Allah amlaze mahali pema... Amen
Ni mwenyeji wa wapi huyu? Chibudee,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio OCD ni OC CID / mpelelezi mkuu acheni kupotosha OCD na OC CID ni vitu viwili tofauti OCD(Order Commanding of District) OC CID(order commanding Criminal Invesitigation Department)
Sent using Jamii Forums mobile app
Rest in Peace kamanda, tangulia wengine watakufuatia.
Nilikua nimemfahamu sio muda...alikua kama ana dini sana...yaan wema wanaondoka
😂😂😂 wengine mtafuatia, unaambiwa vile uombavyo ndivyo utavopatiwa.Sema tutakufuatia watakufuatia kina nani kama si wewe na mimi na mwingine [emoji23][emoji23]mama unajitoa au wewe utakuwa mgambo wa dunia?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]daahWakuu natafakari hivi vifo isije ikawa Mwenyezi Mungu ndio anachukua waja wake wema ili tutakaobaki abonyeze button ya kumaliza mchezo.
OC CID sio cheo ni madaraka, ambapo mwenye kuwa na madaraka hayo anaweza kuwa na cheo cha;Msaada tafadhali occid ni cheo gani na mwenye nacho ana majukumu gani pia nataka nijue vyeo vyake vya begani
Bonjour! je t'aimeVous parlez français ?
"رمضان كريم وصوم مقبول"
Bonjour! [emoji7][emoji7] je t'aime aussiBonjour! je t'aime
Sent From Galaxy S20 Ultra