Mkuu wa Mkoa wa Arusha (Batilda Buriani) na ukabila; Ukemewe na kila mmoja wetu!

Nimewaelewa sana tuu na natumaini pia mmenielewa

Mimi sio mkabila sio mbaguzi bali ni mkweli too much!.
P
Got you well here chifu! Hapa your were more than composed. Tuendelee kukemea baadhi ya makabila kujaribu kujiona 'mabeberu' over others! We are all tribes equally.
 
Na ukweli unaouonyesha hapa una depict ukweli wa msema kweli namba moja wa nchi hii,ambaye pia anajinadi kama "mpenzi wa mungu" na ukweli wenyewe ni kuwa muna chuki kubwa mno kwa wachagga!! Na ni ukweli pia kuwa mnapambana kufa na kupona kutengeneza superiority ya wasukuma!! Mnaishia kujenga chato kwa tofali mnazobomoa moshi,huku mkisahau kuwa kusambaa huko kwa wachagga kumewasaidia kwa kiasi kikubwa wasukuma wenyeji,wachagga na wasukuma wameishi kwa kuheshimiana na kupendana kwa makumi ya miaka ila sasa nyie wanasiasa tumbo mnataka kugawa mapanga ili msukuma amuue mchagga kwa kumwaminisha kuwa matatizo yote ya msukuma yameletwa na mchagga,leo hata ajira serikalini zinategwa kwa mtindo wa not for chaggas,kwenye serikali kuu mmesha waondoa wote,kwenye maeneo yao mnabana bajeti za kimaendeleo huku mkizirundika chato na dar,waha wa kigoma wanawaangalia tu,wahehe wa iringa wanawaangalia tu,wakurya wanawacheki tu,wanasema Ipo siku!!
Nimewaelewa sana tuu na natumaini pia mmenielewa

Mimi sio mkabila sio mbaguzi bali ni mkweli too much!.
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Capt. Tamar, hii sii kweli hata kidogo!.
Yako mambo mazuri ya Kilimanjaro tunayaenzi, mfano msamaha wa wafungwa wa juzi, hakuna wafungwa wa Mkoa wa Kilimanjaro waliosamehewa kufuatia jela la huko hakuna mwizi wa kuku wala vibaka, kule ni issue kubwa kubwa tuu za vifo vya mabilionea, kuvunja benki au ATM etc ambazo msamaha hauhusu.

This is good hadi Magereza ya huko hakuna kesi za kibwege bwege!.

Hamkuona juzi juzi Dr. Ringo Tenga na Peter Noni wameachiwa?.

Harry Kitlya, Sioi na Shose nadhani wanakamilisha taratibu nao soon they will be free. Mnataka mfanyiwe wema gani zaidi?

Haya ni maendeleo na yametambuliwa.
P
 
Acha masihara pasco,unaendelea kudhihirisha ubaguzi wenu,hadi wafungwa mmewabagua,tunawacheki tu
 
Sukumagang ni ITIKADI iliyoasisiwa na JPM kwa manufaa ya wasukuma ukiwemo wewe Paskali Njalah Mayala, na kwa faida yako Sukumagang

Wasukuma kama hilo ni tatizo fanyeni kazi ya kulifuta maana hata wewe hujawahi kulishutumu huko nyuma!
Mkuu MTK , angalia tuu tarehe ya bandiko ujue watu huu udini, ukanda na ukabila, watu tumeanza kuukemea lini.
P
 
ubaguzi huu
 
10 years Later, Vipi umebadili msimamo!!!
 
10 years Later, Vipi umebadili msimamo!!!
No bado siungi mkono ukabila, na msimamo wangu ni ule ule, ukiwa huna uwezo, rukhsa kusaidiwa!. Wazawa wa A-Town, hawana uwezo wa kuwa wabunge wa jiji la Arusha, hivyo acha waende wasaidiwe!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…