Ni uchovu baada ya Derby. Energy iko chini. Ila Mukwala hawezi kuwa chaguo la kwanza pale mbele, labda chaguo la pili. Mo hana budi kurudi sokoni alete kifaa hasa.Sioni Simba iliyotarajiwa, hawa Coast wanatupeleka mputa sana, sipati picha tutakapokutana na Azam hali itakuwaje
nataka niongozwe na mahaba.🚮 unaongea kama kichaa.
Mental health problem is realSiyo wachezaji wa kiwango na matamanio ya Simba SC. Wana makosa ya kitoto sana na hawana maajabu uwanjani
Ni takataka kabisa
Kwa namna kipindi Cha kwanza walivyo cheza Simba hii ya kipindi Cha kwanza Ina achwa mbali Sana na Simba iliyo malizia msimu bila wachezaji wake nyota wengi kutokuwepo uwanjani.Amekalia ukuni aka mjegeje. Siyo bure
Kwa hiyo Coastal Union mnaiona kama timu ya UMISETA vile?? Yaani mlitaka sasa hivi goals ziwe 5-0 ?? Mashabiki wa nailoni nyinyi. Pita kuleUbora wa wachezaji unapimwa na uvhache wa makosa ya kitoto. Tatizo unaendeshwa na mahaba ya timu. Simba ni kimeo
Hivi tunaangalia gemu tofauti? Nilichokiona coast wamebanwa kila angle, isipokuwa Simba inashindwa kumalizia eneo la mwisho la coast. Nasapoti mukwala hatufai, ahoua na Debora wajirekebishe.Sioni Simba iliyotarajiwa, hawa Coast wanatupeleka mputa sana, sipati picha tutakapokutana na Azam hali itakuwaje
Tulitegemea kuona kitu bora zaidi ya kile kilichofanywa na Azam. Simba kuwa na kagoli kamoja ,tena ka papatu papatu dhidi ya timu dhaifu kama Coastal union, ni aibu kubwa sana.Wenye kukosa uelewa wa mpira ndiyo pekee wanaweza kuidhaeau coast na kuandika "hata coast"
Coastal wamefanya makosa mengi sana, pasi zao zimekuwa mbovu, beki zao zinakosa umakini lakini Simba imeshindwa kutumia udhaifu wa CoastalWenye kukosa uelewa wa mpira ndiyo pekee wanaweza kuidhaeau coast na kuandika "hata coast"
Yanga hawana makosa ya kijinga namna hiiHamtutoi kwenye mstari...
Nipe timu inayofanya vzr bila makosa....
Pyeeeerr
Mkwala kafika mara 2 yeye na goli kipa lkn hafungi, huyo Ahoua na Debora wanapiga piga hovyo tu mipira kuelekea goliniNipe makosa gani?? Unaona costal wanavyojaa pale golini??
Kashangilie Yanga yako basi...Yanga hawana makosa ya kijinga namna hii
Kijana wenu Mutale (SGR);afundishwe awe ana achia pasi kwa haraka, Hakuna haja ya kukimbia na mpira.Simba watarekebisha ni suala la muda kidogo na pia kocha awe mwepesi kuchezesha wachezaji kwa viwango na kutosahau maeneo yao katika uchezaji. Kila la kheri Simba
Huyo Mkwala kila akiwa anapiga mpira kuna mtu anamuintarapt kwa kumgusa mguu...hebu angalia mpira acha mihemuko...angalia vzr pale kwanini alikosa magoli...Mkwala kafika mara 2 yeye na goli kipa lkn hafungi, huyo Ahoua na Debora wanapiga piga hovyo tu mipira kuelekea golini
Tunajadili ubovu wa Simba iliyoko uwanjani muda huu. Waliosajiliwa ni wachovu kuliko walioondoka. Tajiri kavurunda, alipaswa kumtafuta kocha kwanza ndipo usajili wa wachezaji ufanyike.Kashangilie Yanga yako basi...