Huko pia hakuna DJ wala dancer kila mtu na mzigo wakeNimekuwa perplexed huyu mtu nilimsikia wapi! Ulipoandika kuwa ni wakili, nikakumbuka alikuwa na vipindi kwenye TV vya sheria. Kumbe alishakuwa DC! Ni CCM kumbe, and if that is the case kama kawaida ya CCM amewaonea watu wengi! tangulia kwenye hukumu ya haki! Huko kila mmoja atabeba mzigo wake bila Jiwe!
elimi haina mwisho, kuna kosa gani hapo?one of the best Advocates
"DJ" hajawahi kumuua mtu!Huko pia hakuna DJ wala dancer kila mtu na mzigo wake
Hata jiwe hajawahi kuua mtu"DJ" hajawahi kumuua mtu!
Another victim is doneMkuu wa Mkoa Wa Mtwara ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na Azam Tv
Corona! otherwise hakuna haja ya kuwazuia watu kuzika ndugu yao kama masoko yako wazi, makanisani/misikitini tunakwenda, mabasi tunajazana etcMkuu wa Mkoa Wa Mtwara ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na Azam Tv
Huyu Corona hatari sana!Naibu meya Morogoro naye imemtanguliza!Hiyo ni kawaida! Hata huku mtaani sasa hivi mtu akifariki selikali ya mtaa lazima isimamie kuhakikisha hakuna watu kujazana msibani
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uzushiAliwahi kuwa Chadema akiwa kiongozi wa wilaya mojawapo Dar.
elimi haina mwisho, kuna kosa gani hapo?