Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

Kasikilize hizi nyimbo kwa makini
  • Excellent
  • Good Boy
  • Kiujamaa
  • Bum Kubam
  • Sitaki kazi
  • Safari
  • Kihasara
  • Sweet Mangi
Kwa uchache tu sikiliza hizo nyimbo alafu rudi tena hapa
Nikk ongezea na Baba Swahele
 
Hizo ni siasa za maonyesho,Kuna watu wamezoea mpaka kiongozi aonekane anakagua miradi hata vyoo vya shule ndio mchapa kazi.

Wakati anaweza kugawa majukumu na kupata taarifa zozote anazotaka in "real time".

Hizo sio bahati mbaya tumezoezwa hivyo toka awamu ya Kwanza.
Hata ofisini Kuna fail kibao za kupitia na kutoa maamuzi.
Lakini kiongozi wengi wanajua nguvu ya video camera.

In Africa, If you want to get wealth without working for it at all, join African politics

" Lumumba"
 
Naaw! You just a little fucking bitch. You’re a whore. You ain’t shit.
GTFOH
Ur big boobs make u look old, the twenty-somethings look like frumpy middle-aged woman. Trust me, big boobs are curse. I don't know how I'll make u happy, anyway........
 
Huyu atafukuzwa muda siyo mrefu, hii siyo enzi ya dikteta aige kwa Anthony Mtaka
Ninachojiuliza, hiyo handing over note ameisoma saa ngapi ili aweze kujua kipi kipaumbele cha kufuatilia? Au ni business as usual?
 
Hizo picha na video si ndio umesema huzitaki?
 
Niki nakuhakikishia humalizi huu Mwaka ukiwa DC, kwa utoto wako huu lazima utaliwa Kichwa tu
 
Ninachojiuliza, hiyo handing over note ameisoma saa ngapi ili aweze kujua kipi kipaumbele cha kufuatilia? Au ni business as usual?
Wewe unajua masaa 24 yote anafanya nini?
 
Duh ina maana mnataka afanye kazi kimya kimya
Dunia ya leo mitandao,makameras ni muhimu

Wanajeshi,watu sahvi wakiwa vitani tu wana post matukio yao,sembuse kazi za dc

Ova
 
Duh ina maana mnataka afanye kazi kimya kimya
Dunia ya leo mitandao,makameras ni muhimu

Wanajeshi,watu sahvi wakiwa vitani tu wana post matukio yao,sembuse kazi za dc

Ova
Hawana akili hawa
 
Struggling , hungry, poverty stricken rap singer finally made it to the high table to join elite political cream of the crop through zero effort. No wonder some peeps are inclined to become infuriated of this very amazing phenomenon. You can become so mad and green of envy as you want, but this guy is as good a leader as everybody else out there.
 
Achape kazi aache kujiuza mtandaoni , kazi zitaonekana tu zitamtangaza sio kujitangaza , chema chajiuza kibaya chajitembeza .
 
Magufuli alikua anaua mitandao navyombo vyahabari mlikua mmebong'aa tu Leo oneni sasa mnavoitumia
 
Msamehe tu huyo, kaokota shilingi njiani
Ndiye mwenyewe! Absolutely naive and narrow minded. Eti anajidahi kuhusu elimu yake akiwaponda wana hip hop wengine. Ana tabia za kimalaya malaya na ndiyo maana. Nashangaa kuteuliwa kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…