Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike

Kama kampiga mangumi kakosea, msichana huyo angempiga kofi tu basi, ikiwa alimvunjia heshima kwa kiwango kikubwa.
 
Mmmhh, yaani akaenda kulala badala ya kwenda hospitali au kuomba msaada wa dawa za maumivu? Na hili bandage alifungwa kwa ajili gani? Alivuja damu? Mbona haoneshi kuvimba! Sitetei ukatili wa aina yoyote ile ila...Something is wrong somewhere!
kama umesikiliza maelezo yake anasema wazazi wake hawakuwapo nyumbani, hospitali ni gharama unadhani angetibiwa bure?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…