Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Hauelewi ila unajifanya unaelewa.Wewe kinachokusumbua inaonekana uko kwenye kundi la legacy badala ya kuangalia mahitaji ya nchi.Unachoshindwa kurlewa ni kwamba kabla ya huyo magufuli kazi zilikuwepo na watu walifanya na zitaendelea kuwepo hadi mwisho wa dunia.Kwahiyo hakuna mtu special kwenye nchi.Ndo maana tunasema hakuitajiki kua na mtu wakutusukuma bali iwepo mifumo ili ifanye kazi miaka mingi zaidi umri ambao huyo mtu wako wakukufokea hawezi kufika.
Hoja hapa ni kuwa hakuna nidhamu ya moyoni kwenye kufanya kazi
Una kichwa kizito sana.