silas maswe
Member
- Jul 28, 2015
- 96
- 130
alipataje hivyo vyeo ilihali anaonekana hata miiko ya kazi yake hajui,? anawezaje kupractice mambo ya dini yake huku akiwa ndani ya sare za jeshi la polisi?
Wapi sheria za tanzania zinakataza uhuru wa kuabudu ikiwa mtu kavaa sare za kazini? Hivi unajua chochote kuhusu haki na uhuru wa kuabudu kama unavyolindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Kwa maana hiyo unataka kusema ni marufuku kwa jeshi au askari kusali akiwa kambini au kituoni? Au kuna tofuati gani akifanya ibada zake akiwa na hizo uniform? Kuabudu mtu anaabudu akiwa na vazi lolote lile kwa kadiri imani yake inavyomruhusu na hakuna sheria hata moja inayomzuia mtu kufanya hivyo. Ingekuwa hilo ni kosa kama unavyodhani basi angeshawajibishwa na hao wakubwa lakini badala yake ndo kwanza walimpandisha vyeo.na madaraka juu..Ila Mungu akaona amchukue mapema maana huwenda hivyo vyeo/madaraka visingekuwa na kheri kwake au ndo ingekuwa sababu ya kumuasi mola wake mlezi.alipataje hivyo vyeo ilihali anaonekana hata miiko ya kazi yake hajui,? anawezaje kupractice mambo ya dini yake huku akiwa ndani ya sare za jeshi la polisi?
Wapi sheria za tanzania zinakataza uhuru wa kuabudu ikiwa mtu kavaa sare za kazini? Hivi unajua chochote kuhusu haki na uhuru wa kuabudu kama unavyolindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Kwa maana hiyo unataka kusema ni marufuku kwa jeshi au askari kusali akiwa kambini au kituoni? Au kuna tofuati gani akifanya ibada zake akiwa na hizo uniform? Kuabudu mtu anaabudu akiwa na vazi lolote lile kwa kadiri imani yake inavyomruhusu na hakuna sheria hata moja inayomzuia mtu kufanya hivyo. Ingekuwa hilo ni kosa kama unavyodhani basi angeshawajibishwa na hao wakubwa lakini badala yake ndo kwanza walimpandisha vyeo.na madaraka juu..Ila Mungu akaona amchukue mapema maana huwenda hivyo vyeo/madaraka visingekuwa na kheri kwake au ndo ingekuwa sababu ya kumuasi mola wake mlezi.Inaonyesha ni jinsi gani Watanzania tusivyojua sheria, hata hilo wameshindwa kuhoji ili hali miiko yake ya kazi haimruhusu kufanya hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hongera sana kwa udadavuzi wako. Nashukuru umeongea kile kilichomo nafsini mwangu, maana wengi hawaelewi kama zile uniform ni mavazi tu hayamzuii mtu kufanya ibada, na kama ingekuwa si sheria mtu kuyatumia mavazi hayo kwenye ibada basi hiyo sheria ingekuwa iko wazi kwa maana hata wakuu mbali mbali wanayatumia kwenye ibada, asiyekubaliana na hili na azunguke miskiti mbali mbali mikubwa siku ya Ijumaa wakati wa swala ya Al jumaa. Na kama ingekuwa sheria hairuhusu angeshawajibishwa kitambo.Wapi sheria za tanzania zinakataza uhuru wa kuabudu ikiwa mtu kavaa sare za kazini? Hivi unajua chochote kuhusu haki na uhuru wa kuabudu kama unavyolindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Kwa maana hiyo unataka kusema ni marufuku kwa jeshi au askari kusali akiwa kambini au kituoni? Au kuna tofuati gani akifanya ibada zake akiwa na hizo uniform? Kuabudu mtu anaabudu akiwa na vazi lolote lile kwa kadiri imani yake inavyomruhusu na hakuna sheria hata moja inayomzuia mtu kufanya hivyo. Ingekuwa hilo ni kosa kama unavyodhani basi angeshawajibishwa na hao wakubwa lakini badala yake ndo kwanza walimpandisha vyeo.na madaraka juu..Ila Mungu akaona amchukue mapema maana huwenda hivyo vyeo/madaraka visingekuwa na kheri kwake au ndo ingekuwa sababu ya kumuasi mola wake mlezi.
Among of the bestR.I.P. Natumai hukuwaonea watu wala kuwapiga wapinzani wa awamu ya 5
Ahsante sana kwa maelekezo yaliyotukukaOC CID sio cheo ni madaraka, ambapo mwenye kuwa na madaraka hayo anaweza kuwa na cheo cha;
A.S.P (Assistant Superintendent of Police - Msaidizi mrakibu mwandamizi wa Polisi) Nyota tatu
Au
S.P (Superintendent of Police - Mrakibu mwandamizi wa Polisi) Ngao ya taifa isiyo na bibi na bwana
Mwenye madaraka hayo ni Ofisa ambae ni Mkuu wa idara inayohusika na upelelezi wa mambo ya jinai ngazi ya wilaya.
Kwa ngazi ya wilaya.
"رمضان كريم وصوم مقبول"
Hamkosekanagi.alipataje hivyo vyeo ilihali anaonekana hata miiko ya kazi yake hajui,? anawezaje kupractice mambo ya dini yake huku akiwa ndani ya sare za jeshi la polisi?
Sio OCD NI OC CID
Hakuna unachokijuaHuyu alikuwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya(OC-CID)?? Alipitia Chuo cha Awali cha Polisi('Police Academy')? Alipitia Chuo cha Masomo ya Uongozi? Alijua miiko ya uvaaji wa Sare za Jeshi la Polisi? Idara ya Upelelezi iliruhusu au kubariki shughuli zake mitandaoni? Maswali ni mengi.. RIP.
Wale wa mkoa fulani walioingia ofisini na kuanza kusali na kukemea kwa sauti wakatangazwa kwenye taarifa za habari walifuata maadili gani? Kumbuka kazini kuna kuna mchanganyiko wa diniHuyu alikuwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya(OC-CID)?? Alipitia Chuo cha Awali cha Polisi('Police Academy')? Alipitia Chuo cha Masomo ya Uongozi? Alijua miiko ya uvaaji wa Sare za Jeshi la Polisi? Idara ya Upelelezi iliruhusu au kubariki shughuli zake mitandaoni? Maswali ni mengi.. RIP.
Hili nalo la kulitafakari mana hapa tulipofikia dah!! R.i.p kamanda😓Wakuu natafakari hivi vifo isije ikawa Mwenyezi Mungu ndio anachukua waja wake wema ili tutakaobaki abonyeze button ya kumaliza mchezo.
Kifo chake kimeacha maswali mengi bila majibuHuyu alikuwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya(OC-CID)?? Alipitia Chuo cha Awali cha Polisi('Police Academy')? Alipitia Chuo cha Masomo ya Uongozi? Alijua miiko ya uvaaji wa Sare za Jeshi la Polisi? Idara ya Upelelezi iliruhusu au kubariki shughuli zake mitandaoni? Maswali ni mengi.. RIP.