mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,297
- 13,678
Huko pia hakuna DJ wala dancer kila mtu na mzigo wakeNimekuwa perplexed huyu mtu nilimsikia wapi! Ulipoandika kuwa ni wakili, nikakumbuka alikuwa na vipindi kwenye TV vya sheria. Kumbe alishakuwa DC! Ni CCM kumbe, and if that is the case kama kawaida ya CCM amewaonea watu wengi! tangulia kwenye hukumu ya haki! Huko kila mmoja atabeba mzigo wake bila Jiwe!