TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Avod Mmanda afariki Dunia. Atazikwa Mtwara na Serikali na wahudhuriaji wasiozidi 10

TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Avod Mmanda afariki Dunia. Atazikwa Mtwara na Serikali na wahudhuriaji wasiozidi 10

Nimekuwa perplexed huyu mtu nilimsikia wapi! Ulipoandika kuwa ni wakili, nikakumbuka alikuwa na vipindi kwenye TV vya sheria. Kumbe alishakuwa DC! Ni CCM kumbe, and if that is the case kama kawaida ya CCM amewaonea watu wengi! tangulia kwenye hukumu ya haki! Huko kila mmoja atabeba mzigo wake bila Jiwe!
Huko pia hakuna DJ wala dancer kila mtu na mzigo wake
 
“Tumekubaliana na familia kwamba sisi Serikali ndiyo tutakaosimamia mazishi yake…na hakutakuwa na kusafirisha mwili…atazikwa hapa Mtwara…na hatazikwa na zaidi ya watu kumi,” Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa akielezea taratibu za mazishi ya liyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Evod Mmanda aliyefariki dunia Aprili 26, 2020 katika Hospitali ya Rufaa Ligula alipokuwa akipatiwa matibabu.

#AzamTVUpdates
 
Huu ni Wakati wa kuchukua tahadhari

Mikusanyiko hairusiwi
 
Huu ni Wakati wa kuchukua tahadhari Mikusanyiko hairusiwi
 
Shikamoo Corona,huko Morogoro napo naibu meya katangulia mbele ya haki kwa Corona!
 
Back
Top Bottom