Tafuta Hela
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 1,546
- 2,983
Tumepigwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee ana ushawishi mkubwa sana, tukubali tu hilo.Sio yeye anasukumwa tu na Mjomba ambae bado ana uchu wa madaraka; hukumuona jinsi alivyokuwa anahangaika kwenye meza kuu wakati wa mkutano mkuu, alikuwa hatulii mzee mzima kutaka kujionesha tu kuwa yeye ndio KING maker!!!
Umemsahau na boss wao mkubwa kabisa aliyepo kule magogoniKwa hiyo hiyo hospitali mnasubiri Rais aje awaambie jinsi ya kutumia muda?
basi hiyo ni hospitali ya vichaa kuanzia Director/Incharge mpaka mfagizi.
Kuimarisha taasisi ni pamoja na kubadili tabia au mindset za watu.kwani sasa hivi hamuwi kwenye matatizo? siku yakikukuta utashukiwa individually.
Hata kipindi cha Magu walikuwepo nunda kama wewe, ndio maana leo tunawaona Makonda na Sabaya wakitiwa akili.
Wangekuwa wameisha watu wa hovyo basi jiwe asingekuwa anafukuza/simamisha watu kila leo.
Concern ya Rais ni smart sana,tusimamie taratibu kama wasomi na sio nguruwe mpaka aswagwe.
Tujenge taasisi imara za kusimamiana,rais atapita lakini taasisi smart zitabaki. Mf mzuri Hayati amesepa halafu mnabaki na nini?hayati angekuwa smart angeimarisha taasisi na sio kukaza kichwa tu kama vile utakuwepo milele
Ivi hakupigwa na mbowe kisa kuhitaji uenyekitispeculations kwako,sio kwa kila mtu. si huyu Lissu kasema alipigwa risasi na kitengo cha ikulu?
Wewe ni MPUMBAVU (kwa harufi kubwa)..Na ni lazima atese na kuua wapinzani wake.
..pia awe mbaguzi na apendelee eneo anakotoka.
nenda kajifunze kuandika kwanzaIvi hakupigwa na mbowe kisa kuhitaji uenyekiti
Nchi iko outopilot ndugu zangu.Marekani na Ulaya, ambapo tunawaiga kwa demokrasia, hawabembelezani.
Trump alikuwa anafukuza watu karibu kila siku.
Hakuna kitu kinachoitwa nidhamu ya moyoni!
Kufokeana na kufukuzana ni kweli siyo lazima. Vitu kama hivyo havipo nchi zilizoendelea. Lakini pia, nchi zilizoendelea hakuna upuuzi kwa wafanya kazi. Kila mtu anajuwa wajibu wake, na anajuwa asipotimiza anayotegemewa atafukuzwa kazi.Amerika Waamerika hawamuogopi President wanamuheshimu vivyo hivyo nchi lukuki duniani watu wao President ni mwananchi mwenzao tu wanampa ile heshima tu ya kiongozi. Huku Afrika kuna raia kama wewe mleta sledi mnatutaka tuishi kama tupo kwenye zama za Anno Donimo (AD) enzi za akina Kayafa, Herode, Pilato, Koreshi huko Guba ya Uajemi, maFirauni aka maFarao wa Sinai nk
WaSwahili husema ukicheka na nyani utavuna mabua !! Ukiwa msimamizi wa shamba ni lazima uwe mkali vinginevyo utavuna mabua !!Nini kimemkumba mkuu wa nchi yetu?
Duh !Kufokeana na kufukuzana ni kweli siyo lazima. Vitu kama hivyo havipo nchi zilizoendelea. Lakini pia, nchi zilizoendelea hakuna upuuzi kwa wafanya kazi. Kila mtu anajuwa wajibu wake, na anajuwa asipotimiza anayotegemewa atafukuzwa kazi.
Huko Maarekani mnakotolea mifano kuna state ambazo haziruhusu longolongo ya vyama vya wafabyakazi. Sehemu nyingi watu hulipwa kwa masaa waliyofanya kazi siyo masaa wanayotegemewa kufanya kazi. Kuingia kazini una"clock in". Ukitoka kwenda mapumziko una"clock out" na hiyo saa ya mapumziko hailipwi. Ukifanya kazi masaa 30 ndiyo utakayolipwa. Ukienda hospitali kama huna sick leave ujuwe hutalipwa. Sehemu nyingi unapata sick leave ya sick moja kwa mwezi au siku 12 kwa mwaka. Hata ukiugua vipi ujuwe kama sick leave imresha muda wote utakaokuwa nje ya kazi hakuna malipo.
The employer is not in the business of appeasing employees but making sure they get paid for what they worked for. Sasa CEO wa TZ anasema hiyo staili siyo nzuri, anataka sifa. Nchi haiwezi kuendeshwa kwa lele mama. Sasa hivi yale aliyofanikiwa Magufuli yamefutika. Wale wanaokula bila kunawa wamerudi, na wamerudi kwa nguvu mpya. Kumbuka kitanda chenye kunguni kisipolaliwa kwa wiki, ukapata mgeni na kumkaribisha kulala kwenye hicho kitanda atakoma. Hasira na njaa ya wiki nzima ya kunguni itaishia kwa mgeni. Siku hiyo mgeni hatalala. Hii ndiyo mnaona hata kingpins wa madawa ya kulevya ambao waliponea chupuchupu kunyongwa wanatuzwa kwa kupewa uwaziri. This can only happen in TZ. TZ is bleeding and bleeding badly.
Huo ndio ukweli nidhamu ya moyoni kwa waTZ huwa haipo kabisa tusijidanganye !!Mkuu kwenye hii hospital ninayofanyia kazi siku hizi tunaingia ofisi 07:30 then tunakuwa na vikao vya Morning Report mpaka 09:00 hadi 09:30.
Hapo mtaenda kuhudumia wagonjwa hadi kwenye 10:30 halafu watu wanaenda canteen kunywa chai. Chai inanyweka huku stori zinapigwa hata mpaka 12:00 hivi au zaidi.
Mkirudi mnafanya kazi saa moja au moja na nusu mnarudi canteen kupata lunch ndio mpaka saa 15:30 watu wanarudi ku-sign out. Siku imeisha.
Hiyo ndio nidhamu ya moyoni ya hawa Watanzania hapa nilipo. Enzi za Magufuli tulinyooshwa na kazi zilifanyika kwa weledi knowing ukizingua imekula kwako.
RIP Magufuli.
Mkuu wa nchi ambae ndio ndio custodian wa mali za taifa la watanzania kudai kuwa hawezi kufokea mtumishi wa umma ni kushangaza umma wa watanzania.
Kwamba watumishi wa umma wakiharibu atawabembeleza?
Nimekaa na wazee wengi waliofanya kazi na hayati Julius Nyerere wanasema wazi kuwa Mwalimu alikuwa mkali sana.
Ilitokea akikuita kwake Msasani au Ikulu ilikuwa lazima upate wasiwasi na woga mkuu.
Wengine aliwaita kuwapongeza lakini hawakuamini walichoitiwa wapo pia aliowafokea hadharani au hata kifichoni.
Kwamba mkuu wa nchi unafanya kazi kwa kuonea aibu wateule wako? Kwamba utakuwa unawabembeleza?
Mbona hii sio sawa? Mkuu wa kaya lazima uwe mkali ili nidhamu ipatikane kuanzia juu mpaka chini.
Hatusemi ufokee watu kama watoto wako. Bali uwe na maamuzi na maelekezo yenye kuonyesha kuwa kuna kiongozi mwenye mamlaka aisiyetaka mzaha na anataka watu wafanye kazi.
Mfano, tulitegemea umkaripie January Makamba maana mradi wa JNHP unaweweseka kama vile hauna manufaa kwa wanaCcM wenzake.
NA NDIO MAANA TUNAJITAHIDI KUTENDA YALIYO MEMA KWA SABABU YA KUOGOPA MOTO !! NA KUYAACHA YALE MABAYA KWA SABABU TUSICHOMWE MOTO !!Bila HOFU kwa hawa waliopewa dhamana ya kuwatumikia watanzania, hatutasonga mbele kamwe.
HATA SISI TUNAOMTUMAINI MUNGU IWE WAKRISTO AU WAISLAM TUNA HOFU KWAMBA TUKITENDA DHAMBI UPO MOTO.
Kwa kweli usipoangalia vizuri ujue kwa watanzania utavuna mabua !! Na watakupigia makofi na kukusifu sanaaa !! Lakini ujue MABUA YANAKUNGOJA !!! Hao ndio waTZ tunaowafahamu sisi wakongwe from our experiences tangu awamu ya kwanza !! Mwalimu alikuwa akiwaambia ukitaka kucheza chezea mshahara wako usichezee kazi yangu niliyokupa !!Siyo hospital yetu tu, hali ipo hivyo kote.
Hakuna nidhamu ya moyoni na kwa asili Waafrika hatupendi kazi, tunaona ni utumwa.
That's why tunahitaji kiongozi imara kama Magufuli anayeweza kusimamia vizuri.
Na hiyo ndio nidhamu yetu ya moyoni.
Mliaminishwa hivyo! Ni vigumu kuwabadilisha mind set zenu. Maana hakuna kipimo rasmi kinachoweza onyesha uwajibikaji wakati wa Jiwe kulinganisha na sasa, zaidi ni porojo tu. Mliongopewa na camera tu! Sasa hivi kila mtu ana haki ya kusema akiona kasoro. Lakini wakati ule haikuruhusiwa mpaka ukutane na Jiwe jukwaani ndiyo umueleze. Wakati mwingine alilazimika kujibu, kuwa kajisaidie nyumbani kwako! Yale ni matokeo ya kuchanganyikiwa kwa mtu anayetaka kusifia uongozi wake, sasa akaona kama ameponda. Kwanini asi punic?Siyo lazima aje Rais. Kipindi cha Magufuli hata bila Rais kuja kulikuwa na usimamizi mzuri.
Kila mtu aliwajibika ipasavyo huku akijua asipofanya hivyo atakuwa kwenye matatizo.
Sasa hivi hakuna anayesimamia... Jana ndio tumeambiwa hii ni nidhamu ya moyoni.
Pole sana umebakiza mambo machache kuthibitisha kuwa watumishi wa hiyo hospital ni wehu, mmojawapo ni wewe! Kumbe si issue ya vyeti feki tu, itabidi kufukuza hata wafanyakazi wehu kama nyie. Inaonyesha wewe ukiliwa tigo utawaambia wakwe zako, familia yako, ikiwezekana utajitokeza hadharani kulaani waliokutenda ukiweka na picha yako mbele, ukidai umegongwa kwa mbinde! Kumbe inapaswa kuwa siri yako. Kumbuka Si kila jambo la kujisifia. Ili tu umchafue mama, kumbe unajimaliza. Kuna mwenzio alinusurika ktk ajali ya basi, akasema naishukuru serikali ya Jiwe kwa kunusurika, Wewe unadhani yule alipona au ndiyo aligeuka kuwa chizi mwenzio.Mkuu kwenye hii hospital ninayofanyia kazi siku hizi tunaingia ofisi 07:30 then tunakuwa na vikao vya Morning Report mpaka 09:00 hadi 09:30.
Hapo mtaenda kuhudumia wagonjwa hadi kwenye 10:30 halafu watu wanaenda canteen kunywa chai. Chai inanyweka huku stori zinapigwa hata mpaka 12:00 hivi au zaidi.
Mkirudi mnafanya kazi saa moja au moja na nusu mnarudi canteen kupata lunch ndio mpaka saa 15:30 watu wanarudi ku-sign out. Siku imeisha.
Hiyo ndio nidhamu ya moyoni ya hawa Watanzania hapa nilipo. Enzi za Magufuli tulinyooshwa na kazi zilifanyika kwa weledi knowing ukizingua imekula kwako.
RIP Magufuli.
Mbona tunapandanisha mambo enzi ya Lyatonga na JPM ni zipi hizo? Kama umeamua kuchambua post ya juu basi endelea na mifano ya post ya juu. Ili tu mama aonekane siyo unampima na Mrema!Nadhani mama amesahau kwamba wabongo ni watu wanaotaka kulazimishwa kufanya kazi.
Enzi zile bwana Lyatonga ilibidi awe anatoa viti vilivyokutwa wazi maofisini, wenyenavyo wako kitaa tu kula bata wakati wa kazi.
Wakati wa Kikwete nidhamu ya kazi ilishuka kupita kiasi kwa sababu rais hakuwa serious with anything, zaidi ya kuchekeana na kukwaa pipa kwenda kula bata majuu.
Wakati wa JPM nidhamu ya kazi ilirudi, japo ilikuwa ya woga, lakini watu walianza kufanya kazi na ufanisi wa utendaji ukaongezeka, na sisi makapuku tukawa tunahudumiwa humo maofisini.
Sasa Samia anahubiri nidhmu ya moyoni, mi naona tunarudi kwenye enzi za awamu ya 4!