Eti nidhamu ya moyoni😂. Yani huyu mama kuna kitu anaficha. Ona jinsi wazungu wanakuja kumuona. Nina shaka tunasalitiwa msimamo wa kimapinduzi wa nchi yetu. Si muda tutakua vibaraka wa magharibi.Marekani na Ulaya, ambapo tunawaiga kwa demokrasia, hawabembelezani.
Trump alikuwa anafukuza watu karibu kila siku.
Hakuna kitu kinachoitwa nidhamu ya moyoni!
Awe anafoka foka kama lile jizi marehemu jiweMkuu wa nchi ambae ndio ndio custodian wa mali za taifa la watanzania kudai kuwa hawezi kufokea mtumishi wa umma ni kushangaza umma wa watanzania.
Kwamba watumishi wa umma wakiharibu atawabembeleza?
Nimekaa na wazee wengi waliofanya kazi na hayati Julius Nyerere wanasema wazi kuwa Mwalimu alikuwa mkali sana.
Ilitokea akikuita kwake Msasani au Ikulu ilikuwa lazima upate wasiwasi na woga mkuu.
Wengine aliwaita kuwapongeza lakini hawakuamini walichoitiwa wapo pia aliowafokea hadaharani au hata kifichoni.
Kwamba mkuu wa nchi unafanya kazi kwa kuonea aibu wateule wako? Kwamba utakuwa unawabembeleza?
Mbona hii sio sawa? Mkuu wa kaya lazima uwe mkali ili nidhamu ipatikane kuanzia juu mpaka chini.
Hatusemi ufokee watu kama watoto wako. Bali uwe na maamuzi na maelekezo yenye kuonyesha kuwa kuna kiongozi mwenye mamlaka aisiyetaka mzaha na anataka watu wafanye kazi.
Mfano, tulitegemea umkaripie January Makamba maana mradi wa JNHP unaweweseka kama vile hauna manufaa kwa wanaCcM wenzake.
Sasa wewe unataka kuuhamishiwa kwenye utashi wako?
Kwa nini usianzishe mjadala ulio mlengo huo?
Kwani huu umeanzisha ww hivyo unatembea na marking scheme, au ni wa mumeo hivyo una haki ya urithi kwenye kila kitu cha mumeo?Sasa wewe unataka kuuhamishiwa kwenye utashi wako?
Kwa nini usianzishe mjadala ulio mlengo huo?
Hatutaki nidhamu ya uogaMkuu wa nchi ambae ndio ndio custodian wa mali za taifa la watanzania kudai kuwa hawezi kufokea mtumishi wa umma ni kushangaza umma wa watanzania.
Kwamba watumishi wa umma wakiharibu atawabembeleza?
Nimekaa na wazee wengi waliofanya kazi na hayati Julius Nyerere wanasema wazi kuwa Mwalimu alikuwa mkali sana.
Ilitokea akikuita kwake Msasani au Ikulu ilikuwa lazima upate wasiwasi na woga mkuu.
Wengine aliwaita kuwapongeza lakini hawakuamini walichoitiwa wapo pia aliowafokea hadaharani au hata kifichoni.
Kwamba mkuu wa nchi unafanya kazi kwa kuonea aibu wateule wako? Kwamba utakuwa unawabembeleza?
Mbona hii sio sawa? Mkuu wa kaya lazima uwe mkali ili nidhamu ipatikane kuanzia juu mpaka chini.
Hatusemi ufokee watu kama watoto wako. Bali uwe na maamuzi na maelekezo yenye kuonyesha kuwa kuna kiongozi mwenye mamlaka aisiyetaka mzaha na anataka watu wafanye kazi.
Mfano, tulitegemea umkaripie January Makamba maana mradi wa JNHP unaweweseka kama vile hauna manufaa kwa wanaCcM wenzake.
Ni ujinga kufokea watu bila sababuAwe anafoka foka kama lile jizi marehemu jiwe
Nimetolea mfano tu, sijasema aigwe. Lakini kwa taifa lolote mkuu wa nchi lazima awe mkali na kuogopwa ili asimamie taifa lake vizuri
Mkuu povu lote hili ....huo wa manesi na madaktari ni mfano tu!Unaona taka taka unazoongea hapo? Yani madaktari na manesi waajiliwe na DMO kwa mkataba.. ila nyie walimu na kada nyingine mpate ajila za kudumu.. kwa akili matakataka kama hiyo hivi hata familia yako unaweza kuiongoza wewe?? Your brain is a useless piece of shit...
Aisee naoana unaandika kama vile upo Miaka ya 1970s na mwanzoni mwa 1980s ! Leo haya ukimuuliza Rais au Waziri wa Mambo ya Nje au Balozi yoyote ...Msimamo wa Kimapinduzi ni Nini Utashangaa majibu yao!Eti nidhamu ya moyoni😂. Yani huyu mama kuna kitu anaficha. Ona jinsi wazungu wanakuja kumuona. Nina shaka tunasalitiwa msimamo wa kimapinduzi wa nchi yetu. Si muda tutakua vibaraka wa magharibi.
Labda unakuwa na uelewa mdogo ndio maana unashindwa kuelewa vitu vidogo kabisa. Unadhani kwa nini ofisi za umma zina picha ya rais?Mkuu wa nchi aoogopwe kwani ni Mungu, watu wanatakiwa wafanye kwa kufuata sheria na kila mtu afanye kazi kulingana na miongozo yake. Anayekosea achukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria.
Unaona taka taka unazoongea hapo? Yani madaktari na manesi waajiliwe na DMO kwa mkataba.. ila nyie walimu na kada nyingine mpate ajila za kudumu.. kwa akili matakataka kama hiyo hivi hata familia yako unaweza kuiongoza wewe?? Your brain is a useless piece of shit...
Nani amesema ni lazima? Kuna staili nyingi na tofauti za uongozi ambazo zina mazuri na mabaya yake.Nimetolea mfano tu, sijasema aigwe. Lakini kwa taifa lolote mkuu wa nchi lazima awe mkali na kuogopwa ili asimamie taifa lake vizuri
Kuogopwa kupi unakokusemea wewe?Mkuu wa nchi ambae ndio ndio custodian wa mali za taifa la watanzania kudai kuwa hawezi kufokea mtumishi wa umma ni kushangaza umma wa watanzania.
Kwamba watumishi wa umma wakiharibu atawabembeleza?
Nimekaa na wazee wengi waliofanya kazi na hayati Julius Nyerere wanasema wazi kuwa Mwalimu alikuwa mkali sana.
Ilitokea akikuita kwake Msasani au Ikulu ilikuwa lazima upate wasiwasi na woga mkuu.
Wengine aliwaita kuwapongeza lakini hawakuamini walichoitiwa wapo pia aliowafokea hadaharani au hata kifichoni.
Kwamba mkuu wa nchi unafanya kazi kwa kuonea aibu wateule wako? Kwamba utakuwa unawabembeleza?
Mbona hii sio sawa? Mkuu wa kaya lazima uwe mkali ili nidhamu ipatikane kuanzia juu mpaka chini.
Hatusemi ufokee watu kama watoto wako. Bali uwe na maamuzi na maelekezo yenye kuonyesha kuwa kuna kiongozi mwenye mamlaka aisiyetaka mzaha na anataka watu wafanye kazi.
Mfano, tulitegemea umkaripie January Makamba maana mradi wa JNHP unaweweseka kama vile hauna manufaa kwa wanaCcM wenzake.
Labda unakuwa na uelewa mdogo ndio maana unashindwa kuelewa vitu vidogo kabisa. Unadhani kwa nini ofisi za umma zina picha ya rais?
Kuogopa simaanishi kumuabudu bali kutii na kuzingatia wakijua kuna mkuu wa nchi ambaye anaweza kuchukua hatua kali ukizingua
Hatuishi amerika, mira na tamaduni zetu zinatofautiana sana. Chumi zetu ni mashariki na magharibi. Kwanini amerika iwe kioo chetu cha kujitazamia? Kiufupi hizi ni akili za kushikiwa na mawazo mgando.Amerika Waamerika hawamuogopi President wanamuheshimu.
Elimu yako ni duni sana.Kuogopwa kupi unakokusemea wewe?
Kule kupayuka hovyo na kudharirisha watu ndio kuogopwa?
Ni kama vile tukiwa ofisini kuna ma boss sasa kwa mazingira hayo boss anaogopwa au anaheshimiwa kwa mamlaka yake?
Zingua afu uone kama mambo yataendaje.
RIP JPMMkuu kwenye hii hospital ninayofanyia kazi siku hizi tunaingia ofisi 07:30 then tunakuwa na vikao vya Morning Report mpaka 09:00 hadi 09:30.
Hapo mtaenda kuhudumia wagonjwa hadi kwenye 10:30 halafu watu wanaenda canteen kunywa chai. Chai inanyweka huku stori zinapigwa hata mpaka 12:00 hivi au zaidi.
Mkirudi mnafanya kazi saa moja au moja na nusu mnarudi canteen kupata lunch ndio mpaka saa 15:30 watu wanarudi ku-sign out. Siku imeisha.
Hiyo ndio nidhamu ya moyoni ya hawa Watanzania hapa nilipo. Enzi za Magufuli tulinyooshwa na kazi zilifanyika kwa weledi knowing ukizingua imekula kwako.
RIP Magufuli.
Hatuishi amerika, mira na tamaduni zetu zinatofautiana sana. Chumi zetu ni mashariki na magharibi. Kwanini amerika iwe kioo chetu cha kujitazamia? Kiufupi hizi ni akili za kushikiwa na mawazo mgando.
Hatutaki raisi anayeruhusu mali za nchi ziliwe kwa urefu wa kamba za wateule wakeHata kama hatuishi America, hatutaki Rais anayeogopwa au kufokea fovea watu kama mang'ombe
Kama mkuu wa nchi sio mfuatiliji hata uongozi wa chini amfuatiliani.Kwa hiyo hiyo hospitali mnasubiri Rais aje awaambie jinsi ya kutumia muda?
basi hiyo ni hospitali ya vichaa kuanzia Director/Incharge mpaka mfagizi.