Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
-
- #41
Kwa hiyo waandishi wasifanye kazi yao?Sio mbaya kufanya kazi kwenye media / kuuza sura ila mengi ya maendeleo huwa yanafanyika behind the scenes hakuna sababu ya Camera huenda kwenye ukaguzi watu wakaogopa Camera na kupewa majibu ya uoga, ila ndio hivyo politics zipo kila mahali siku hizi...
Kazi ni ku-report peke yake, kama ndivyo kwa Tanzania ni kipi cha ajabu kwa DC kutembelea miradi (sisemi kwamba hii sio habari, habari hio hata selfie ingetosha) mwandishi inabidi aende extra mile...., kama issue ni miradi (news ni miradi na sio nani amekwenda kutizama miradi) imekutwa vipi, ilikuwa wapi, ilitakiwa kuwa wapi na pesa ngapi zimetumika na zimetumikaje... (hizo ndio kazi za waandishi na sio tu kubonyeza kidude cha kamera)Kwa hiyo waandishi wasifanye kazi yao?
Kasikilize hizi nyimbo kwa makiniHivi katika nyimbo zake kuna nyimbo yoyote iliyokuwa inaendana na maadili?
Hivyo vitabu unataka ukafanyie nini? Maana English hujui hata mojaEbu nipatie hiyo link mkuu na mimi nikakuombe vitabu huko.
Kuna watu wanamtaja ni moja ya majiniazi.Utamu wake mapaja michiriziiiiii.
Ila mchizi anaimbaga pumbaaa, bora apumzikie huko kwenye siasa.
Ni ushauri mzuri, Nikki ni msikivu sana atafanyia kazi hiloSafi.
Ccm inahitaji kutengeneza viongozi wapya/damu changa ndani ya chama.
Niki ana kazi kubwa sana ya kuhakikisha kuwa vijana waliopita njia yake wanaweza kuaminika.
Yes, he's geniusKuna watu wanamtaja ni moja ya majiniazi.
Nick cheo kina mdemsha vibaya Sana aisee, promo za Nini sasa, ajue miti mingi ule mrefu ndo huonekana mapema na kukatwa, apunguze kudemkaNiki bana! Ushapata udc yanini kuendelea kujipigia debe zisizo na kichwa?kwahiyo ulipotembelea hiyo miradi ukatatua changamoto papo kwa papo au sio?
JoJo was Mistress mkuu, na enzi hzo show off zilikuwa zinalipa mnoLakini Jokate kashine kwa mbinu hiyo hiyo.
Perfect.Ni ushauri mzuri, Nikki ni msikivu sana atafanyia kazi hilo
🤣🤣🤣Ila mchizi anaimbaga pumbaaa, bora apumzikie huko kwenye siasa.
Probably, Yes.Kuna watu wanamtaja ni moja ya majiniazi.
Development studies ni multi disciplinary course na inachukua uchumi, market, governance and everything including science and technology. So hapo Yuko vzuriNi msomi wa Development studies.
[emoji3][emoji3][emoji3]Kwa pamoja na nani?! Isemee nafsi yako.