M/kijiji,
Hapa kwetu tuna kuua na kuua bila kukusudia. Ila kama kawaida sheria zetu zinawahusu baadhi ya watu na wengine haziwagusi.
Hizi tafsiri za DPP ni kiini macho. Mfano watu walioshiriki katika tukio la ujambazi, wakati wa kupora ikatokea wamemuua mtu, hatuna daraja la kuua, hapa moja kwa moja hawa watashitakiwa kwa mauaji, imeshatokea na inaendelea kutokea. Kwa mtizamo wa DPP hawa hawakuwa na lengo la kuua, hawa ni wezi, lengo lao lilikuwa ni kuiba tu, walishambuliwa kwa mawe etc.