Mkwala, Debora na Ahoua ni wabovu, waondoke.

Timu inacheza vizuri lakini haina malengo. Malengo ya timu ni kushinda. Sielewi kivipi mnashambulia halafu mnapoozesha move.
 
Simba timu ya siasa na propaganda utajikuta mashabiki wanajipa moyo timu haina muunganiko
Mashambiki maandazi wamejazana Simba, hawataki kusikia udhaifu wa wachezaji wao ukiongelewa. Ni traabu kweli kweli
 
Sijui kwakweli kama unaangalia mpira...ukiwa na watu kama nyie kumi kwny maaumuzi mtafumua kila uchwao kikosi...
 
Mimi ni mchambuzi. Nachambua ubovu wa wachezaji wa Simba. Unaona jinsi Coastal union wanavyoikosakosa Simba?? Hata kocha kaiona u ovu wa mkwala na Ahoua, amewatoa.
Sidhani kama ni ubovu. No irresponsive ndio inayoonekana. Maturity flani hivi ya kutaka kupata kitu unachokitaka.
 
Ahahaaaaaa
Mzee yutrasaundii upo
 
Mashambiki maandazi wamejazana Simba, hawataki kusikia udhaifu wa wachezaji wao ukiongelewa. Ni traabu kweli kweli
Nilishangaa juz uwanjan mechi imeisha tumepigwa na yanga kama kawaida et mashabiki wanapiga makofi akaja yule comedian akawa nae anasifia wachezaji mashabiki wa simba n zero sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…