyewe pia wapo wapishwe!, kama wapo lakini hawana uwezo, then wajengewe uwezo hata kwa affirmative action, washike wenyewe sio kila siku kushikiwa!.

NB. Kuna makabila yenye kupenda kesherehekea defloration kwa shuka nyeupe kuonyeshwa hadharani ndipo sherehe ya ndoa hufuatia!, ikitokea mhusika ameshindwa kufanya defloration, ili kukinga aibu kwa familia, kaka mtu au hata ikibidi baba mtu, huingia kusaidia kwenye hiyo process ya defloration, na baada ya hapo, huendelea kuservice hadi mhusika apate uwezo na kama anachelewa kupata uwezo, juhudi za dhati za kumjengea uwezo hufanyika!. Sasa hao ambao kila siku huwa wanashikiwa na kuservisiwa na watu baki, wataservisiwa hadi lini?!. Natoa wito wajengewe uwezo waji service wenyewe!.

Kama kitendo cha kuomba, wasio na uwezo, wajengewe uwezo kwa affirmative action nako kutatafsiriwa kuwa ni ubaguzi, then najikubali Pasco wa jf ni mbaguzi wa affirmative action!.

Pasco

Mkuu Pasco naona bandiko lako limepata response ya kutosha kwakuwa wengi wameshakwambia niliyotaka kukwambi mimi nitajikita katika historia ya jimbo la Arusha Mjini.

Mwaka 1975 Solomon Ole Saibul ndio alikuwa mbunge wa mwisho kuchaguliwa kutoka kabila la waarusha.Mwaka 1980 Saibul alirejea tena kuomba ridhaa ya wanaarusha lakini alikataliwa baada ya kuanzisha sera ya ukabila wakatio huo mji wa Arusha wafanyabisaha wakubwa karibu wote walikuwa wachagga na wapare.

Solomon Ole Saibul alilalamika kwa Mwl Nyerere wachagga na wapare wamejaa sana Arusha na kumaliza rasilima na fursa zote kwa wazawa yaani waArusha.Mwl Nyerere alimkemea vikali Solomon akamwambia watanzania wa makabila yote na dini zote ni ruksa kuishi na kufanyakazi mahali popote katika JMT.

Hii fitna ya Solomon Ole Saibul ikawa ndio laana yake na kwa namna ya ajabu kila mwarusha akichukua fomu basi wapiga kura ukumbushwa usemi wa Saibul.Fikiria tangu mwaka 1975 mpaka leo hakuna mbunge mwarusha aliyewakilisha jimbo la Arusha mjini.

1. Mwaka 1980 alichaguliwa Mzee Mmbaga Mpare mkuu wa magereza mkoa wa Arusha wakati huo.

2. Mwaka 1985 A Kinana Msomali sasa sijui huyu tungeleta ubaguzi angeenda kugombea Mogadishu au Kismayu ..

3. Mwaka 1995 Makongoro Nyerere Mzanaki kutoka mkoa wa Mara

4. Mwaka 1997 Mrema Mchagga kazaliwa na kasoma Arusha tena mwanachama wa CCM

5. Mwaka 2010 Lema Mchagga kutoka chama cha upinzani ndio kabila lake linakuwa nongwa si utendaji hapana kabila lake.Kilichomponza Dr Batilda ni kuanza kampeni za huyu ni mtoto wa nyumbani akaangukia pua.

Meya wa Jiji la Arusha Gaudence Lymo mchagga lakini kwakuwa yupo chama tawala kabila lake si hoja Deputy Msofe Mpare.

Ninachokuhakikishia Pasco suala la ukabila wala halina mashiko zaidi ya kutafuta mbinu ya kushika madaraka.Huko CCM Wachagga wamejaa kedekede hoja ya ukabila haizungumzwi.

Goodluck Ole Medeye mbunge wa Arumeru aliaanda vikao vye kupandikiza chuki za kikabila hadi Rais Kikwete akamtimua katika baraza la mawaziri.

Fikiria waziri mzima anaanda na kuendesha kikao maazimio ni
a.Wachagga wasichaguliwe katika nafasi zozote za kisiasa.
b.Wachagga wasiuziwe ardhi
c. Malaigwanan watoe tamko la kumlaani Lema eti kamtukana Rais.

Blah blah kibao lakini lengo ni kumwondoa Lema Arusha kwasababu ya kabila lake.Yaani CCM imeshindwa mbinu zote hadi wamekimbilia ukabila.Jaji Joseph Warioba aliwahi kusema CCM hii si ile aliyotuachia Baba wa Taifa Mwl Nyerere.Ingekuwa enzi za utawala wa Mwl huyu mkuu wa mkoa siku nyingi angeshafungashiwa virago.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...nda-kuandikisha-kupiga-kura.html#post13120743

Huko visiwani waTanganyika wanaitwa mamluki wazanzibar wakija bara wanaitwa watanzania.

Mwl Nyerere "Ile dhambi ya ubaguzi haifi,inaendelea,Dhambi ya ubaguzi ukishakuitenda inaendelea ni sawa na kula nyama ya mtu,Ukila nyama ya mtu unaendelea tu"
 
PASCO.....mwambie na CHAMBIRI aende akagombee TARIME atoke Babati.....kumbe na wewe ni mchumia tumbo...PPR bila ya kutongoza maCCM haifanyi kazi...Ng'wanangwa inzala ikukubulaga shoshaga amasala.
 
Mfano mimi ni Msukuma, nalitamani sana jimbo la Lyatongo kule Moshi Vijijini, nitaanzia wapi kabla ya kuitwa "kyaska" lakini kwao ni hivi hivi 'vyasaka' vyao vimetapakaa majimbo ya wenzao!, yaani kwao ni kwao na kwa wenzao ni kwao!.
Hii ni kama 'changu changu', 'chako changu' 'chake changu', 'chao changu', 'chetu changu'.

Yaani eneo lao ni kwao tuu, na wao tuu, lakini maeneo meingi yote kwa wengine pia ni kwao!.

Mr Pasco, msaada kwenye tuta.

Hivi kuna mbunge yeyote mkoa wa Kilimanjaro asiye mzawa wa Kilimanjaro?sio majimbo tu mpaka viti maalum?

Kama hawapo hoja ya changu-changu na chako-changu inaleta maana.
 
Kama 'wenyeji' wa Arusha hawawezi kusimama wenyewe na kugombea na kuchaguliwa nani alaumiwe?

Ata umoja wa mataifa uliyapa mataifa ya ulaya kutawala mataifa yetu mpaka yatakapoweza kujitawala.

Hivyo kama waArusha hawawezi kujitawala basi ni sawa kwa wachaga kuwatawala.Watakapokuwa tayari kujitawala watasema wenyewe.
 
PASCO.....mwambie na CHAMBIRI aende akagombee TARIME atoke Babati.....kumbe na wewe ni mchumia tumbo...PPR bila ya kutongoza maCCM haifanyi kazi...Ng'wanangwa inzala ikukubulaga shoshaga amasala.
Mkuu bora ungekaa kimya hivi unawajua wabunge wachaga ambao wapo mikoa mingine wapo wangapi? Kuna wabunge mpaka wa viti maalum wa Chadema wanatoka mikoa mingine lakini wachaga.
 
Arusha nadhani wamezoea kuongozwa na watu kutoka maeneo mengine ya Tanzania kwao hili siyo tatizo.

Kuna maeneo Kilimanjaro na Arusha ni marufuku mgeni kutoka kabila lingine kuongoza huu ndiyo ukweli.

Msukuma aende Kibosho, Rombo, Arumeru, lakini nenda Mwanza utakutana na mbunge mchagga.
 
Hivi wabunge wote wa CCM wana asili (kabila) ya majimbo yao?
 
Tukisha maliza hilo mkuu Pasco tuanze kuhojinkwa ninu pia wakurugenzu wengi wapobkatika halmashauri ambazo sio za asili la kabila lao!

Then tuhoji wakyu wa wilaya na mikoa, kwa nini Magesa mtu wa Mara awe RC Mwanza? Kwa nini Gama wa Ruvuma awe RC Kilimanjaro? kwa nini Mtaka mtu wa Musoma awe DC wilaya ya Hai?

Halafu tuhoji kwa Nini wazanzibari wanapewa uwaziri bara?

Tukimaliza sasa tuanzishe kimbembe kwa nini Wasukuma wenfi wameshamia mikoa ya Rukwa na Morogoro?, tuwagoji wamasai wanafanya nini Morogoro hadi Tanga?

Mwisho kabisha tuliwashe kwa nini wachaga wanaoa au wanaolewa na watu ambai sio wachaga? Kwa nini Paseko kone awe RC Singida?!

Tukimaliza kabisaaaa tujilazimishe kuwa na majina ya marafiki katika simu zetu walio wa kabila letu tu!

Mie Mhadzabe sina hata sauti huku Yaedachini!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom