Mkuu wa nchi lazima awe mkali na aogopwe. Asipoogopwa kila kitu kitakwenda mrama. Hata hayati Julius Nyerere aliogopwa na alikuwa mkali

Marekani na Ulaya, ambapo tunawaiga kwa demokrasia, hawabembelezani.

Trump alikuwa anafukuza watu karibu kila siku.

Hakuna kitu kinachoitwa nidhamu ya moyoni!
Eti nidhamu ya moyoni😂. Yani huyu mama kuna kitu anaficha. Ona jinsi wazungu wanakuja kumuona. Nina shaka tunasalitiwa msimamo wa kimapinduzi wa nchi yetu. Si muda tutakua vibaraka wa magharibi.
 
Mkuu wa nchi ambae ndio ndio custodian wa mali za taifa la watanzania kudai kuwa hawezi kufokea mtumishi wa umma ni kushangaza umma wa watanzania.

Kwamba watumishi wa umma wakiharibu atawabembeleza?

Nimekaa na wazee wengi waliofanya kazi na hayati Julius Nyerere wanasema wazi kuwa Mwalimu alikuwa mkali sana.

Ilitokea akikuita kwake Msasani au Ikulu ilikuwa lazima upate wasiwasi na woga mkuu.

Wengine aliwaita kuwapongeza lakini hawakuamini walichoitiwa wapo pia aliowafokea hadaharani au hata kifichoni.

Kwamba mkuu wa nchi unafanya kazi kwa kuonea aibu wateule wako? Kwamba utakuwa unawabembeleza?

Mbona hii sio sawa? Mkuu wa kaya lazima uwe mkali ili nidhamu ipatikane kuanzia juu mpaka chini.

Hatusemi ufokee watu kama watoto wako. Bali uwe na maamuzi na maelekezo yenye kuonyesha kuwa kuna kiongozi mwenye mamlaka aisiyetaka mzaha na anataka watu wafanye kazi.

Mfano, tulitegemea umkaripie January Makamba maana mradi wa JNHP unaweweseka kama vile hauna manufaa kwa wanaCcM wenzake.
Awe anafoka foka kama lile jizi marehemu jiwe
 
Sasa wewe unataka kuuhamishiwa kwenye utashi wako?

Kwa nini usianzishe mjadala ulio mlengo huo?

Kwani huu umeanzisha ww hivyo unatembea na marking scheme, au ni wa mumeo hivyo una haki ya urithi kwenye kila kitu cha mumeo?
 
Mkuu wa nchi ambae ndio ndio custodian wa mali za taifa la watanzania kudai kuwa hawezi kufokea mtumishi wa umma ni kushangaza umma wa watanzania.

Kwamba watumishi wa umma wakiharibu atawabembeleza?

Nimekaa na wazee wengi waliofanya kazi na hayati Julius Nyerere wanasema wazi kuwa Mwalimu alikuwa mkali sana.

Ilitokea akikuita kwake Msasani au Ikulu ilikuwa lazima upate wasiwasi na woga mkuu.

Wengine aliwaita kuwapongeza lakini hawakuamini walichoitiwa wapo pia aliowafokea hadaharani au hata kifichoni.

Kwamba mkuu wa nchi unafanya kazi kwa kuonea aibu wateule wako? Kwamba utakuwa unawabembeleza?

Mbona hii sio sawa? Mkuu wa kaya lazima uwe mkali ili nidhamu ipatikane kuanzia juu mpaka chini.

Hatusemi ufokee watu kama watoto wako. Bali uwe na maamuzi na maelekezo yenye kuonyesha kuwa kuna kiongozi mwenye mamlaka aisiyetaka mzaha na anataka watu wafanye kazi.

Mfano, tulitegemea umkaripie January Makamba maana mradi wa JNHP unaweweseka kama vile hauna manufaa kwa wanaCcM wenzake.
Hatutaki nidhamu ya uoga
 
Nimetolea mfano tu, sijasema aigwe. Lakini kwa taifa lolote mkuu wa nchi lazima awe mkali na kuogopwa ili asimamie taifa lake vizuri

Mkuu wa nchi aoogopwe kwani ni Mungu, watu wanatakiwa wafanye kwa kufuata sheria na kila mtu afanye kazi kulingana na miongozo yake. Anayekosea achukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria.
 
Unaona taka taka unazoongea hapo? Yani madaktari na manesi waajiliwe na DMO kwa mkataba.. ila nyie walimu na kada nyingine mpate ajila za kudumu.. kwa akili matakataka kama hiyo hivi hata familia yako unaweza kuiongoza wewe?? Your brain is a useless piece of shit...
Mkuu povu lote hili ....huo wa manesi na madaktari ni mfano tu!
Hoja hapo ni Ajira za Mkataba! Jifunze kupambana Kwa hoja badala ya kumtusi mleta mada!
 
Eti nidhamu ya moyoni😂. Yani huyu mama kuna kitu anaficha. Ona jinsi wazungu wanakuja kumuona. Nina shaka tunasalitiwa msimamo wa kimapinduzi wa nchi yetu. Si muda tutakua vibaraka wa magharibi.
Aisee naoana unaandika kama vile upo Miaka ya 1970s na mwanzoni mwa 1980s ! Leo haya ukimuuliza Rais au Waziri wa Mambo ya Nje au Balozi yoyote ...Msimamo wa Kimapinduzi ni Nini Utashangaa majibu yao!
 
Mkuu wa nchi aoogopwe kwani ni Mungu, watu wanatakiwa wafanye kwa kufuata sheria na kila mtu afanye kazi kulingana na miongozo yake. Anayekosea achukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria.
Labda unakuwa na uelewa mdogo ndio maana unashindwa kuelewa vitu vidogo kabisa. Unadhani kwa nini ofisi za umma zina picha ya rais?

Kuogopa simaanishi kumuabudu bali kutii na kuzingatia wakijua kuna mkuu wa nchi ambaye anaweza kuchukua hatua kali ukizingua
 
Usitoe macho kama mjusi kafiri, habari ndio hiyo.
Mnafanya kazi zenu kivivu na kizembe mkisingizia Rais hawasimamii vizuri na kwa sababu mnajua mchakato wa kuwafukuza ni mrefu kwa sababu ajira zinatolewa na wizara

Madaktari na manesi wote waajiriwe na DMO au Halmashauri ili iwe rahisi kufukuzwa kama hujitumi kuhudumia wagonjwa kwa wakati uliopangiwa.
Unaona taka taka unazoongea hapo? Yani madaktari na manesi waajiliwe na DMO kwa mkataba.. ila nyie walimu na kada nyingine mpate ajila za kudumu.. kwa akili matakataka kama hiyo hivi hata familia yako unaweza kuiongoza wewe?? Your brain is a useless piece of shit...
 
Nimetolea mfano tu, sijasema aigwe. Lakini kwa taifa lolote mkuu wa nchi lazima awe mkali na kuogopwa ili asimamie taifa lake vizuri
Nani amesema ni lazima? Kuna staili nyingi na tofauti za uongozi ambazo zina mazuri na mabaya yake.
 
Mkuu wa nchi ambae ndio ndio custodian wa mali za taifa la watanzania kudai kuwa hawezi kufokea mtumishi wa umma ni kushangaza umma wa watanzania.

Kwamba watumishi wa umma wakiharibu atawabembeleza?

Nimekaa na wazee wengi waliofanya kazi na hayati Julius Nyerere wanasema wazi kuwa Mwalimu alikuwa mkali sana.

Ilitokea akikuita kwake Msasani au Ikulu ilikuwa lazima upate wasiwasi na woga mkuu.

Wengine aliwaita kuwapongeza lakini hawakuamini walichoitiwa wapo pia aliowafokea hadaharani au hata kifichoni.

Kwamba mkuu wa nchi unafanya kazi kwa kuonea aibu wateule wako? Kwamba utakuwa unawabembeleza?

Mbona hii sio sawa? Mkuu wa kaya lazima uwe mkali ili nidhamu ipatikane kuanzia juu mpaka chini.

Hatusemi ufokee watu kama watoto wako. Bali uwe na maamuzi na maelekezo yenye kuonyesha kuwa kuna kiongozi mwenye mamlaka aisiyetaka mzaha na anataka watu wafanye kazi.

Mfano, tulitegemea umkaripie January Makamba maana mradi wa JNHP unaweweseka kama vile hauna manufaa kwa wanaCcM wenzake.
Kuogopwa kupi unakokusemea wewe?

Kule kupayuka hovyo na kudharirisha watu ndio kuogopwa?

Ni kama vile tukiwa ofisini kuna ma boss sasa kwa mazingira hayo boss anaogopwa au anaheshimiwa kwa mamlaka yake?

Zingua afu uone kama mambo yataendaje.
 
Picha za Rais ziko kwenye Ofisi za umma kwa sababu ni utaratibu wa kikomunisti tuliorithishwa tangu awamu ya kwanza, na sio ofisi za umma hata ofisi binafsi za watu na kwenye fremu za biashara zipo nyingi tu.
Labda unakuwa na uelewa mdogo ndio maana unashindwa kuelewa vitu vidogo kabisa. Unadhani kwa nini ofisi za umma zina picha ya rais?

Kuogopa simaanishi kumuabudu bali kutii na kuzingatia wakijua kuna mkuu wa nchi ambaye anaweza kuchukua hatua kali ukizingua
 
Amerika Waamerika hawamuogopi President wanamuheshimu.
Hatuishi amerika, mira na tamaduni zetu zinatofautiana sana. Chumi zetu ni mashariki na magharibi. Kwanini amerika iwe kioo chetu cha kujitazamia? Kiufupi hizi ni akili za kushikiwa na mawazo mgando.
 
Kuogopwa kupi unakokusemea wewe?

Kule kupayuka hovyo na kudharirisha watu ndio kuogopwa?

Ni kama vile tukiwa ofisini kuna ma boss sasa kwa mazingira hayo boss anaogopwa au anaheshimiwa kwa mamlaka yake?

Zingua afu uone kama mambo yataendaje.
Elimu yako ni duni sana.
 
Mkuu kwenye hii hospital ninayofanyia kazi siku hizi tunaingia ofisi 07:30 then tunakuwa na vikao vya Morning Report mpaka 09:00 hadi 09:30.

Hapo mtaenda kuhudumia wagonjwa hadi kwenye 10:30 halafu watu wanaenda canteen kunywa chai. Chai inanyweka huku stori zinapigwa hata mpaka 12:00 hivi au zaidi.

Mkirudi mnafanya kazi saa moja au moja na nusu mnarudi canteen kupata lunch ndio mpaka saa 15:30 watu wanarudi ku-sign out. Siku imeisha.

Hiyo ndio nidhamu ya moyoni ya hawa Watanzania hapa nilipo. Enzi za Magufuli tulinyooshwa na kazi zilifanyika kwa weledi knowing ukizingua imekula kwako.

RIP Magufuli.
RIP JPM
 
Hata kama hatuishi America, hatutaki Rais anayeogopwa au kufokea fovea watu kama mang'ombe
Hatuishi amerika, mira na tamaduni zetu zinatofautiana sana. Chumi zetu ni mashariki na magharibi. Kwanini amerika iwe kioo chetu cha kujitazamia? Kiufupi hizi ni akili za kushikiwa na mawazo mgando.
 
Hata kama hatuishi America, hatutaki Rais anayeogopwa au kufokea fovea watu kama mang'ombe
Hatutaki raisi anayeruhusu mali za nchi ziliwe kwa urefu wa kamba za wateule wake
 
Back
Top Bottom