Kama wewe ndo DC mwenyewe, then wewe ni mpumbavu. Kama siyo yeye, unamuharibia mbaya kabisa hata kwa wale walotaka kumsikilizia kwanza.if you think that femininity is in your breasts, if you need them this big to feel womanly u have a problem! No one will be interested with u, I hate ur boobs
Jamaa anajiharibia, hili limenifanya niamini kuwa uteuzi huu ni wa hovyo kabisa.Msamehe tu huyo, kaokota shilingi njiani
Sijawahi muelewa mimiUtamu wake mapaja michiriziiiiii.
Ila mchizi anaimbaga pumbaaa, bora apumzikie huko kwenye siasa.
Hahaha umempa za usoNiki bana! Ushapata udc yanini kuendelea kujipigia debe zisizo na kichwa?kwahiyo ulipotembelea hiyo miradi ukatatua changamoto papo kwa papo au sio?
ndio yeye mwenyewe huyoPromo unayompigia jamaa sio mchezo kwa kweli
Ukishaamini?Jamaa anajiharibia, hili limenifanya niamini kuwa uteuzi huu ni wa hovyo kabisa.
Wewe ni nani?Je wewe ndiye nick?
Kunywa majjndio yeye mwenyewe huyo
Umejuaje kama hajajuana nao?Mwambie asiwe na speed sana, hii nchi haina haraka kihivyo anavyofikiri. Ajuane na watu ofisini kwanza then aendelee na kazi
Hebu prove kama unayo maana huwa sikuamini
Huyo nae ni think-tank wa MATAGA anaandika jina la nchi kwa herufi ndogo napo utasikia ana PhdHebu prove kama unayo maana huwa sikuamini kabisa
Kunywa maji mengi alafu sema "Mimi ni mjinga"Huyo nae ni think-tank wa MATAGA anaandika jina la nchi kwa herufi ndogo napo utasikia ana Phd
Halafu ulifikiri mimi nimetunga kama amabvyo CCM mlipika taarifa za msiba na kutudanganya msiba wa dikteta umetazamwa na watu Billion 3 ?
Sawa niki wa pili tumekusikiaKatika kuendeleza slogan ya mama yetu mpendwa mama Samia ya kazi iendelee. Mkuu wa wilaya ya kisarawe Mh.Nikki wa Pili ameanza kazi kwa kishindo kikubwa.
Ametembelea miradi ya afya, ujezi, mazingira, maji na uwezeshaji wa vijana akiwa na siku moja tu kazini. Ni jambo kubwa sana
Hili ni Jambo la kuigwa, mkuu wa wilaya anapaswa kutembelea miradi na kutatua changamoto hapohapo.
Mama Samia kwenye uongozi tunaomba kuwe na vijana wengi kama hawa kwa kuwa wanaonyesha hali ya kufanya kazi kwa bidii kubwa sana. Pale ppanapotokea changamoto kwao wapate somo au namna bora ya kufanya kazi yao vizuri.
Mama Samia kwa pamoja tunakupenda sana Chapa kazi tupeleke nchi ya ahadi.
#kazi iendelee#
View attachment 1827568
Mjinga utakuwa wewe na Nikki MATAGA!Kunywa maji mengi alafu sema "Mimi ni mjinga"
Mh! Sitaki kaziKasikilize hizi nyimbo kwa makini
Kwa uchache tu sikiliza hizo nyimbo alafu rudi tena hapa
- Excellent
- Good Boy
- Kiujamaa
- Bum Kubam
- Sitaki kazi
- Safari
- Kihasara
- Sweet Mangi
Huyo atakua ndio yule mkalimani uchwara aliyesema dikteta alikua hasafiri sababu alikua mzalendoSawa niki wa pili tumekusikia
Jambo la kuigwa? How?Katika kuendeleza slogan ya mama yetu mpendwa mama Samia ya kazi iendelee. Mkuu wa wilaya ya kisarawe Mh.Nikki wa Pili ameanza kazi kwa kishindo kikubwa.
Ametembelea miradi ya afya, ujezi, mazingira, maji na uwezeshaji wa vijana akiwa na siku moja tu kazini. Ni jambo kubwa sana
Hili ni Jambo la kuigwa, mkuu wa wilaya anapaswa kutembelea miradi na kutatua changamoto hapohapo.
Mama Samia kwenye uongozi tunaomba kuwe na vijana wengi kama hawa kwa kuwa wanaonyesha hali ya kufanya kazi kwa bidii kubwa sana. Pale ppanapotokea changamoto kwao wapate somo au namna bora ya kufanya kazi yao vizuri.
Mama Samia kwa pamoja tunakupenda sana Chapa kazi tupeleke nchi ya ahadi.
#kazi iendelee#
View attachment 1827568