Mkuu wa Silaha wa Hamas, Mahsein Abu Zina auawa

Hakuna malidhiano, ni kipigo kitakatifu tu,
Hii itakuwa, "catastroph" Kama, ya, 1948!
Hawa, Islamist, huwa, wanajiamini Sana kwa ukorofi, sasa wamekutana na mtoto wa Isaack, Wacha wachapwe!

Shida hawajifunzi. Mwaka 1948 walipigwa, mwaka 1967 walipigwa na maeneo yao kuchukuliwa. Sasa nashangaa wanarudia makosa , na Gaza inagwanywa mara mbili.
 
Israel anaenda kuongeza mpaka wa nchi yake anaichukua Gaza mazima. Hata waarabu wapige kelele wanapogopa kusogeza nyuso zao. Maana waarabu wanaelewa Nyuso zao zitararuliwa. Wanapiga makelele tuu bila action yoyote Ile
 
Siyo HAMAS, sema ISLAMIC STATE. Wamo waarabu wote ndani ya HAMAS.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Israel anaenda kuongeza mpaka wa nchi yake anaichukua Gaza mazima. Hata waarabu wapige kelele wanapogopa kusogeza nyuso zao. Maana waarabu wanaelewa Nyuso zao zitararuliwa. Wanapiga makelele tuu bila action yoyote Ile

Kweli. Nentanyahu kashasema kuwa Israel itakaa Gaza kwa muda usiojulikana. Ila anesema watajenga Kambi ya jeshi ndani ya Gaza.
 
Kweli. Na juzi wamezuia shambulio la jamaa wa Hamas kule Brazil.

Jana pia US and Israel wamezuia ugaidi ulikuwa ufanyike Uganda na kuishtua serikali ya Uganda, so unaweza ona jinsi jamaa wako mbeleee sana in intelligence and counter terrorism strategies
 
Jana pia US and Israel wamezuia ugaidi ulikuwa ufanyike Uganda na kuishtua serikali ya Uganda, so unaweza ona jinsi jamaa wako mbeleee sana in intelligence and counter terrorism strategies
Hivi huwa wanaingilia mawasiliano yao?
 
Kwani hawa Hamas bado wapo Gaza hadi leo? Nikajua walishafika Lebanon na Yemen siku nyingi.
Wapo mapangoni kama panya🤣🤣.Na boda zote Askari wa Israel wapo wanakagua mtu mmoja mmoja .So still wapo Bado Mapangoni ndani ya Gaza.
Hamas waliongopewa kuwa Israel silaha zote kapeleka Ukraine.na atachukuwa muda kuziongeza zingine.Na wao watatumia mateka kuitaka Israel iwaachie Wapelestina wote waliopo katika jela za Israel(wafungwa 10.000) Israel Katika vita hivi ata kama hao mateka watakufa- awajali wanachotaka wao ni kuifuta Hamas chini ya jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…