HUGO CHAVES
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 2,045
- 551
mkuu pasco unajaribu kulinda uovu kwa rungu ,mtu mwovu ni mwovu usimuonee aibu ,kiongozi huwezi kugawa watu kwa ukabila huku ukizingatia mkuu huyu wa mkoa amekula kiapo anapokengeuka na kuanza kugawa watu hii si nzuri hasa kwa upande wake ,akumbuke yeye mwenyewe si mwenyeji wa mkoa wa arusha anakofanya kazi ,na kwa utafiti wangu hii sumu anayomwaga ni mbaya mno tuone na wengine wanafanya nini ,mfano kule america obama amefika hapo alipo kutokana na chuki hizi za ubaguzi walisha zifuta ,wangeweza kumwambia akagombee kenya .tuje dar mkuu wa mkoa si mzaramo utadai naye ni chasaka ,huu ni ulevi wa madaraka kimsingi angekuwa na kosa la kujibu kwa kauli hizi za hatariSiungi mkono ubaguzi wa aina yoyote ila pia siungi mkono superiority ya baadhi ya makabila wao kila mahali ndio wanajiona bora kuli wenyeji! kwa kugombea majimbo ya wengine!, kwa yale maeneo ambayo wenyeji hawana uwezo kabisa, it is oke wakiwakilishwa na mtu mwingine yoyote, lakini kwenye maeneo ambayo wenyewe wapo, na wana uwezo, kwa nini wawakilishwe na mamluki miaka nenda miaka rudi?!, ifike mahali wenyewe wawashukuru mamluki hao kwa kuwaeleza wazi kuwa wanawashukuru kwa uwakilishi wao mioka yote iliyopita na kuwashukuru kwa asante kwa mema yote, lakini sasa imetosha, waende wakagombee makwao, ili wenyewe sasa ndio waingie ulingoni!. Kutawaliwa na wageni wahamiaji kwa muda mrefu sana nako kunachosha!, utadhani wenyewe hawapo kumbe wako kama mazuzu tuu!. Kama wenyeji wameacha uzuzu wao nao sasa wameamka kudai haki yao ya uwakilishi wa watu wao, wapewe haki hiyo!, tena nashauri hata zoezi la kujiandikisha, kila mtu ande akajiandikishe kwao, ili uwingi wa mamluki baadhi ya maeneo, kusipelekee eneo hilo kuendelea kuwakilishwa na mamluki!.
Mfano mimi ni Msukuma, nalitamani sana jimbo la Lyatongo kule Moshi Vijijini, nitaanzia wapi kabla ya kuitwa "kyaska" lakini kwao ni hivi hivi 'vyasaka' vyao vimetapakaa majimbo ya wenzao!, yaani kwao ni kwao na kwa wenzao ni kwao!.
Hii ni kama 'changu changu', 'chako changu' 'chake changu', 'chao changu', 'chetu changu'.
Yaani eneo lao ni kwao tuu, na wao tuu, lakini maeneo meingi yote kwa wengine pia ni kwao!.
Sorry mtakaoniita mbaguzi, huo ndio ukweli wenyewe, kama wenyewe pia wapo wapishwe!, kama wapo lakini hawana uwezo, then wajengewe uwezo hata kwa affirmative action, washike wenyewe sio kila siku kushikiwa!.
NB. Kuna makabila yenye kupenda kesherehekea defloration kwa shuka nyeupe kuonyeshwa hadharani ndipo sherehe ya ndoa hufuatia!, ikitokea mhusika ameshindwa kufanya defloration, ili kukinga aibu kwa familia, kaka mtu au hata ikibidi baba mtu, huingia kusaidia kwenye hiyo process ya defloration, na baada ya hapo, huendelea kuservice hadi mhusika apate uwezo na kama anachelewa kupata uwezo, juhudi za dhati za kumjengea uwezo hufanyika!. Sasa hao ambao kila siku huwa wanashikiwa na kuservisiwa na watu baki, wataservisiwa hadi lini?!. Natoa wito wajengewe uwezo waji service wenyewe!.
Kama kitendo cha kuomba, wasio na uwezo, wajengewe uwezo kwa affirmative action nako kutatafsiriwa kuwa ni ubaguzi, then najikubali Pasco wa jf ni mbaguzi wa affirmative action!.
Pasco
Hana kosa labda kosa lake ni kusema ukweli!
Siungi mkono ubaguzi wa aina yoyote ila pia siungi mkono superiority ya baadhi ya makabila wao kila mahali ndio wanajiona bora kuli wenyeji! kwa kugombea majimbo ya wengine!, kwa yale maeneo ambayo wenyeji hawana uwezo kabisa, it is oke wakiwakilishwa na mtu mwingine yoyote, lakini kwenye maeneo ambayo wenyewe wapo, na wana uwezo, kwa nini wawakilishwe na mamluki miaka nenda miaka rudi?!, ifike mahali wenyewe wawashukuru mamluki hao kwa kuwaeleza wazi kuwa wanawashukuru kwa uwakilishi wao mioka yote iliyopita na kuwashukuru kwa asante kwa mema yote, lakini sasa imetosha, waende wakagombee makwao, ili wenyewe sasa ndio waingie ulingoni!. Kutawaliwa na wageni wahamiaji kwa muda mrefu sana nako kunachosha!, utadhani wenyewe hawapo kumbe wako kama mazuzu tuu!. Kama wenyeji wameacha uzuzu wao nao sasa wameamka kudai haki yao ya uwakilishi wa watu wao, wapewe haki hiyo!, tena nashauri hata zoezi la kujiandikisha, kila mtu ande akajiandikishe kwao, ili uwingi wa mamluki baadhi ya maeneo, kusipelekee eneo hilo kuendelea kuwakilishwa na mamluki!.

Ukitaka kumjua mtu bana aandike maelezo yake toka kichwani mwake, sio copy and paste, jamaa nilikuheshimu sana lakini kwa maelezo haya kumbe white paper, eti viongozi wa nchi kama wabunge wagombee kwenye mikoa yao husika, vipi mbunge huyu akiwa waziri, vipi nafasi ya uraisi tutaachiana kabila moja baada ya jingine? Hutaki kabila fulani kuwa maarufu kuliko jingine, nini kinawafanya wawe maarufu bwana mkubwa, kwanini kitu/jambo hilo halikuwa kwa kabila jingine? Ondoa ukabila wako huo humu, Tanzania ni nchi huru, Tanzania ya Watanzania sio kikuyu wala kamba.Siungi mkono ubaguzi wa aina yoyote ila pia siungi mkono superiority ya baadhi ya makabila wao kila mahali ndio wanajiona bora kuli wenyeji! kwa kugombea majimbo ya wengine!, kwa yale maeneo ambayo wenyeji hawana uwezo kabisa, it is oke wakiwakilishwa na mtu mwingine yoyote, lakini kwenye maeneo ambayo wenyewe wapo, na wana uwezo, kwa nini wawakilishwe na mamluki miaka nenda miaka rudi?!, ifike mahali wenyewe wawashukuru mamluki hao kwa kuwaeleza wazi kuwa wanawashukuru kwa uwakilishi wao mioka yote iliyopita na kuwashukuru kwa asante kwa mema yote, lakini sasa imetosha, waende wakagombee makwao, ili wenyewe sasa ndio waingie ulingoni!. Kutawaliwa na wageni wahamiaji kwa muda mrefu sana nako kunachosha!, utadhani wenyewe hawapo kumbe wako kama mazuzu tuu!. Kama wenyeji wameacha uzuzu wao nao sasa wameamka kudai haki yao ya uwakilishi wa watu wao, wapewe haki hiyo!, tena nashauri hata zoezi la kujiandikisha, kila mtu ande akajiandikishe kwao, ili uwingi wa mamluki baadhi ya maeneo, kusipelekee eneo hilo kuendelea kuwakilishwa na mamluki!.
Mfano mimi ni Msukuma, nalitamani sana jimbo la Lyatongo kule Moshi Vijijini, nitaanzia wapi kabla ya kuitwa "kyaska" lakini kwao ni hivi hivi 'vyasaka' vyao vimetapakaa majimbo ya wenzao!, yaani kwao ni kwao na kwa wenzao ni kwao!.
Hii ni kama 'changu changu', 'chako changu' 'chake changu', 'chao changu', 'chetu changu'.
Yaani eneo lao ni kwao tuu, na wao tuu, lakini maeneo meingi yote kwa wengine pia ni kwao!.
Sorry mtakaoniita mbaguzi, huo ndio ukweli wenyewe, kama wenyewe pia wapo wapishwe!, kama wapo lakini hawana uwezo, then wajengewe uwezo hata kwa affirmative action, washike wenyewe sio kila siku kushikiwa!.
NB. Kuna makabila yenye kupenda kesherehekea defloration kwa shuka nyeupe kuonyeshwa hadharani ndipo sherehe ya ndoa hufuatia!, ikitokea mhusika ameshindwa kufanya defloration, ili kukinga aibu kwa familia, kaka mtu au hata ikibidi baba mtu, huingia kusaidia kwenye hiyo process ya defloration, na baada ya hapo, huendelea kuservice hadi mhusika apate uwezo na kama anachelewa kupata uwezo, juhudi za dhati za kumjengea uwezo hufanyika!. Sasa hao ambao kila siku huwa wanashikiwa na kuservisiwa na watu baki, wataservisiwa hadi lini?!. Natoa wito wajengewe uwezo waji service wenyewe!.
Kama kitendo cha kuomba, wasio na uwezo, wajengewe uwezo kwa affirmative action nako kutatafsiriwa kuwa ni ubaguzi, then najikubali Pasco wa jf ni mbaguzi wa affirmative action!.
Pasco
Nimemsikia huyu mkuu wa mkoa kupitia east africa radio akidai Lema alikuwa akihamasisha uandikishaji kwenye eneo ambalo mwaka 2010 ndipo alipata kura nyingi na eneo hilo lina wachaga wengi. Sijapenda tabia hii ya kutaja kabila. Najua alikuwa na uwezekano wa kudeliver speech yake bila ya kutaja kabila. Kila mmoja wetu ni wakati wa kukemea tabia hii chafu.
Nimemsikia huyu mkuu wa mkoa kupitia east africa radio akidai Lema alikuwa akihamasisha uandikishaji kwenye eneo ambalo mwaka 2010 ndipo alipata kura nyingi na eneo hilo lina wachaga wengi. Sijapenda tabia hii ya kutaja kabila. Najua alikuwa na uwezekano wa kudeliver speech yake bila ya kutaja kabila. Kila mmoja wetu ni wakati wa kukemea tabia hii chafu.
Siungi mkono ubaguzi wa aina yoyote ila pia siungi mkono superiority ya baadhi ya makabila wao kila mahali ndio wanajiona bora kuli wenyeji! kwa kugombea majimbo ya wengine!, kwa yale maeneo ambayo wenyeji hawana uwezo kabisa, it is oke wakiwakilishwa na mtu mwingine yoyote, lakini kwenye maeneo ambayo wenyewe wapo, na wana uwezo, kwa nini wawakilishwe na mamluki miaka nenda miaka rudi?!, ifike mahali wenyewe wawashukuru mamluki hao kwa kuwaeleza wazi kuwa wanawashukuru kwa uwakilishi wao mioka yote iliyopita na kuwashukuru kwa asante kwa mema yote, lakini sasa imetosha, waende wakagombee makwao, ili wenyewe sasa ndio waingie ulingoni!. Kutawaliwa na wageni wahamiaji kwa muda mrefu sana nako kunachosha!, utadhani wenyewe hawapo kumbe wako kama mazuzu tuu!. Kama wenyeji wameacha uzuzu wao nao sasa wameamka kudai haki yao ya uwakilishi wa watu wao, wapewe haki hiyo!, tena nashauri hata zoezi la kujiandikisha, kila mtu ande akajiandikishe kwao, ili uwingi wa mamluki baadhi ya maeneo, kusipelekee eneo hilo kuendelea kuwakilishwa na mamluki!.
Mfano mimi ni Msukuma, nalitamani sana jimbo la Lyatongo kule Moshi Vijijini, nitaanzia wapi kabla ya kuitwa "kyaska" lakini kwao ni hivi hivi 'vyasaka' vyao vimetapakaa majimbo ya wenzao!, yaani kwao ni kwao na kwa wenzao ni kwao!.
Hii ni kama 'changu changu', 'chako changu' 'chake changu', 'chao changu', 'chetu changu'.
Yaani eneo lao ni kwao tuu, na wao tuu, lakini maeneo meingi yote kwa wengine pia ni kwao!.
Sorry mtakaoniita mbaguzi, huo ndio ukweli wenyewe, kama wenyewe pia wapo wapishwe!, kama wapo lakini hawana uwezo, then wajengewe uwezo hata kwa affirmative action, washike wenyewe sio kila siku kushikiwa!.
NB. Kuna makabila yenye kupenda kesherehekea defloration kwa shuka nyeupe kuonyeshwa hadharani ndipo sherehe ya ndoa hufuatia!, ikitokea mhusika ameshindwa kufanya defloration, ili kukinga aibu kwa familia, kaka mtu au hata ikibidi baba mtu, huingia kusaidia kwenye hiyo process ya defloration, na baada ya hapo, huendelea kuservice hadi mhusika apate uwezo na kama anachelewa kupata uwezo, juhudi za dhati za kumjengea uwezo hufanyika!. Sasa hao ambao kila siku huwa wanashikiwa na kuservisiwa na watu baki, wataservisiwa hadi lini?!. Natoa wito wajengewe uwezo waji service wenyewe!.
Kama kitendo cha kuomba, wasio na uwezo, wajengewe uwezo kwa affirmative action nako kutatafsiriwa kuwa ni ubaguzi, then najikubali Pasco wa jf ni mbaguzi wa affirmative action!.
Pasco
Siungi mkono ubaguzi wa aina yoyote ila pia siungi mkono superiority ya baadhi ya makabila wao kila mahali ndio wanajiona bora kuli wenyeji! kwa kugombea majimbo ya wengine!, kwa yale maeneo ambayo wenyeji hawana uwezo kabisa, it is oke wakiwakilishwa na mtu mwingine yoyote, lakini kwenye maeneo ambayo wenyewe wapo, na wana uwezo, kwa nini wawakilishwe na mamluki miaka nenda miaka rudi?!, ifike mahali wenyewe wawashukuru mamluki hao kwa kuwaeleza wazi kuwa wanawashukuru kwa uwakilishi wao mioka yote iliyopita na kuwashukuru kwa asante kwa mema yote, lakini sasa imetosha, waende wakagombee makwao, ili wenyewe sasa ndio waingie ulingoni!. Kutawaliwa na wageni wahamiaji kwa muda mrefu sana nako kunachosha!, utadhani wenyewe hawapo kumbe wako kama mazuzu tuu!. Kama wenyeji wameacha uzuzu wao nao sasa wameamka kudai haki yao ya uwakilishi wa watu wao, wapewe haki hiyo!, tena nashauri hata zoezi la kujiandikisha, kila mtu ande akajiandikishe kwao, ili uwingi wa mamluki baadhi ya maeneo, kusipelekee eneo hilo kuendelea kuwakilishwa na mamluki!.
Mfano mimi ni Msukuma, nalitamani sana jimbo la Lyatongo kule Moshi Vijijini, nitaanzia wapi kabla ya kuitwa "kyaska" lakini kwao ni hivi hivi 'vyasaka' vyao vimetapakaa majimbo ya wenzao!, yaani kwao ni kwao na kwa wenzao ni kwao!.
Hii ni kama 'changu changu', 'chako changu' 'chake changu', 'chao changu', 'chetu changu'.
Yaani eneo lao ni kwao tuu, na wao tuu, lakini maeneo meingi yote kwa wengine pia ni kwao!.
Sorry mtakaoniita mbaguzi, huo ndio ukweli wenyewe, kama wenyewe pia wapo wapishwe!, kama wapo lakini hawana uwezo, then wajengewe uwezo hata kwa affirmative action, washike wenyewe sio kila siku kushikiwa!.
NB. Kuna makabila yenye kupenda kesherehekea defloration kwa shuka nyeupe kuonyeshwa hadharani ndipo sherehe ya ndoa hufuatia!, ikitokea mhusika ameshindwa kufanya defloration, ili kukinga aibu kwa familia, kaka mtu au hata ikibidi baba mtu, huingia kusaidia kwenye hiyo process ya defloration, na baada ya hapo, huendelea kuservice hadi mhusika apate uwezo na kama anachelewa kupata uwezo, juhudi za dhati za kumjengea uwezo hufanyika!. Sasa hao ambao kila siku huwa wanashikiwa na kuservisiwa na watu baki, wataservisiwa hadi lini?!. Natoa wito wajengewe uwezo waji service wenyewe!.
Kama kitendo cha kuomba, wasio na uwezo, wajengewe uwezo kwa affirmative action nako kutatafsiriwa kuwa ni ubaguzi, then najikubali Pasco wa jf ni mbaguzi wa affirmative action!.
Pasco
Mfano mimi ni Msukuma, nalitamani sana jimbo la Lyatongo kule Moshi Vijijini, nitaanzia wapi kabla ya kuitwa "kyaska" lakini kwao ni hivi hivi 'vyasaka' vyao vimetapakaa majimbo ya wenzao!, yaani kwao ni kwao na kwa wenzao ni kwao!.
Hii ni kama 'changu changu', 'chako changu' 'chake changu', 'chao changu', 'chetu changu'.
Yaani eneo lao ni kwao tuu, na wao tuu, lakini maeneo meingi yote kwa wengine pia ni kwao!.
Kama 'wenyeji' wa Arusha hawawezi kusimama wenyewe na kugombea na kuchaguliwa nani alaumiwe?
Mkuu bora ungekaa kimya hivi unawajua wabunge wachaga ambao wapo mikoa mingine wapo wangapi? Kuna wabunge mpaka wa viti maalum wa Chadema wanatoka mikoa mingine lakini wachaga.PASCO.....mwambie na CHAMBIRI aende akagombee TARIME atoke Babati.....kumbe na wewe ni mchumia tumbo...PPR bila ya kutongoza maCCM haifanyi kazi...Ng'wanangwa inzala ikukubulaga shoshaga amasala.