Mkuu wa nchi lazima awe mkali na aogopwe. Asipoogopwa kila kitu kitakwenda mrama. Hata hayati Julius Nyerere aliogopwa na alikuwa mkali

Mkuu wa nchi lazima awe mkali na aogopwe. Asipoogopwa kila kitu kitakwenda mrama. Hata hayati Julius Nyerere aliogopwa na alikuwa mkali

Hata ulaya na uchina hawakufika kwa pale kwa kuwa legelege..
Na hata sasa kwao mambo ya ufisadi na uhujumu unaadhibiwa kama mnyama
Ila sisi tunaambiana tule kwa urefu wa kamba zetu.
 
Nini kimemkumba mkuu wa nchi yetu?

Sio yeye anasukumwa tu na Mjomba ambae bado ana uchu wa madaraka; hukumuona jinsi alivyokuwa anahangaika kwenye meza kuu wakati wa mkutano mkuu, alikuwa hatulii mzee mzima kutaka kujionesha tu kuwa yeye ndio KING maker!!!
 
Ivi nikauli nzuri kwa mkuu wanch kusema hadharani kwamba vitu vita panda bei .... inawezekana nikweli vitapanda ila point yangu ni kwamba ni ssahii kwa mkuu watch kusema ivo? .... najaribu kureflect maisha ya JPM naona kuna mambo mengi hayapo sawa
 
Ila sisi tunaambiana tule kwa urefu wa kamba zetu.
Kosa letu miaka nenda rudi ni kusimama na CHAMA na sio NCHI. Hayati JPM aliliondoa hilo akasimama na TAIFA . Aliwaponda Wapinzani kwa maneno lakini kivitendo aliwaunga mkono na kuwashirikisha katika kazi kwa teuzi mbalimbali ambao leo tumerudi kulekule ( CCM INA WENYEWE ) Tunadhani tunawakomoa kina wateule wake waliotoka upinzani kumbe alikuwa analiunganisha TAIFA.
 
Kwa huyu mama tulipigwa kweli kweli, TPA watu wamepiga zaidi ya 500B mama amepelekewa file mezani kwake kama hajaliona vile.
 
Nani kakuambia rais afoke? Kusimamia madaraka ya urais sio lazima afoke. Kumbuka bianadamu anaishi kwa mazoea .

Kuwa na katiba Bora haimaanishi kuwa mamlaka ya urais yasionekane pale uzembe unapotokea.
Nyie misukule wa Mwendazake ndiyo mmaotaka Samia awe anafoka kama Mwendazake
 
Kosa letu miaka nenda rudi ni kusimama na CHAMA na sio NCHI. Hayati JPM aliliondoa hilo akasimama na TAIFA . Aliwaponda Wapinzani kwa maneno lakini kivitendo aliwaunga mkono na kuwashirikisha katika kazi kwa teuzi mbalimbali ambao leo tumerudi kulekule ( CCM INA WENYEWE ) Tunadhani tunawakomoa kina wateule wake waliotoka upinzani kumbe alikuwa analiunganisha TAIFA.
Ndio maana JPM alikuwa Rais wa kipekee sana.
 
Bi tozo yeye anasema hana hulka ya kufokafoka kwa sababu ana watu wanaoamua kwa niaba yake.

tofauti na hayati JPM, yeye alijua wazi ukiwaacha baadhi ya watu wafanye wapendavyo nchi ingeenda mlama.

Kama ilivyo hivi sasa, mfumuko wa bei, hakuna anayeudhibiti!

Watu wanafanya wanavyoona inafaa.
Toka lini mfumuko wa bei ukadhibitwa kwa kufoka! Kama kufoka kunasaidia kutengeneza strong institutions basi dawa ingekuwa kuajiri mbwa wa kutosha .
 
Ndugu,ungekuwa wewe au mzazi wako ni mmoja kati ya waliokuwa wananyaswa na kudhalilishwa hadharani, lazima ungejali.
Ungekuwa ni ni mmoja kati ya wanaojali na kuthamini utu na haki za wengine, ungejali.
Yaonekana hukujaliwa Upendo.
Mimi au mzazi wangu tusingefokewa hadharani kwa vile tungekuwa tumetekeleza majukumu yetu ipasavayo. Wote waliowahi kufokewa ni wale waliokuwa wamefanya vibaya kwenye majukumu yao, na hawawezi kuachiliwa waendelee kuharibu.
 
Amerika Waamerika hawamuogopi President wanamuheshimu vivyo hivyo nchi lukuki duniani watu wao President ni mwananchi mwenzao tu wanampa ile heshima tu ya kiongozi. Huku Afrika kuna raia kama wewe mleta sledi mnatutaka tuishi kama tupo kwenye zama za Anno Donimo (AD) enzi za akina Kayafa, Herode, Pilato, Koreshi huko Guba ya Uajemi, maFirauni aka maFarao wa Sinai nk
Kwahili Sina budi nikutukane kwamba hakiri zako ni ndogo kama mavi ya asubui.
Ndo nyie mnalea watoto kimayai majumbani kwenu hatimae mnatujazia mtaani mashoga na wadangaji, ni Nchi gani Africa itapata maendeleo endapo mkuu wa Nchi ukicheka na raia? Angalia kagame wanamuita dictator lakini angalia Rwanda inapigwa hatua kubwa kimaendeleo.
Kweli ngozi nyeusi ucheke nayo utegemee kupata maendeleo? Bro wewe ni mbulula Kama mbulula wengine.
 
Watu waliozoea kutukanwa, kusimamiwa na kufokewa hao waogope sana sio watendaji kabisa ustaarabu wao kuwapiga majungu watu wengine wachapakazi. Ustaarabu kwao ni sifuri.
 
Kosa letu miaka nenda rudi ni kusimama na CHAMA na sio NCHI. Hayati JPM aliliondoa hilo akasimama na TAIFA . Aliwaponda Wapinzani kwa maneno lakini kivitendo aliwaunga mkono na kuwashirikisha katika kazi kwa teuzi mbalimbali ambao leo tumerudi kulekule ( CCM INA WENYEWE ) Tunadhani tunawakomoa kina wateule wake waliotoka upinzani kumbe alikuwa analiunganisha TAIFA.
Analiunganisha taifa kwa kuvunjavunja miguu ya wenzake kwa marisasi, kwa kuwavunjia nyumba watu wasio wa kaBila lake na kuziacha za watu wa kabila lake, kwa kuwawinda wenzake kama digidig, kuwateka, kuwatesa, kuwapoteza, kuvamia akaunti za watu benk na maovu kadha wa kadha. Uaji
 
kwani sasa hivi hamuwi kwenye matatizo? siku yakikukuta utashukiwa individually.

Hata kipindi cha Magu walikuwepo nunda kama wewe, ndio maana leo tunawaona Makonda na Sabaya wakitiwa akili.

Wangekuwa wameisha watu wa hovyo basi jiwe asingekuwa anafukuza/simamisha watu kila leo.

Concern ya Rais ni smart sana,tusimamie taratibu kama wasomi na sio nguruwe mpaka aswagwe.

Tujenge taasisi imara za kusimamiana,rais atapita lakini taasisi smart zitabaki. Mf mzuri Hayati amesepa halafu mnabaki na nini?hayati angekuwa smart angeimarisha taasisi na sio kukaza kichwa tu kama vile utakuwepo milele
Rais gani wa kupita wewe bwege
 
Back
Top Bottom