Hawachelewi kusema mkuu wa kitengo Cha silaha wa hamas ni mtoto, ko Israel wameua mtoto😁😁 hayo magaidi yachakatwe mpka yakome
Wote wale wale!Vp kuhusu prof. Asad?
Nàe kuna mushkeli kidogo?
Hizi muvi hizi!
Wanamgambo hawana hata kifaru,wakateka eneo ndani ya Israel sawa na Gaza strip
Una uhakika na Hilo?
Katibu mkuu UN aliwaambia Israel watoe ushahidi Hamas wameua raia kwenye tamasha,wakatoa macho tuu.
Atazaliwa mwengine mtaalamu kuliko Abu zinwa
duh umeuwaMaridhiano ya nyoko...
Yemen, Syria, Lebanon zipo hapo Gaza ? Ukiitwa tahira unafikiri utakuwa unakosewa ? Jinga kabisa
Na nyie mlikua mnashangilia nini tare 07/ October. Mamaezenyu tulieni kitu ya moto ipenye nadhani mlishafundishwa kuinama vizuri au sio maalimu ?
hawa jamaa kumbe akili hawana. Baada ya kuzingirwa ndio wanataka makubaliano,Yahya Sinwar amezingirwa na majeshi ya IDF na hii imepelekea Hamas kuomba maridhiano na Israel ya kusitisha mapigano ili mateka watolewe.
Hamas, Hamas , Hamas kwa kudanganywa na imani za dini chini ya mwamvuli wa Iran mmesababisha vifo vya watoto wa Gaza, na wanawake.
Mnategemea kwa kuonyesha watoto waliojeruhiwa na vifo vya watoto mpate huruma ya jumuia ya kimataifa. Mara hii adui yenu mwenye nguvu hakutaka kusikiliza Makele ya huruma . Tokeni mashimoni, muwaokoe watoto wa Gaza.
Nchi nyingi za kiislam zimekataa kuingizwa kwenye hii vita kwa mwamvuli wa imani ya kidini.
Nilisema na nasema tena,
Kwa Iran vifo vya watu wa Gaza siyo kitu kwao, bali muhimu kwao ni ule uhusiano uliokuwa unaaza kuinuka kati ya Israel na mataifa ya kiislam, unatoweka. Iran umefanikiwa sana katika hili. Ila naamini waarabu wenye akili watarejeshwa ujusiano na Israel baada ya kuujua ukweli huu.
Wawakamate hawoMkuu wa kitengo Cha kutengeneza Silaha, ikiwemo makombora Bwana Mahsein Abu Zina ameuawa na majeshi ya IDF mjini Gaza. Abu Zina ndiye kiongozi aliyekuwa akiaminiwa katika kutengeneza makombora na Silaha zingine.
Kwa Sasa kiongozi wa Hamas Gaza, Yahya Sinwar amezingirwa na majeshi ya IDF na hii imepelekea Hamas kuomba maridhiano na Israel ya kusitisha mapigano ili mateka watolewe.
Na huu ndo ushenzi wa mwanadamu. Walio na nguvu na mamlaka wanathamini uhai wao tu, yaani uhai wa mmoja wao una thamani kuliko maelfu kwa mamia ya maelfu ya wanyonge. Tangu sakata lianze ni watu kibao wamepoteza maisha, makazi na mali zao, watu wapo katika hali ngumu na wamekata tamaa ya kuishi lakini hamas hawakujali wakaendeleza mapigano, Leo kazingirwa kiongozi mmoja tu ndo wanaomba maridhiano! Upumbavu!
Nilikataa kwenda jeshini kwa sababu ya upuuzi huu. Wenye mamlaka yao wakila wakavimbiwa wanaanzishiana chokochoko halafu wapambanaji na wakuumia ni wengine, wakiguswa wao ndo mapigano hutamatishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasema wewe ni tahira.Punguza bangi , tahira utakuwa mwenyewe. Usiniletee hasira zako hapa. Wapoganaji wa Houthi hawarushi makombora Israel na Hizbollah hawarushi makombora Israel?. Tatizo unadhani vita vipo Gaza pekee. Wewe unadhani kwanini Israel anarusha makombora Syria?. Kuna kundi lipo kule linajipanga kuvamia ndio maana akapiga Kambi yao wakasambaratika.
Hujiulizi kwanini baada ya Hamas kuvamia Israel, Hizbollah akawa anarusha makombora Israel?. Ngoja tuwasafishe hawa Magaidi kwanza.
Kwa kuwa unaona Hamas wanashindwa ndo huna upande! Nilikuambia toka.mwanzo vita haipiganwi mitandaoni, vita si imani.
Vita.ni taarifa sahihi za adui, uwezo wako dhidi ya adui, kuyamudu mazingira uwanja wa vita, na nia ya kuishinda vita.
Watoto wa Gaza wamekufa kwa kiburi cha kidini cha Hamas, wapalestina wasio na hatia wamekufa, kutokana na ulaghai wa Hamas kuwaaminisha.wanaweza.kuwalinda dhidi ya idf.
Mwisho wa siku Gaza itakuwa chini ya Israel japo ni kwa muda usiojulikana
Hamas wanamalizwa kabisa duniani, MOSSAD wamesema kokote kule duniani atakapo kuwepo gaidi wa hamas watamfuata na kummaliza, na mossad wanajulikana how deadly they are:
Nasema wewe ni tahira.
Nimeuliza nchi gani ya Kiislam inayo pigana na Israel hapo Gaza ? mpaka sasa unauma uma kucha kama unatongozwa.
Nauliza tena nchi gani ya Kiislam inayo pigana na Israel hapo Gaza ?