Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ditopile Mzuzuri akamatwa kwa mauaji ya Dereva wa Daladala

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ditopile Mzuzuri akamatwa kwa mauaji ya Dereva wa Daladala

mwkjj hata mimi nasubiri kujua serikali imekuwa karibu na familia ya mbonde kwa kiasi gani. Tujuze tafadhali.
 
serekali ya awamu ya nne imeingia majaribuni kwa mara nyingine bila yenyewe kujijua , hili ni tukio la aina yake kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu tangia JK kuingia madarakani , sasa na sisi wenzetu tuna jiuliza itakuwaje kama itakuwa serikali imejivua nguo barabarani?

tusaidiane katika hili na tumsaidie JK na wafungwa wake......
 
Haki sawa kwa wote na sheria ni msumeno unakata huku na huku!
 
serekali ya awamu ya nne imeingia majaribuni kwa mara nyingine bila yenyewe kujijua , hili ni tukio la aina yake kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu tangia JK kuingia madarakani , sasa na sisi wenzetu tuna jiuliza itakuwaje kama itakuwa serikali imejivua nguo barabarani?

tusaidiane katika hili na tumsaidie JK na wafungwa wake......

Leo majira ya saa tano asubuhi, wafungwa waliokuwa wameletwa kuendelea na kesi zao kwenye mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam walikataa katakata kushuka kwenye karandinga.

Karandinga zilikuwa mbili zikiwa na mahabusu wa Keko, Ukonga na Segerea, walipofikishwa mahakamani pale wakaamriwa kama kawaida washuke kwenye karandika ili waswekwe kwenye sero ya pale! Walikataa kwa kupiga kelele na kuimba kwamba hawashuki kwa sababu mahakama za Tanzania haziwatendei haki mahabusu na wafungwa. Aidha wamelalamika kesi zao kuchukua muda mrefu wakiwa wanaachwa rumamnde bila kupata dhamana.

Maaskari baada ya kuona jambo hilo limeanza kuleta mvuto wa ajabu kwa raia ambao walikuwa pale mahakamani kwa kuwasupport ilibidi defender isafishe njia na makarandinga hayo yakatokomea kurudi Keko, Ukonga na Segerea. Waliondoka wanimba wimbo wa "Parapanda ....... !

Kazi kweli kweli, nguvu ya mnyonge labda itaweza kuwaamsha walio katika usingizi wa fofofo!!

Binafsi naona wamefanya kitendo ambacho ni positive, na hata kama haki haitapatikana mapema ila ujumbe wao umefika.

Wasiwasi wangu ni je, wakija tena mahakamani hakimu anaweza kuwahukumu kwa kutoiheshimu mahakama? Ngoja tuone....
Walikuwa na madai ya msingi kwanini awahukumu kwa kudharau mahakama!
 
Kwa mtazamo wangu hawa ndiyo wa kulaumiwa.Mahakimu , Jeshi la Polisi ,Mkurugenzi wa mashitaka na Ofisi ya mwanasheria Mkuu.
Mahakimu kwa kutowakemea Polisi kwa kutokamilisha upelelezi mapema na wakishindwa basi kwa wale ambao wamekaa ndani muda mrefu ikibidi wawaachie au wawape dhamana, Jeshi la polisi kwa kutofanya jitihada za maksudi kufanikisha upepelezi kwa haraka,Mkurugenzi wa mashitaka kwa yale mafaili ambayo yanapitia kwake kwa maamuzi kuyaweka muda mrefu ofisini kwake bila ya kuyapatia maamuzi husika,mwansheria mkuu kwa zile kesi zinazohusu serikali kama mshitaki au mtoa ushahidi azishughulikie haraka,Hizi ikiwa na zile walizokatiwa rufaa wakamilishe utetezi wao wakati muaafaaka.
 
Naam wengi wenu pia mnaangalia suala hili la kesi kishabiki sana.

Hapa kuna masuala mawili yapo as much related as they are different.

1.ditopile kaachiwa kwa dhamana baada ya mashtaka yake kubadilishwa.

Baadhi wanadai kwamba kwanini kesi yake inaenda spidi ukilinganisha na washtakiwa wengine wa kuua bila kukusudia, in fact wengine wana-argue kwamba kwanini mashtaka yabadilishwe?

HAPA MAJIBU NI KAMA IFUATAVYO:

Ditopile alipofanya kitendo ambacho mpaka sasa ameshtakiwa kwacho mahakamani, alifanya jitihada mwenyewe za kujisalimisha. Akakamatwa na pia aliamua mwenyewe kabla hajawahiwa kujiuzulu nafasi zake serikalini.

Then kakaa rumande mpaka hapo ilipoangaliwa mazingira ya kesi mashtaka yakabadilishwa na kuwa kuua bila kukusudia, ni jambo ambalo unastahili kupata dhamana, kafuata masharti ya dhamana na kutolewa.

Kwa nini Kesi yake inaenda haraka sana:

Kuna kesi ambazo mazingira ya tukio na participation ya mshtakiwa yanapelekea kesi hizo kuendeshwa haraka, hili halina shaka.

Iwapo kesi ya Ditto ingepangwa kusikilizwa mwisho wa mwaka huu wengi humu mngehoji KULIKONI? lakini mwenye katoa ushirikiano wa kutosha kwa waendesha mashtaka na pia mazingira yake yalikuwa ni rahisi kupatikana ushahidi unaotakiwa kuendesha kesi hivyo ndio maana mashtaka yamechukua kile kinachoonekana haraka kuliko wengine.

Kwa Nini kesi nyingine zinachukua muda nk

Hili nalo ni jambo linashughulikiwa na serikali kwa kushirikiana na mamlaka husika. Kulikuwa na msongamano wa kesi kwa vile majaji wachache, Kikwete kateua majaji lukuki kwa uwezo na kesi zitaanza kupungua soon.

Hakuna anaewekwa kwa muda zaidi ya mazingira yalivyo, kuna kitu kwenye judiciary tunaita CASE FLOW MANAGEMENT committee nayo ni kamati inaongozwa na jaji kuangalia uendeshaji wa kesi, mashtaka na treatmend ya remandees nk na kwa dar yalipotokea masaibu haya kamati ilikwishapitia kesi zote na kutoa maelekezo ya waliotakiwa kushughulikiwa nk na hatua zinaendelea.

Of course mahabusu kugoma katika karandinga is a sorry state which should n't have taken place lakini sisi sio kama zimbabwe hatukuwapiga watu hawa kwa kugoma bali mahakimu na wadau wengine walikwenda na kusema nao na makubaliano yamefikiwa tayari.

Nimearifiwa hivi punde kwamba Arusha kesi zinaanza rasmi kusikilizwa jumatatu baada ya mahakimu kuongea na mahabusu na kufikia muafaka.

Hapa hamna budi ku-appreciate hatua za kiungwana tulizochukua kabla ya kushambulia,

Our judiciary needs changes, everyone agrees that lakini hilo sio kosa la establishment ni sehemu ya our continous efforts to make things better...

Ninyi mnakalia tu ooh wameanza wenyewe wataipata safari hii nk....

Fuatiliani mambo with a neutral eye ndio mtoe analysis sio mtoe conclusion ndio mfuatilie mambo, hiyo inakuwa bias!
 
Kulikoni!
Hakuna nchi yeyote inayofuata utawala wa sheria unamuweka mtu mahabusu kwa miaka sita au zaidi kwa kisingizio cha ushahidi haujakamilika.Ninachosema kama ushahidi haujakamilika unamuachia mshitakiwa na unapokuwa na ushahidi unamkamata na kuendelea na kesi hii ni hata kesi kubwa kama za mauaji.Huu unaofanyika ni ukiukwaji wa haki za binaadaamu na sheria vilevile.
 
Of course you are right on that lakini huna budi kukumbuka kwamba tunahitaji masuala mengi kubadilika.

Waiting lists ni jambo linalosumbua wengi katika sekta mbali mbali kwa kukosa masuala mengi, uzito wa makosa unahitaji kupimwa.
This has nothing to do with government, wasiliana na JUDICIARY mimi nilikupa yale ambayo serikali inafanya kurekebisha tatizo kwenye eneo linalotuhusu.
 
Kulikoni judiciary wanahusika vipi na kutafuta ushahidi na kuendesha kesi?

Swali zuri, hii ni kazi ya law enforcement organ na kwa TANZANIA ni idara ya upelelezi na makosa ya jinai amabayo ipo ndani ya Jeshi la Polisi ambacho ni chombo cha dola ambayo ndiyo serikali,sasa Kulikoni anaponieleza niende nikaulize Judiciary System,Hapo ndiyo ninachoka.
 
MKJJ

Kama mtu kweli amekaa miaka sita na ushahidi bado basi hakimu/jaji ana uwezo wa kufuta hiyo kesi ikiwa kila siku ikienda mahakamani inapigwa tarehe na prosecutors.

Ikiwa haijakwenda mahakamani wapitia majalada na kucross check na wafungwa i.e. CASEFLOW MANAGEMENT COMMITTEE basi majaji ndio wadau hasa husika ambao wanaweza kumshauri DPP kuwa kesi hii imeshakosac merit ifutwe nk...

I hope you get my point.

Tatizo lililokuwepo awali ni kuwa majaji walikuwa wachache na watendaji wa kisheria, majaji tumeteua wengi tu sasa ama kuhusu wanasheria ni vigumu serikali kuintervene quickly enough kwani huwezi kuteua mwanasheria ni jitihada za wananchi tumesawasaidia kwa kuanzisha vyuo extra lakini safari ni ndefu sana...

Hivi unajua kwamba tanzania tuna less than 1000 qualified advocates? my last count was december 2005 na tulikuwa na 735 lawyers in total...
 
Kulikoni: Pole maana inabidi uwe na roho ngumu kuitete serikali ya CCM.

Kwa kuongezea pale waliposema Kazi na MKJJ, suala hili ni la kisera kisha kisheria. Serikali inayoongozwa na chama chenye akili na inayotaka kuzingatia utawala wa sheria na haki za binadamu, ingeandaa sera na kisha mswada wa sheria wenye kuanisha waziwazi muda wa kukamilika kwa kesi na kama ushahidi haupo nini kifanyike. Sasa hili mahakama haiwezi kufanya; mahakama haiwezi kutunga sheria na kutoa hukumu hapohapo, wewe si jana umeongelea mgawanyo wa madaraka, leo tena umeshasahau?

Sasa kama mtu anakaa mahabusu for six years, what happens akipatikana hana hatia? Hatuoni kuwa tunawaadhibu watu mara mbili?

Tunakuomba ulione hili kama tatizo na uwashawishi wenzako serikali litafutiwe ufimbuzi wa kiutendaji na kisheria pia.
 
Of course you are right on that lakini huna budi kukumbuka kwamba tunahitaji masuala mengi kubadilika.

Waiting lists ni jambo linalosumbua wengi katika sekta mbali mbali kwa kukosa masuala mengi, uzito wa makosa unahitaji kupimwa.
This has nothing to do with government, wasiliana na JUDICIARY mimi nilikupa yale ambayo serikali inafanya kurekebisha tatizo kwenye eneo linalotuhusu.
Kulikoni!
Chanzo kikuu cha ucheweleshwaji wa kesi nyingi ni kutokamilika upepelezi sasa Judiciary system has got nothing to do with Upelelezi bali inasikiliza na inahukumu.Ninachoweza kuwalaumu Mahakama ni kuwaendekeza Dola kupitia hao wapelelezi wanapoona muda ni mrefu na wanakuja na hoja ya kutokamilisha upelelezi kwanini hawaachii au kuwapa dhamana washitakiwa(Mahabusu).nafikiri hili lingekuwa linafanyika wasingebweteka na wangefanya jitihada za maksudi kuharakisha upelelezi na kuwarahisishia Mahakama katika uendeshaji wa kesi na kufikia maamuzi kwa haraka.Unajua nini?mazingira ya mahabusu au jela si mazuri sikwambii kwa miaka bali hata kwa siku tu,Jana katika kesi ya mauaji ya yule wakili kuna mtuhumiwa ameachiwa baada ya kukaa ndani miaka sita ,Unafikiri ni nani atalipia hiyo miaka yake sita ambayo alikaa ndani na kupoteza hata ajira yake,sikwambii athari alizozipata kwa kuwekwa kwake ndani kwa muda mrefu...............Kuna athari nyingine hazirekebishiki je atafanya nini.......................kwanza ni bahati kwa wale ambao wanakaa miaka hiyo na kutoka wengi wao wanafia magerezani hata kabla ya hukumu.
 
MKJJ

Kama mtu kweli amekaa miaka sita na ushahidi bado basi hakimu/jaji ana uwezo wa kufuta hiyo kesi ikiwa kila siku ikienda mahakamani inapigwa tarehe na prosecutors.

Ikiwa haijakwenda mahakamani wapitia majalada na kucross check na wafungwa i.e. CASEFLOW MANAGEMENT COMMITTEE basi majaji ndio wadau hasa husika ambao wanaweza kumshauri DPP kuwa kesi hii imeshakosac merit ifutwe nk...

I hope you get my point.

Tatizo lililokuwepo awali ni kuwa majaji walikuwa wachache na watendaji wa kisheria, majaji tumeteua wengi tu sasa ama kuhusu wanasheria ni vigumu serikali kuintervene quickly enough kwani huwezi kuteua mwanasheria ni jitihada za wananchi tumesawasaidia kwa kuanzisha vyuo extra lakini safari ni ndefu sana...

Hivi unajua kwamba tanzania tuna less than 1000 qualified advocates? my last count was december 2005 na tulikuwa na 735 lawyers in total...

Kulikoni.. kama ni hivyo kwanini wale wenye kutafuta ushahidi na hawaupati au wanachukua muda mrefu kuliko adhabu ya kosa wanalochunguza wasiende kwa jaji/hakimu na kusema "jamhuri inaomba kuifuta hii kesi kwani ushahidi hauotoshi"! Kwanini majaji/mahakimu ndio wawe na jukumu hilo? kama polisi wameshindwa kupata ushahidi kwanini wao wasilete hoja ya kufuta kesi kama hizo?
 
MKJJ!
wewe upo marekani hapo ninavyoelewa mimi States nyingi inapotokea mauaji na kumkamata mtuhumiwa na kumfanyia interogation kwa kipindi kisichozidi 24-72 hrs HII INATEGEMEA SHERIA YA STATE ILIPOTOKEA TUKIO kama hawajapata angalau muelekeo wa kujenga kesi bora basi watamuachia Mtuhumiwa na kumfuatilia nyendo zake kwa ukaribu na bado kutafuta vyanzo vingine vya kuunganisha habari na kupata uchunguzi wanapofanikisha hilo wanamrudia mtuhumiwa na kumuweka behind the B.............Na mara nyingi hawamkamati hata yule wanayemshuku mpaka wapate vigezo unganishi vingi vya ushahidi na mara nyingi wanakuwa makini na unakuta mtu anakiri mwenyewe kwenye interogation process kwani wanakuwa na hoja nzito na hakuna kulala mtu mpaka kieleweke kuna interogation zinachukua hata masaa 20 mfululizo au zaidi.
 
Swali la msingi kama hilo linafanyika sehemu nyingine kwanini tanzania tushindwe na kuweka mafaili ya kesi za watu muda mrefu bila ya kujali haki yao ya kuwa huru pale tunapokuwa hatujakamilisha ushahidi wa kuunda kesi bora.
 
Kulikoni!
Polisi, mkurugenzi wa mashitaka,mwendesha mashitaka wa serikali hata waseme nini kuhusu swala la Ditopile Bado ukweli utabaki kwamba kulikuwa na special treatment mengine yanayosemwa sasa ni kujustify yale ambayo wameyafanya na umma wa Tanzania umeona ni upendeleo Miaka sita,kumi na kumitano huwezi kulinganisha namiezi mitatu au minne ya mtu kuwachiwa kwa dhamana.
 
Back
Top Bottom