Mkuu wa Wilaya Arusha na mbwembwe za misafara

Ni kweli mkuu nashangaa sana nikiona watu wakimsema vibaya.
Jambo lingine lililonifurahisha kwenye ziara zake wakati wa kutatua kero za wananchi, wakati mwananchi anapewa maiki aseme tatizo lake alikuwa akiwakemea wale wanaoanza kusifia ccm ndipo waseme matatizo yao.
Alikuwa akiwaambia, (hapa hatupo kwenye mkutano wa ccm! Sema shida yako tukusaidie).
Kuna ziara tulienda nae kule Kimandolu kwenye soko moja sasa yule mkuu wa soko akamleta kibega mmoja ambaye inasemekana aba tabia ya kupora mizigo ya watu sokoni, huyo kibega akaanza kujitetea kwa mkuu wa wilaya ila mwisho mkuu wa wilaya akamkabidhi kwa mkuu huyohuyo wa soko akamwambia huyu kwa kuwa ameomba msamaha, namuacha kwako uwe mwangalizi wake. Akiiba tena mlete kwangu au nipigie simu nitume gari la polisi.

Kuna migogoro mingi ametatua mbele ya macho yangu mpaka nikafikiria serikali ilikuwa wapi muda wote?
Migogoro mingine mingi ilikuwa ndani ya ofisi aliyopokea kutoka kwa mkuu wa wilaya aliyepita ila yeye aliishughulikia kikawaida kabisa na ana kawaida ya kwenda kwenye eneo lenye mgogoro.

Wakuu wengine wanapambana kutatua matatizo ya wananchi wakiwa kwenye ofisi zao lakini huyu wa Arusha anaenda sehemu husika akiwa na viongozi wote wa ngazi ya chini
 
I
Unachukua mafao saa hizi halafu ukizeeka unakuja kusumbua kwamba Vijana hawatunzi wazee
 
Sasa mh. Mbunge hapendi akimwona anafanya KAZI. Mimi niliwahi kukuta kikundi Cha watu pale ofisini wanalalamika kuonewa na kukosa haki zao kisa wao ni CHADEMA, kistaarabu akawatuliza akawaambia SERIKALI ipo kuhudumia wananchi wote bila kujali itikadi zao, na akamwita mwanasheria pale ofisini kwake awahudumie wale wananchi. Mnyongee mnyongeni lakini haki yake moeni
 
Kwani ule mkeka wa mama unatoka usiku wa sangapi ili mpunguziwe adha hiyo
 
Mkeka unamaliziwa soon pdf itashushwa
 

Eeeh wanapambana wenyewe Kwa wenyewe?
Siyo upinzani tena?
 
Proved; "to every action there is equal and opposite re-action". Kama dogo anapiga kazi namna hi na kutatua matatizo ya wananchi na wala hawatesi Watanzania then kuna ubaya gani?
 
""""IPO haja ma DC kupunguziwa baadhi ya meno yao, kwani yapo ya kipuuzi mno,NGUVU YA DC NA NGUVU YA MAMLAKA YA POLISI IWE SAWA SAWA,(YAANI KATIKA MAMBO YAO MBALIMBALI WASHAURIANE NA ISIWE DCs ORDER..!""""
 
Chalamila pia kasumbua sana na vimisafara misafara, kabla sikuwahi shuhudia hayo.
 
""""IPO haja ma DC kupunguziwa baadhi ya meno yao, kwani yapo ya kipuuzi mno,NGUVU YA DC NA NGUVU YA MAMLAKA YA POLISI IWE SAWA SAWA,(YAANI KATIKA MAMBO YAO MBALIMBALI WASHAURIANE NA ISIWE DCs ORDER..!""""
Haiti keizas kimoleta ni mpaka katiba mkuu wangu
Chalamila pia kasumbua sana na vimisafara misafara, kabla sikuwahi shuhudia hayo.
Mwacheni dogo apige kazi
 

Umeshasema humjui vizuri ,ila ni mtu poa tu.Humjui halafu ni mtu poa Sijui kama atakulipa kazi yako mbovu.

Mkuu wa Wilaya na malipo ya NSSF wapi na wapi.Wafuatiliaji wa mafao wanapata taabu kwasababu fedha za Mifuko yote ya hifadhi ya jamii zilitumika vibaya au tuseme uwekezaji usiokuwa na tija.

Ikiwa mpaka leo unafikiri nguvu ya DC itakuwezesha kupata mafao yako hakika bado upo dunia nyingine.
 
Kama yeye aliweza kufanya kazi waliyoshindwa kufanya wahusika kwanini nisiseme?

Acheni roho mbaya
 
Huyu ndo yule alisema Zitto ni wa kumuua tu?
 
Wanaosema hafai ni wivu tu
 
I
Unachukua mafao saa hizi halafu ukizeeka unakuja kusumbua kwamba Vijana hawatunzi wazee
Jikite kwenye hoja mkuu. Kumbuka hatukuwa tumeajiriwa serikalini bali kwenye kampuni ya ujenzi
 
Kama yeye aliweza kufanya kazi waliyoshindwa kufanya wahusika kwanini nisiseme?

Acheni roho mbaya

Nadhani ulistahili kuondolewa kazini kwasababu hujui unachobishania.

Mifuko yote ya hifadhi ya jamii ipo hoi bin taabani.Wana struggle kulipa wanachama wake kwakuwa hawana fedha za kutosha.

Ukitazama kinachoendelea ni delay tactic mnazungushwa kidogo muda unakwenda huku wakisubiri michango ya wanachama walio katika ajira wakilipwa ndio na mnafikiriwa kwa mbaaali kulipwa narudia tena si nguvu ya DC ni ukata unaoikumba mifuko yote na msababishaji Mkuu ni Serekali ambayo imechota fedha bila kurejesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…