Mkuu wa Wilaya Arusha na mbwembwe za misafara

Ndugu mleta post nipo jijini arusha. DC ni mtu mmoja smart sana. Anafanya kazi zake kwa weledi sana. Anajituma sana ila kama una wivu huwezi kukubali.
Kuhusu kuchapa wanunua viti na meza za shule binafsi nampongeza sana.
Kiti na meza chenye thamani ya elfu 60 hadi laki moja kinauzwa kwa sh elfu 5 kisha wanafunzi wanakaa chini unadhani ni sahihi? Hata wewe unastahili viboko. Aliyekutwa na ngozi ni mwizi...
 
Gambo ana tabia za uswahilini sana za kufanya majungu. Alimfanyia dc aliyepita majungu mengi na sasa hv naona mwendo ni ule ule kwa dc wa sasa
 
Gambo ana tabia za uswahilini sana za kufanya majungu. Alimfanyia dc aliyepita majungu mengi na sasa hv naona mwendo ni ule ule kwa dc wa sasa
Ashaanza kumbeep na huyu Rc wa sasa hivi, Rc Hana hata mwezi na tunaufahamu utendaji wake wa KAZI ni mzuri maana alikua dc hapa Arusha KABLA yake.
Das wa zamani mwakiposa ni mtu smart lakini Gambo alkua anampeleka mpaka tunamwona hatuendi haki tizama saizi ni mwenyekiti wa bunge. Alimpeleka peleka hovyo Kihamia mpaka wananchi wakamwogopa, madeni, Daqaro, YAni sijui anampenda kiongozi GANI.
 
Tulio pata bahati ya kuona awamu ya kwanza huu ujinga haukuwepo kabisa.
Nasikia Mandela aliwahi kuzungumzia jinsi alivyoenda kupokewa airport na Mwalimu. Mwalimu alikuwa anajiendesha. Mwalimu alikuwa anacheza bao na jirani zake. Wananchi walikuwa huru kutumia barabara zote zinazo zunguka Ikulu wakati wowote. Tumetoka mbali.

Amandla...
 
Daah! Kuchapana bakora watu wazima!! Hii mbaya sana mazee
 

Hata Sabaya walimwonea wivu hivi hivi
 
Pombe alimteua kwa sababu ya hizo tabia. Ndio kilikuwa kigezo chake
 
Reincarnation ya Sir buyer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujana siyo tatizo, tatizo ni poor vetting
 
Wewe mrisho Gambo tulia. Chapa kazi huko bungeni, muache kijana achape kazi
 
Huyu anahamishiwiwa Wilaya za Pembezoni akajifunze Uongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…