Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

if you think that femininity is in your breasts, if you need them this big to feel womanly u have a problem! No one will be interested with u, I hate ur boobs
Kama wewe ndo DC mwenyewe, then wewe ni mpumbavu. Kama siyo yeye, unamuharibia mbaya kabisa hata kwa wale walotaka kumsikilizia kwanza.
 
Mpe ushauri tu aache kucheza Sana na camera na media maana zimeponza wengi.
Rais ana vyanzo vingi vya kujua ufanisi wa mteule wake sio kwa kutumia makamera.Anthony Mtaka ni mfano hai
 
Niki bana! Ushapata udc yanini kuendelea kujipigia debe zisizo na kichwa?kwahiyo ulipotembelea hiyo miradi ukatatua changamoto papo kwa papo au sio?
Hahaha umempa za uso
 
Mwambie asiwe na speed sana, hii nchi haina haraka kihivyo anavyofikiri. Ajuane na watu ofisini kwanza then aendelee na kazi
 
Vijana naona ni miyeyusho tu bora tungebaki kwa wazee
 
Hebu prove kama unayo maana huwa sikuamini
Screenshot (698).png
Screenshot (698).png
Hebu prove kama unayo maana huwa sikuamini kabisa
Huyo nae ni think-tank wa MATAGA anaandika jina la nchi kwa herufi ndogo napo utasikia ana Phd

Halafu ulifikiri mimi nimetunga kama amabvyo CCM mlipika taarifa za msiba na kutudanganya msiba wa dikteta umetazamwa na watu Billion 3 ?
 
Kunywa maji mengi alafu sema "Mimi ni mjinga"
 
Katika kuendeleza slogan ya mama yetu mpendwa mama Samia ya kazi iendelee. Mkuu wa wilaya ya kisarawe Mh.Nikki wa Pili ameanza kazi kwa kishindo kikubwa.

Ametembelea miradi ya afya, ujezi, mazingira, maji na uwezeshaji wa vijana akiwa na siku moja tu kazini. Ni jambo kubwa sana
Hili ni Jambo la kuigwa, mkuu wa wilaya anapaswa kutembelea miradi na kutatua changamoto hapohapo.

Mama Samia kwenye uongozi tunaomba kuwe na vijana wengi kama hawa kwa kuwa wanaonyesha hali ya kufanya kazi kwa bidii kubwa sana. Pale ppanapotokea changamoto kwao wapate somo au namna bora ya kufanya kazi yao vizuri.

Mama Samia kwa pamoja tunakupenda sana Chapa kazi tupeleke nchi ya ahadi.

#kazi iendelee#

View attachment 1827568
Sawa niki wa pili tumekusikia
 
Jambo la kuigwa? How?
Yaan kufanya majukuu hako napo panahitaji debe?
Mwalimu akifundisha napo ni matangazo?
Punguza mbwembwe bwana mdogo
Jifunze kwa Rc Mtaka
 
Back
Top Bottom