Mkuu wa nchi lazima awe mkali na aogopwe. Asipoogopwa kila kitu kitakwenda mrama. Hata hayati Julius Nyerere aliogopwa na alikuwa mkali

Sio yeye anasukumwa tu na Mjomba ambae bado ana uchu wa madaraka; hukumuona jinsi alivyokuwa anahangaika kwenye meza kuu wakati wa mkutano mkuu, alikuwa hatulii mzee mzima kutaka kujionesha tu kuwa yeye ndio KING maker!!!
Mzee ana ushawishi mkubwa sana, tukubali tu hilo.
 
Yani wewe mtoa mada inabidi uwe unasoma soma mambo ya manejimenti,ilifikia mahali Magufuli watu walikuwa wanamuona kama kikalagosi.Huwezi ukategemea watu wazalishe kwa kuwakalipia,mwisho wa siku watu watakuzoa hulka zako na kukuachia zigo lote mwenyewe sijui utafukuza wangapi na kuajiri wangapi-na katika hilo bado kuna cost implications na skills implications.

Kama kiongozi,unatakiwa ujenge Taifa la watu watakao tii sheria,kanuni na taratibu watu wajue fika akienda against basi kuna hatua dhidi yake zitachukuliwa.

Katika Nchi za kiafrika inakuwa ngumu kutokana na kuwa unakuta Rais mwenyewe amepata hicho kiti kwa rushwa na hisani,bado yeye mwenyewe anashiriki kwenye wizi kama akina Magufuli,Kikwete,Mkapa na Mwinyi-sasa kiongozi wa hivyo atasimamiaje rushwa???.Nyerere aliweza kwa sababu alikiwa sio mula rushwa na yeye mwenyewe alikiwa front katika utendaji kazi ikitokea Mtumishi amezingua anakuwa na kifua cha kuwajibisha.
 
Kuimarisha taasisi ni pamoja na kubadili tabia au mindset za watu.
Wewe na huyo bibi yako mnachoshindwa kuelewa ni kuwa, JPM aliamua kutekeleza kwa vitendo kanuni na sheria za kazi, utaheshimu miiko ya kazi yako, kuanzia muda,utendaji n.k. na hakuna kubembelezana kwenye hilo vinginevyo kitakukuta kitu, na hii ndio ilileta woga kwa watumishi kwani ni kama lilikuwa jambo geni hasa kwenye mashirika ya umma ambayo yalikuwa yameoza kwenye upande wa uwajibikaji,uzembe uliokithiri n.k
Unafikiri kwanini secta binafsi zinafanya vizuri tofauti na mashirika ya umma?
Hata mwenyezi Mungu aliweka adhabu na ndio inayomfanya binadamu amuheshimu Mungu japo hajawaji kumuona.
Anayefuata sheria na taratibu kamwe hawezi kuwa mwoga.
Dhana ya kwamba JPM alileta nidhamu ya uoga ni ya kipuuzi, na kama hiyo nidhamu ya uoga ndio iliyoifanya tanesco isikate umeme hovyo, MSD kutoa madawa kwa wakati, hospitali na mashirika mengine kutoa huduma bora na kupunguza kama sio kuondoa rushwa, kero na uozo mwingine, kwangu ni kheri.
Kama kweli hilo lilikuwa ni tatizo kwake,huu mwaka anaosheherekea angekuwa ameimarisha hizo huduma kupitia njia anazoamini yeye pengine, asingekuwa anabwabwaja hivi sasa kwa kutafuta sababu zisizo na mashiko.
 
Marekani na Ulaya, ambapo tunawaiga kwa demokrasia, hawabembelezani.

Trump alikuwa anafukuza watu karibu kila siku.

Hakuna kitu kinachoitwa nidhamu ya moyoni!
Nchi iko outopilot ndugu zangu.
 
Kufokeana na kufukuzana ni kweli siyo lazima. Vitu kama hivyo havipo nchi zilizoendelea. Lakini pia, nchi zilizoendelea hakuna upuuzi kwa wafanya kazi. Kila mtu anajuwa wajibu wake, na anajuwa asipotimiza anayotegemewa atafukuzwa kazi.
Huko Maarekani mnakotolea mifano kuna state ambazo haziruhusu longolongo ya vyama vya wafabyakazi. Sehemu nyingi watu hulipwa kwa masaa waliyofanya kazi siyo masaa wanayotegemewa kufanya kazi. Kuingia kazini una"clock in". Ukitoka kwenda mapumziko una"clock out" na hiyo saa ya mapumziko hailipwi. Ukifanya kazi masaa 30 ndiyo utakayolipwa. Ukienda hospitali kama huna sick leave ujuwe hutalipwa. Sehemu nyingi unapata sick leave ya sick moja kwa mwezi au siku 12 kwa mwaka. Hata ukiugua vipi ujuwe kama sick leave imresha muda wote utakaokuwa nje ya kazi hakuna malipo.
The employer is not in the business of appeasing employees but making sure they get paid for what they worked for. Sasa CEO wa TZ anasema hiyo staili siyo nzuri, anataka sifa. Nchi haiwezi kuendeshwa kwa lele mama. Sasa hivi yale aliyofanikiwa Magufuli yamefutika. Wale wanaokula bila kunawa wamerudi, na wamerudi kwa nguvu mpya. Kumbuka kitanda chenye kunguni kisipolaliwa kwa wiki, ukapata mgeni na kumkaribisha kulala kwenye hicho kitanda atakoma. Hasira na njaa ya wiki nzima ya kunguni itaishia kwa mgeni. Siku hiyo mgeni hatalala. Hii ndiyo mnaona hata kingpins wa madawa ya kulevya ambao waliponea chupuchupu kunyongwa wanatuzwa kwa kupewa uwaziri. This can only happen in TZ. TZ is bleeding and bleeding badly.
 
Duh !
 
Huo ndio ukweli nidhamu ya moyoni kwa waTZ huwa haipo kabisa tusijidanganye !!
 
Kazi ya mwanamke ni kuzaa na kupiga umbea sasa wewe unampa nafasi awe kiongozi unategemea nini?

Hata Mungu anatushangaa hili taifa mana tumetenda tofauti na maagizo yake. Tangu lini mwanaume akawa chini ya mwanamke? Labda watu wa pwani wanaweza hili.

Aiseee!
 
Bila HOFU kwa hawa waliopewa dhamana ya kuwatumikia watanzania, hatutasonga mbele kamwe.

HATA SISI TUNAOMTUMAINI MUNGU IWE WAKRISTO AU WAISLAM TUNA HOFU KWAMBA TUKITENDA DHAMBI UPO MOTO.
NA NDIO MAANA TUNAJITAHIDI KUTENDA YALIYO MEMA KWA SABABU YA KUOGOPA MOTO !! NA KUYAACHA YALE MABAYA KWA SABABU TUSICHOMWE MOTO !!
 
Siyo hospital yetu tu, hali ipo hivyo kote.

Hakuna nidhamu ya moyoni na kwa asili Waafrika hatupendi kazi, tunaona ni utumwa.

That's why tunahitaji kiongozi imara kama Magufuli anayeweza kusimamia vizuri.

Na hiyo ndio nidhamu yetu ya moyoni.
Kwa kweli usipoangalia vizuri ujue kwa watanzania utavuna mabua !! Na watakupigia makofi na kukusifu sanaaa !! Lakini ujue MABUA YANAKUNGOJA !!! Hao ndio waTZ tunaowafahamu sisi wakongwe from our experiences tangu awamu ya kwanza !! Mwalimu alikuwa akiwaambia ukitaka kucheza chezea mshahara wako usichezee kazi yangu niliyokupa !!
 
Mliaminishwa hivyo! Ni vigumu kuwabadilisha mind set zenu. Maana hakuna kipimo rasmi kinachoweza onyesha uwajibikaji wakati wa Jiwe kulinganisha na sasa, zaidi ni porojo tu. Mliongopewa na camera tu! Sasa hivi kila mtu ana haki ya kusema akiona kasoro. Lakini wakati ule haikuruhusiwa mpaka ukutane na Jiwe jukwaani ndiyo umueleze. Wakati mwingine alilazimika kujibu, kuwa kajisaidie nyumbani kwako! Yale ni matokeo ya kuchanganyikiwa kwa mtu anayetaka kusifia uongozi wake, sasa akaona kama ameponda. Kwanini asi punic?
Kifupi huduma ni vilevile.
 
Pole sana umebakiza mambo machache kuthibitisha kuwa watumishi wa hiyo hospital ni wehu, mmojawapo ni wewe! Kumbe si issue ya vyeti feki tu, itabidi kufukuza hata wafanyakazi wehu kama nyie. Inaonyesha wewe ukiliwa tigo utawaambia wakwe zako, familia yako, ikiwezekana utajitokeza hadharani kulaani waliokutenda ukiweka na picha yako mbele, ukidai umegongwa kwa mbinde! Kumbe inapaswa kuwa siri yako. Kumbuka Si kila jambo la kujisifia. Ili tu umchafue mama, kumbe unajimaliza. Kuna mwenzio alinusurika ktk ajali ya basi, akasema naishukuru serikali ya Jiwe kwa kunusurika, Wewe unadhani yule alipona au ndiyo aligeuka kuwa chizi mwenzio.
 
Mbona tunapandanisha mambo enzi ya Lyatonga na JPM ni zipi hizo? Kama umeamua kuchambua post ya juu basi endelea na mifano ya post ya juu. Ili tu mama aonekane siyo unampima na Mrema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…