Mmmhh, yaani akaenda kulala badala ya kwenda hospitali au kuomba msaada wa dawa za maumivu? Na hili bandage alifungwa kwa ajili gani? Alivuja damu? Mbona haoneshi kuvimba! Sitetei ukatili wa aina yoyote ile ila...Something is wrong somewhere!Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Simon Simalenga amempiga na kumuumiza jicho mwanafunzi wa kike.
View attachment 2437142
huyu ni yule alikuwaga clouds fm?Anguko la 40 yake
Yaah! There is something fishy behind this cooked stuff.Mmmhh, yaani akaenda kulala badala ya kwenda hospitali au kuomba msaada wa dawa za maumivu? Na hili bandage alifungwa kwa ajili gani? Alivuja damu? Mbona haoneshi kuvimba! Sitetei ukatili wa aina yoyote ile ila...Something is wrong somewhere!
Kumuonya lazima kumshika mkono? Naona DC alimshika huyo mtoto tako naye alivyohamaki ndiyo akamzaba makofi "kumtoa wenge"
Yaah! There is something fishy behind this cooked stuff.
Hilo bandage kubwa lkn mwenyewe anaongea uso mkavu na haoneshi kuugulia maumivu.
Kujichukulia sheria mkononi kwa mtoto hasa wa kikie sio poa. jamaa wamehakikisha wanamwekea bandaji kubwa hasa.Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Simon Simalenga amempiga na kumuumiza jicho mwanafunzi wa kike.
View attachment 2437142
Alimshika Mkono wakati anataka kufanya nini?
Walionana ili iwe nini?Hamna kitu hapo!
Huyo binti kama kuna neno la kweli amesema basi ni kuhusu kuonana na mkuu wa wilaya, mengine yote kutokana na vile anavyoongea na lugha yake ya mwili inaonesha anadanganya na yupo kwenye kazi maalumu.
Duh! Kweli sauti ya wengi ni sauti ya mungu.Simon Simalenga, hujifunzi kwa Sabaya? Kila lenye mwanzo lina mwisho
Habari zenu ndugu zangu. Kuna huyu mkuu wa wilaya ya Songwe ambaye aliwahi kuwa mwanamuziki anaitwa Simon SIMALENGA. Alifika hapa Songwe kwa mbwembwe na utoto mwingi tukadhani hajazoea cheo akizoea atajifunza lakini wapi. Alifika hapa akaifungia bar Moja pale mkwajuni bila sababu kisa tu...www.jamiiforums.com
Wanasheria wako wapi? Huyu amshitaki huyu mbwa! asiye na adabu!Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Simon Simalenga amempiga na kumuumiza jicho mwanafunzi wa kike.
View attachment 2437142
Na hii ni baada ya kumalizika kwa siku `16 za kupinga ukatili wa kijinsia.Kwisha habari yake. Yaani hapo hakuna namna DC atachomoka.
Knyoko wwee badala ya kumtetea huyo mtoto unakunya tu uharo ng'e ng'e ng'e video mavi yako!Leteni video akipigwa ngumi, nje na hapo ni porojo, acheni uchochezi