Mkuu wa Mkoa wa Arusha (Batilda Buriani) na ukabila; Ukemewe na kila mmoja wetu!

Hii ndio shida ya ajira sisizo na fani, hawa ni sawa na machangudoa waliozoea kuhongwa watafanya kila njia kuimarisha hongo zao ziendelee kuwepo na ili waweze kuwafurahisha mabuzi yao wako tayari kufanya chochote hata kama kinavunja amani, ni zaidi ya upumbavu kufikiria waliompigia kura Lema walikuwa wachaga, Batilda alikuwa muarusha mbona hakushinda? Acheni aropoke ila buzi analolifurahisha linakata kamba soon, october mwisho.

Ndio maana toka nimesoma hili bandiko lake sina amani moyoni kabisa. Nimeirudia hii thread mara ningi kwa mategemeo kuwa atakuwa amewaomba radhi wasomaji na wapenzi wake kuwa hii haijaandikwa na yeye bali kuna mtu aliehack account yake au alisahau computer yake bila kulog off mtu mwenye nia ovu labda ofisini au popote akaandika huu ujinga lakini sijaona. Mara zote nilikuwa namkubali na kumsifia kwa michango yake mingi. Nilichojifunza kama kaiandika yeye ni kuwa mtu ukisomwa sana na kusifiwa sana sio mbali watu watagundua na madhaifu makubwa kukuhusu. Hivi yeye Pasco alithibitishiwa na nani kuwa yeye ni Msukuma wa Mwanza? Mbona wasukuma hawana tabia za ubaguzi na ni wakarimu sana kiasi kwamba yupo radhi kushinda/kulala njaa amkirimu mgeni? Hivi siku wana Mwanza wanaomfahamu toka kuzaliwa kwake wakimthibitiahia yeye sio Msukuma bali ni Mrundi kutokana na wazazi wake kuingia na kulowea Mwanza atatambia nini? Kwani wa hivyo si wapo wengi Mwanza? Ikiwa amechukua rushwa ya chama chochote cha siasa kumfanyia kampeni mgombea yeyote sio mbali atarudi kuyatamka jukwaa hili hili.
 
Mr Pasco, msaada kwenye tuta.

Hivi kuna mbunge yeyote mkoa wa Kilimanjaro asiye mzawa wa Kilimanjaro?sio majimbo tu mpaka viti maalum?

Kama hawapo hoja ya changu-changu na chako-changu inaleta maana.

Je hao wachaga tunalazimishwa kuwachagua?

Au wanatumia mitutu kupata ubenge wao?
 
Hata wale machangudoa, mashoga na majambazi walizaliwa sawasawa na wasomi, wafanya biashara wajasiriamali na watu waliochagua staha ktk maisha yao tofauti linakuja jinsi gani umeamua kujiingizia kipato na ni jinsi gani umeamua kuwa ktk maisha yako baada ya kujitambua, huyu bwana anajua anachofanya si sawa ila kaamua hivyo kulinda kibarua alichozawadiwa na anataka aliemzawadia am comment kwa ajae kuwa ni mtu afaae na makini sana, hapa kauvua utu na heshima yake, ya familia yake na ya USUKUMA wake, mtu wa hovyo ambae hafai hata kujadiliwa amekula maharage ya wapi.
 
Tukisha maliza hilo mkuu Pasco tuanze kuhojinkwa ninu pia wakurugenzu wengi wapobkatika halmashauri ambazo sio za asili la kabila lao!

Then tuhoji wakyu wa wilaya na mikoa, kwa nini Magesa mtu wa Mara awe RC Mwanza? Kwa nini Gama wa Ruvuma awe RC Kilimanjaro? kwa nini Mtaka mtu wa Musoma awe DC wilaya ya Hai?

Halafu tuhoji kwa Nini wazanzibari wanapewa uwaziri bara?

Tukimaliza sasa tuanzishe kimbembe kwa nini Wasukuma wenfi wameshamia mikoa ya Rukwa na Morogoro?, tuwagoji wamasai wanafanya nini Morogoro hadi Tanga?

Mwisho kabisha tuliwashe kwa nini wachaga wanaoa au wanaolewa na watu ambai sio wachaga? Kwa nini Paseko kone awe RC Singida?!

Tukimaliza kabisaaaa tujilazimishe kuwa na majina ya marafiki katika simu zetu walio wa kabila letu tu!

Mie Mhadzabe sina hata sauti huku Yaedachini!
Mkuu umesahau na kuangalia wizara na na mashirika ya umma tuanze na TRA.
 
Last edited by a moderator:
mbona cdm ndio zenu hizo mkishindwa kwenye ukabila mnaanza ya udini kwani atujui

Wewe na huyo msiojua mnahitaji maombi. Kwasababu ni wazembe wa kufikiri na ndiyo mnaotugharimu watanzania tunao saka mabadiliko. Kwa bahati mbaya baba wa taifa alifikiri tatizo lingekuja kuwa ukabila ila hapana, tatizo limekua wananchi wenye busara, wapenda haki na maarifa watasapoti chadema na wananchi ma "zilo bleni" watakomaa na ccm na act-masnichi ili kurudisha taifa nyuma kisa watapewa 10000 bila kujua mchele wa 350 sasa ni 1800kilo na dola ya 600 sasa ni 2050. Kwanini msikae kimya tunaojua tunafanya nini tupige kura nyie mbaki nyumbani mkitupikia tukirudi from saving our country tukute chakula. Chadema ina waislamu wakutosha, mbowe slaa mnyika lisu ni makabila tofauti wote hao, ukawa kwenyewe mwendo ni hivyo hivyo ila kama ukilaumu kuwa wamejaza vichwa na makamanda wa ukweli utakua hukosei. Acha kuropoka banaaaaa. Taratiiiiiiibu mtatoka tu ikulu babu. Jioni njema
 
Siungi mkono ubaguzi wa aina yoyote ila pia siungi mkono superiority ya baadhi ya makabila wao kila mahali ndio wanajiona bora kuli wenyeji! kwa kugombea majimbo ya wengine!, kwa yale maeneo ambayo wenyeji hawana uwezo kabisa, it is oke wakiwakilishwa na mtu mwingine yoyote, lakini kwenye maeneo ambayo wenyewe wapo, na wana uwezo, kwa nini wawakilishwe na mamluki miaka nenda miaka rudi?!, ifike mahali wenyewe wawashukuru mamluki hao kwa kuwaeleza wazi kuwa wanawashukuru kwa uwakilishi wao mioka yote iliyopita na kuwashukuru kwa asante kwa mema yote, lakini sasa imetosha, waende wakagombee makwao, ili wenyewe sasa ndio waingie ulingoni!. Kutawaliwa na wageni wahamiaji kwa muda mrefu sana nako kunachosha!, utadhani wenyewe hawapo kumbe wako kama mazuzu tuu!. Kama wenyeji wameacha uzuzu wao nao sasa wameamka kudai haki yao ya uwakilishi wa watu wao, wapewe haki hiyo!, tena nashauri hata zoezi la kujiandikisha, kila mtu ande akajiandikishe kwao, ili uwingi wa mamluki baadhi ya maeneo, kusipelekee eneo hilo kuendelea kuwakilishwa na mamluki!.

Mfano mimi ni Msukuma, nalitamani sana jimbo la Lyatongo kule Moshi Vijijini, nitaanzia wapi kabla ya kuitwa "kyaska" lakini kwao ni hivi hivi 'vyasaka' vyao vimetapakaa majimbo ya wenzao!, yaani kwao ni kwao na kwa wenzao ni kwao!.
Hii ni kama 'changu changu', 'chako changu' 'chake changu', 'chao changu', 'chetu changu'.

Yaani eneo lao ni kwao tuu, na wao tuu, lakini maeneo meingi yote kwa wengine pia ni kwao!.

Sorry mtakaoniita mbaguzi, huo ndio ukweli wenyewe, kama wenyewe pia wapo wapishwe!, kama wapo lakini hawana uwezo, then wajengewe uwezo hata kwa affirmative action, washike wenyewe sio kila siku kushikiwa!.

NB. Kuna makabila yenye kupenda kesherehekea defloration kwa shuka nyeupe kuonyeshwa hadharani ndipo sherehe ya ndoa hufuatia!, ikitokea mhusika ameshindwa kufanya defloration, ili kukinga aibu kwa familia, kaka mtu au hata ikibidi baba mtu, huingia kusaidia kwenye hiyo process ya defloration, na baada ya hapo, huendelea kuservice hadi mhusika apate uwezo na kama anachelewa kupata uwezo, juhudi za dhati za kumjengea uwezo hufanyika!. Sasa hao ambao kila siku huwa wanashikiwa na kuservisiwa na watu baki, wataservisiwa hadi lini?!. Natoa wito wajengewe uwezo waji service wenyewe!.

Kama kitendo cha kuomba, wasio na uwezo, wajengewe uwezo kwa affirmative action nako kutatafsiriwa kuwa ni ubaguzi, then najikubali Pasco wa jf ni mbaguzi wa affirmative action!.

Pasco
Na wachaga ndiyo wenye ma hotel bar na vitega uchumi mbali mbali vinavyochangamsha kila mkoa.Hujiamini ndiyo maana unaogopa kwenda Vunjo kugombea ubunge.Kutojiamini kwa kila kitu ndiyo mwanzo wa kutawaliwa kwako mpaka nyumbani kwako.Mwinyi kawa mbunge mkuranga na sasa zanzibar na anaishi dar
 
Mkuu umesahau na kuangalia wizara na na mashirika ya umma tuanze na TRA.
Mkuu sana Ritz je unadhani umenielewa sawasawa?...soma zaidi na angalia zaidi ya herufi na mpangilio wa maneno katika andiko langu.
 
Last edited by a moderator:
Wewe na huyo msiojua mnahitaji maombi. Kwasababu ni wazembe wa kufikiri na ndiyo mnaotugharimu watanzania tunao saka mabadiliko. Kwa bahati mbaya baba wa taifa alifikiri tatizo lingekuja kuwa ukabila ila hapana, tatizo limekua wananchi wenye busara, wapenda haki na maarifa watasapoti chadema na wananchi ma "zilo bleni" watakomaa na ccm na act-masnichi ili kurudisha taifa nyuma kisa watapewa 10000 bila kujua mchele wa 350 sasa ni 1800kilo na dola ya 600 sasa ni 2050. Kwanini msikae kimya tunaojua tunafanya nini tupige kura nyie mbaki nyumbani mkitupikia tukirudi from saving our country tukute chakula. Chadema ina waislamu wakutosha, mbowe slaa mnyika lisu ni makabila tofauti wote hao, ukawa kwenyewe mwendo ni hivyo hivyo ila kama ukilaumu kuwa wamejaza vichwa na makamanda wa ukweli utakua hukosei. Acha kuropoka banaaaaa. Taratiiiiiiibu mtatoka tu ikulu babu. Jioni njema

hivi kwel wewe mbumbu mbu unaanzia wap kusema et kuiweka cdm n kusave our country tahira mkubwa kwel yaan tukuache upeleke hicho kibabu chako kimeshindwa kusimamia chama ndo kiende magogoni!!!? cdm hakuna demokrasia xo malizaneni wenyewe uko uko uchagan na kwa wasiojielewa; mnaturudisha miaka ya themanin zidumu fikra za mwalimu, slaa anashindanishwa na kivuli!!!
 
Huyu RC anaitwa TIBENDA!

Wahaya kwa ukabili hawajambo. Atakayebisha abishe tu kwa kuwa ana asili ya UBISHI.

yaaan ww ndo hamnazo unadhihirisha n kwa kias gan unavoongea usiyoyajua, na watu km ww hawapaswi kuwa katika majukwaa km haya ya GT uwezo wenu wa kufukir mdogo sana... nani kakwambia RC Ntibenda n muhaya? au unataka kujitafutia umaarufu kwa wasiojua kwamba wewe sasa hata data unazo!!!? mpuuz mkubwa
 
Duuuh! Mmmh nakumbuka kama ni muha kutoka kibondo sio?!
 
Hakika leo nimeona ambayo sikutegemea kuyaona! Pasco hawezi kushabikia suala kama hili, kumbe hakuna aliyemkamilifu.
 
Siungi mkono ubaguzi wa aina yoyote ila pia siungi mkono superiority ya baadhi ya makabila wao kila mahali ndio wanajiona bora kuli wenyeji! kwa kugombea majimbo ya wengine!, kwa yale maeneo ambayo wenyeji hawana uwezo kabisa, it is oke wakiwakilishwa na mtu mwingine yoyote, lakini kwenye maeneo ambayo wenyewe wapo, na wana uwezo, kwa nini wawakilishwe na mamluki miaka nenda miaka rudi?!, ifike mahali wenyewe wawashukuru mamluki hao kwa kuwaeleza wazi kuwa wanawashukuru kwa uwakilishi wao mioka yote iliyopita na kuwashukuru kwa asante kwa mema yote, lakini sasa imetosha, waende wakagombee makwao, ili wenyewe sasa ndio waingie ulingoni!. Kutawaliwa na wageni wahamiaji kwa muda mrefu sana nako kunachosha!, utadhani wenyewe hawapo kumbe wako kama mazuzu tuu!. Kama wenyeji wameacha uzuzu wao nao sasa wameamka kudai haki yao ya uwakilishi wa watu wao, wapewe haki hiyo!, tena nashauri hata zoezi la kujiandikisha, kila mtu ande akajiandikishe kwao, ili uwingi wa mamluki baadhi ya maeneo, kusipelekee eneo hilo kuendelea kuwakilishwa na mamluki!.

Mfano mimi ni Msukuma, nalitamani sana jimbo la Lyatongo kule Moshi Vijijini, nitaanzia wapi kabla ya kuitwa "kyaska" lakini kwao ni hivi hivi 'vyasaka' vyao vimetapakaa majimbo ya wenzao!, yaani kwao ni kwao na kwa wenzao ni kwao!.
Hii ni kama 'changu changu', 'chako changu' 'chake changu', 'chao changu', 'chetu changu'.

Yaani eneo lao ni kwao tuu, na wao tuu, lakini maeneo meingi yote kwa wengine pia ni kwao!.

Sorry mtakaoniita mbaguzi, huo ndio ukweli wenyewe, kama wenyewe pia wapo wapishwe!, kama wapo lakini hawana uwezo, then wajengewe uwezo hata kwa affirmative action, washike wenyewe sio kila siku kushikiwa!.

NB. Kuna makabila yenye kupenda kesherehekea defloration kwa shuka nyeupe kuonyeshwa hadharani ndipo sherehe ya ndoa hufuatia!, ikitokea mhusika ameshindwa kufanya defloration, ili kukinga aibu kwa familia, kaka mtu au hata ikibidi baba mtu, huingia kusaidia kwenye hiyo process ya defloration, na baada ya hapo, huendelea kuservice hadi mhusika apate uwezo na kama anachelewa kupata uwezo, juhudi za dhati za kumjengea uwezo hufanyika!. Sasa hao ambao kila siku huwa wanashikiwa na kuservisiwa na watu baki, wataservisiwa hadi lini?!. Natoa wito wajengewe uwezo waji service wenyewe!.

Kama kitendo cha kuomba, wasio na uwezo, wajengewe uwezo kwa affirmative action nako kutatafsiriwa kuwa ni ubaguzi, then najikubali Pasco wa jf ni mbaguzi wa affirmative action!.

Pasco
Yatosha kukuambia mawazo yako ni ya kibaguzi, kinyume cha katiba na hatari! Katiba inaruhusu mtu kukaa popote tanzania na kwa hiyo anapokaa anakuwa na haki zote
 
Mkuu bora ungekaa kimya hivi unawajua wabunge wachaga ambao wapo mikoa mingine wapo wangapi? Kuna wabunge mpaka wa viti maalum wa Chadema wanatoka mikoa mingine lakini wachaga.

Viti Maalum ni nafasi kwa wanachama wa chama cha siasa na kila chama kina taratibu zake za kuwapata...sasa kama ninyi hamtaki kugombea nafasi hizo wao wafanyeje? Mambo ya kuangalia makabila yapo kwa wasio kuwa na hoja. Changamkieni fursa hizo sio kulalama kama Paschal Mayala, ukabila na udini ni hoja za watu wasio na mashiko kwenye karne hiii
 
Siungi mkono ubaguzi wa aina yoyote ila pia siungi mkono superiority ya baadhi ya makabila wao kila mahali ndio wanajiona bora kuli wenyeji! kwa kugombea majimbo ya wengine!, kwa yale maeneo ambayo wenyeji hawana uwezo kabisa, it is oke wakiwakilishwa na mtu mwingine yoyote, lakini kwenye maeneo ambayo wenyewe wapo, na wana uwezo, kwa nini wawakilishwe na mamluki miaka nenda miaka rudi?!, ifike mahali wenyewe wawashukuru mamluki hao kwa kuwaeleza wazi kuwa wanawashukuru kwa uwakilishi wao mioka yote iliyopita na kuwashukuru kwa asante kwa mema yote, lakini sasa imetosha, waende wakagombee makwao, ili wenyewe sasa ndio waingie ulingoni!. Kutawaliwa na wageni wahamiaji kwa muda mrefu sana nako kunachosha!, utadhani wenyewe hawapo kumbe wako kama mazuzu tuu!. Kama wenyeji wameacha uzuzu wao nao sasa wameamka kudai haki yao ya uwakilishi wa watu wao, wapewe haki hiyo!, tena nashauri hata zoezi la kujiandikisha, kila mtu ande akajiandikishe kwao, ili uwingi wa mamluki baadhi ya maeneo, kusipelekee eneo hilo kuendelea kuwakilishwa na mamluki!.

Mfano mimi ni Msukuma, nalitamani sana jimbo la Lyatongo kule Moshi Vijijini, nitaanzia wapi kabla ya kuitwa "kyaska" lakini kwao ni hivi hivi 'vyasaka' vyao vimetapakaa majimbo ya wenzao!, yaani kwao ni kwao na kwa wenzao ni kwao!.
Hii ni kama 'changu changu', 'chako changu' 'chake changu', 'chao changu', 'chetu changu'.

Yaani eneo lao ni kwao tuu, na wao tuu, lakini maeneo meingi yote kwa wengine pia ni kwao!.

Sorry mtakaoniita mbaguzi, huo ndio ukweli wenyewe, kama wenyewe pia wapo wapishwe!, kama wapo lakini hawana uwezo, then wajengewe uwezo hata kwa affirmative action, washike wenyewe sio kila siku kushikiwa!.

NB. Kuna makabila yenye kupenda kesherehekea defloration kwa shuka nyeupe kuonyeshwa hadharani ndipo sherehe ya ndoa hufuatia!, ikitokea mhusika ameshindwa kufanya defloration, ili kukinga aibu kwa familia, kaka mtu au hata ikibidi baba mtu, huingia kusaidia kwenye hiyo process ya defloration, na baada ya hapo, huendelea kuservice hadi mhusika apate uwezo na kama anachelewa kupata uwezo, juhudi za dhati za kumjengea uwezo hufanyika!. Sasa hao ambao kila siku huwa wanashikiwa na kuservisiwa na watu baki, wataservisiwa hadi lini?!. Natoa wito wajengewe uwezo waji service wenyewe!.

Kama kitendo cha kuomba, wasio na uwezo, wajengewe uwezo kwa affirmative action nako kutatafsiriwa kuwa ni ubaguzi, then najikubali Pasco wa jf ni mbaguzi wa affirmative action!.

Pasco
mkuu Pasco hauko sahihi, mtu anaweza kuwa na asili ya mkoa mwingine akagombea ubunge sehemu nyingine na mara nyingi ni mjiji mikubwa ambako ndio kuna uingiliano wa makabila mengi. usisahau kuwa uingiliano huu ndio sababu ya ukuaji wa miji husika. mfano mnyika, mahanga,kibasa, lema, sugu, nk. umejishushia hadhi kuunga mkono huu ubaguzi. kwani huyo RC aliyesema hivyo yeye ni mmasai au mmeru? au wakuu wa mikoa tu ndio wanaruhusiwa kuongoza mikoa ya watu???????
 
Wachaga, Wairaqw, Wapare wanatosha kumpa Lema Ubunge....... Kura za ziada kwa mahasimu wa Wamasai..namaanisha Wameru.
 
Ng'wanangwa Pasco....Arusha ni jiji lenye makabila mbalimbali na hilo hata RC unaye mtetea anajuwa fika hilo mbali na hilo wenyeji wa arusha yaani wamasai, waarusha kwakuwa wengi ni wafugaji walishauza mashamba yao na kwenda kuishi pembezoni ambako ni kupana kwa shughuli zao za ufugaji. Wamasai wengi wako kata ya Terati na Orasiti, Kata za mjini ni mchanganyiko kwa kwenda mbele na hata kama wewe una ubavu wa kugombea njoo ujaribu bahati yako...ni upuuzi kutuaminisha kuwa Mh.Lema alishinda sababu ya wachaga, kwani Arusha yote ni ya wachaga? hiyo kata ina wapiga kura wangapi mpaka tuaminishwe kuwa ni tegemeo kwa mgombea yeyote wa ubunge? Karibu Moshono Masai camp tupate Nyama choma achana na wanasiasa mufilisi.
 
Wanabodi,
Delaration of interest: Mimi Pasco wa JF, Siungi mkono ubaguzi wa aina yoyote ila pia siungi mkono superiority ya baadhi ya makabila kujiona bora kuliko makabila mengine, huu pia ni ubaguzi mbaya kabisa!.

Kuna baadhi ya makabila, wanajisikia sana, na kujiona makabila yao ndio makabila bora na ya maana sana kwa sababu au wamesoma sana, wana pesa sana, wanamaendeleo sana, na kudharau makabila mengine kwa uduni wa makabila hayo au kwa umasikini!, wao kila mahali ndio wanajiona ndio bora kuliko wenyeji! kwa kugombea majimbo ya wengine!, kwa yale maeneo ambayo wenyeji ni kweli hawana uwezo kabisa, it is ok wakiwakilishwa na mtu mwingine yoyote wa kabila jingine lolote mwenye uwezo, lakini kwenye maeneo ambayo wenyeji wenyewe wapo wenye uwezo wa uongozi lakini hawana uwezo wa kifedha kushindana kwenye chaguzi ambazo fedha ndio sifa kuu ya ushindi, natoa wito kwa wenyeji wajengewe uwezo nao wajiwakilishe!.

Kama kuna wenyeji na wana uwezo, kwa nini wawakilishwe na mamluki miaka nenda miaka rudi?!, ifike mahali wenyeji wenyewe wawashukuru hawa mamluki wageni waliowawakilisha kwa kuwaeleza wazi kuwa wanawashukuru sana kwa uwakilishi wao miaka yote iliyopita wakati wao hawana uwezo na kuwashukuru kwa asante kwa kazi nzuri na mema yote, lakini sasa imetosha, ama waende wakagombee makwao, au washindane kwa ushindani wa haki kwa kupanda ulingoni na wenyeji waliojengewa uwezo!.

Kutawaliwa na wageni wahamiaji kwa muda mrefu sana nako kunachosha!, utadhani wenyewe hawapo kumbe wako kama mazuzu tuu!. Kama wenyeji wameacha uzuzu wao, nao sasa wameamka kudai haki yao ya uwakilishi wa watu wao, wapewe haki hiyo!, tena nashauri hata zoezi la kujiandikisha, kila mtu aende akajiandikishe kwao, ili uwingi wa mamluki kwenye baadhi ya maeneo, upungue, na kusipelekee eneo hilo kuendelea kuwakilishwa na mamluki miaka nenda miaka rudi as if hakuna wenyewe!.

Mfano mimi ni Msukuma, nalitamani sana jimbo la Lyatonga kule Moshi Vijijini, niruhusiwe tuu nikagombee popote, lakini kiukweli kule Uchagani wewe kama sio Mchagga, utaanzia wapi kabla ya kuitwa "kyaska" lakini kwa upande wa Wachagga, ambao kwenye maeneo waliolowea hivi 'vyasaka' vyao vimetapakaa majimbo ya wenzao!, yaani kwao ni kwao na kwa wenzao ni kwao!. Hii ni kama 'changu changu', 'chako changu' 'chake changu', 'chao changu', 'chetu changu'.

Yaani eneo lao ni kwao tuu, na wao tuu, lakini maeneo mengine yote kwa wengine pia ni kwao!.

Sorry kwa mtakaoniita mbaguzi, huo ndio ukweli wenyewe, kama wenyewe pia wapo wajengewe uwezo na waruhusiwe kugombea sambamba na wageni, kama wenyeji wapo lakini hawana uwezo, then wajengewe uwezo hata kwa affirmative action, washike wenyewe nafasi za uongozi sambamba na wageni, na sio kila siku kushikiwa tuu na wageni miaka nenda, miaka rudi!.

NB. Kuna makabila yenye kupenda kesherehekea defloration kwa shuka nyeupe kuonyeshwa hadharani ndipo sherehe ya ndoa hufuatia!, ikitokea mhusika ameshindwa kufanya defloration, ili kukinga aibu kwa familia, kaka mtu au hata ikibidi baba mtu, huingia kusaidia kwenye hiyo process ya defloration, na baada ya hapo, huendelea kuservice hadi mhusika apate uwezo na kama anachelewa kupata uwezo, juhudi za dhati za kumjengea uwezo hufanyika!. Sasa hao ambao kila siku huwa wanashikiwa na kuservisiwa na watu baki, wataservisiwa hadi lini?!. Natoa wito wenyeji wajengewe uwezo waji service wenyewe!.

Kama kitendo cha kuomba, wasio na uwezo, wajengewe uwezo kwa affirmative action nako kutatafsiriwa kuwa ni ubaguzi, then najikubali mimi Pasco wa JF ni mbaguzi wa affirmative action!.

Pasco

Mkuu Paskali una-instigate uhutu na ututsi katika nchi hii. Please stop this. Haisaidii chochote, watanzania hatutakubali kuona watu wanajaribu kujikuza over others. Take it from me, hatutakuwa tayari kabila moja lijitukuze at the expense ya makabila mengine hapa Tanzania. Kabila la wasonjo ni dogo lakini likiona kuna ndivyo sivyo kwa minajili ya ukabila litafight hadi mwisho. Be composed when writing to mass.
Ndugu Jorojik, Thank you very much kwa ukweli ulituwekea hapa. Ndugu Pascal anaendelea kujivunjia hadhi na heshima, japokuwa ni mwandishi mzuri na mwenye maono mazuri ya kisiasa, lakini naona amejiunga na kundi linalosemekana lina mipango ya kutuletea siasa za kiKENYA nchini kwetu.

Ndugu Pascal yumo kwenye siasa za kidini na kikabila, hili jambo limenishtusha na kunisonesha sana, i was a great follower of his writings, but now am very disappointed.

Ninamuombea mungu amrudishe kwenye fikra za kizalendo na amuepushe na ukabila na udini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu Pascal, I truly hope unasome post zote katika uzi huu.

JEE huoni kama umetukosea sana Watanzania kwa kuutukuza ukabila na udini?

JEE huoni kama kuna wengi hapa JF walikuwa wapenzi wa michango yako mizuri na post zako nyingi zilizokuwa na mafunzo, ukweli na upendo.

I believe you need to sit down na kutafakari na ujirekebishe.

Ndugu Ukabila hauna maendeleo wala faida, nadhani hakuna anayefaidika kwa ukabila , it has never put any food in your plate nor supported your family.

Ndugu tuangalie yaliyotokea Somalia, hii ni nchi yenye watu wa Lugha Moja, dini moja tena madhehebu moja, lakini kilichoiteketeza somalia ni ukabila.

Tusisahau yaliyotokea Rwanda, Burindi, Kenya, Central Africa Republic, Myanmar na yanayo endelea leo India, bila kusahau Iraq na Syria.

Jee utafurahia hayo yakitokea Tanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli Pascal huwa ananisikitisha kwa posts zake za kikabila na ukanda. Sijui anajaribu kuleta ujumbe gani kwa Taifa?! Wacha tuangalie.
Karibuni na pande hii.
P
 
Hatuhitaji kujimwambafy kikabila. No! Angalau umetuelewa.
Nimewaelewa sana tuu na natumaini pia mmenielewa
Wanabodi,
Delaration of interest: Mimi Pasco wa JF, Siungi mkono ubaguzi wa aina yoyote ila pia siungi mkono superiority ya baadhi ya makabila kujiona bora kuliko makabila mengine, huu pia ni ubaguzi mbaya kabisa!.

Kuna baadhi ya makabila, wanajisikia sana, na kujiona makabila yao ndio makabila bora na ya maana sana kwa sababu au wamesoma sana, wana pesa sana, wanamaendeleo sana, na kudharau makabila mengine kwa uduni wa makabila hayo au kwa umasikini!, wao kila mahali ndio wanajiona ndio bora kuliko wenyeji! kwa kugombea majimbo ya wengine!, kwa yale maeneo ambayo wenyeji ni kweli hawana uwezo kabisa, it is ok wakiwakilishwa na mtu mwingine yoyote wa kabila jingine lolote mwenye uwezo, lakini kwenye maeneo ambayo wenyeji wenyewe wapo wenye uwezo wa uongozi lakini hawana uwezo wa kifedha kushindana kwenye chaguzi ambazo fedha ndio sifa kuu ya ushindi, natoa wito kwa wenyeji wajengewe uwezo nao wajiwakilishe!.

Kama kitendo cha kuomba, wasio na uwezo, wajengewe uwezo kwa affirmative action nako kutatafsiriwa kuwa ni ubaguzi, then najikubali mimi Pasco wa JF ni mbaguzi wa affirmative action!.

Pasco
Mimi sio mkabila sio mbaguzi bali ni mkweli too much!.
P
 
Back
Top Bottom