Na atupe uthibitisho wa kijiografi kama ni injinia na atupe uthibitisho wa kimahakama kama ni mwanasheria[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asituchanganye na status za watu ambazo unazivua ukija jf. Kiufupi jf ni kama hekalu ukija unaacha masampula yako hukooo na kukaza fuvu[emoji23][emoji23]Sawa daktari wa jf, naomba uthibitisho wa maandishi kutoka kwa daktari kuonyesha mhanga alipigwa ngumi
NDIOIla mvulana unaweza kumpiga?
NdioNdio ampige?.
Hata hakuna chochote hapoSimalenga yamemkuta. Ukijifanya katili matokeo take ndio haya.
Ndiyo keshampiga sasaHata kama amemtukana hana uhalali wa kumpiga
Wa kiume anapigwa Mshana?Mtoto wa kike hapigwi ngumi
Hashtakiwi, unasemaje?[emoji23]Mnali alikuwa anachapa walimu wao. Huyu mjinga anapiga vibint vidogo. Au anapata flava flan akipiga ngozi laini? Ashtakiwe kwa udhalilishaji wa kingono
Ukiangalia vizuri hiyo bandage imefungwa kisiasa hapo usoni. Nyuma ya huyu binti kuna watu... Dc akipona hii akatambikeNa hii ni baada ya kumalizika kwa siku `16 za kupinga ukatili wa kijinsia.
hapo kuna GENDER BASED VIOLENCE na Child Abuse
DC haponi hapo
Ujinga nchi hii kwisha ni ngumu sana.Mitoto haina adabu, litakuwa lilikuwa na kosa la kinidham likamjibu kunya dc ndo akalishikisha adabu.
Huyo dc apandishwe cheo na kuwa rc
Hata sababu iweje huwezi kujibu kwa kipigo.Kama kweli amempiga,lazima kuna sababu nyuma yake
Ova
Nikiangalia hiyo bandage ya mtoto usoni ilivyofungwa kisiasa lazima kuna mkono wa mtu kwenye hili.. kuna mtu alikuwa akimtafuta DC muda mrefu sasa fursa imekuja LIVE ya kumpoteza. Mtoto anatumika tu. Kitu kipo serious maana kuna Mic ya TBC hapoWewe unaamini tukio ni la kweli Kabisa kama lilivyosimuliwa?
ππππππ hahah huyo mtoto ni mchongo by 100%
Kwa haraka tu, huyu binti anaongea kama amamezeshwa maneno aje ayaseme.
Kama nilivyomtilia shaka Shujaa Majaliwa, vivyo hivyo basi namtilia shaka sana huyu binti.
Kwa hiyo ukilawitiwa na walawiti wakakimbia bila wewe kuchukua ushahidi utakuwa umelawitiwa au hujalawitiwa? Nijibu tafadhariSawa daktari wa jf, naomba uthibitisho wa maandishi kutoka kwa daktari kuonyesha mhanga alipigwa ngumi
Hapana yule yuko Singidahuyu ni yule alikuwaga clouds fm?
We kweli aspirin πππππππUnadhani kila mtu ni mpiga picha kama wewe?
Jf kuna madaktari, mainjinia, wanasheria, wahasibu na wapiga picha kama wewe...
Alifikiri bado yupo kwenye utawala wa Magufuli. Angepandishwa na cheo.Umenikumbusha DC wa Bukoba mh Albert Mnali
Enyewe imekaa kama tukio la kupangwa,, ngoja tuoneamedhibiti mambo mengi Songw,e jamii inaanza kumchafua inakuaje Dc akupige bila sababu au kuna namna ya kutengenezwa hapa
Sasa ndo kashampiga na hatumbuliwi. Hutaki kufa[emoji23][emoji23][emoji23]NDIO
Simon Simalenga alikuwa Afisa Uhusiano wa Clouds Media acha ubishiHapana yule yuko Singida
[emoji1787] Kwani Hadi Umtaje Muhogo Mchungu?Tomaso
Huyu DC alikuwa muigizaji wa Kaole na akina Muhogo Mchungu