Mkwara tu, Biden abadili gia angani, Mbona wanapigika?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Iran amekuwa wazi ya Israeli ni uovu usiokubalika na wao kama nchi hawatakuwa watazamaji.

Israel kaamuriwa na baba yake, hakuna kuivamia Gaza isije kuwa taabu Bure! Aachie maji na mafuta haraka kwenda Gaza. Kisha wote wajipange upya. Yasije yakawa makubwa, maana madogo yana nafuu.

Kwamba Blinken aliyekuwa kadai wataiunga Israel kwa lolote, inabidi Sasa kuyameza matapishi yake.

Hali ya uwanja imebadilika, gia lazima kubadilika. Nani anataka kufa?

Kwa hakika hii ni kwa mkwara tu wa Iran sembuse ingekuwa makombora mawili matatu ya maana? Mbona manduli hawa wanapigika? Mbona mwisho wa uvamizi wa Israel ulikuwa uwe huu?

Waarabu kwa ujinga wao kutotambua uwezo mkubwa wa nguvu ya idadi ya watu wao, ni tatizo kubwa zaidi kuliko la Israel kwa uvamizi.
 
Mnapenda kushabikia vita, unajadili maoni ya Iran utafikiri kuwa tayari ametatua tatizo....mwenye kumaliza ugomvi kati ya Palestine na Israel ndiye atakuwa anastahili kupewa pongezi siyo wapiga majungu yanayochochea mzozo zaidi.
 
Sishabikii vita ninashabikia amani. Amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga.

Wewe ndiyo bIla kujua unashabikia vita.
 
Iran amekuwa wazi ya Israeli ni uovu usiokubalika na wao kama nchi hawatakuwa watazamaji.

Israel kaamuriwa na baba yake, hakuna kuivamia Gaza isije kuwa taabu Bure! Aachie maji na mafuta haraka kwenda Gaza. Kisha wote wajipange upya. Yasije yakawa makubwa, maana madogo yana nafuu.

Kwamba Blinken aliyekuwa kadai wataiunga Israel kwa lolote, inabidi Sasa kuyameza matapishi yake.

Hali ya uwanja imebadilika, gia lazima kubadilika. Nani anataka kufa?

Kwa hakika hii ni kwa mkwara tu wa Iran sembuse ingekuwa makombora mawili matatu ya maana? Mbona manduli hawa wanapigika? Mbona mwisho wa uvamizi wa Israel ulikuwa uwe huu?

Waarabu kwa ujinga wao kutotambua uwezo mkubwa wa nguvu ya idadi ya watu wao, ni tatizo kubwa zaidi kuliko la Israel kwa uvamizi.
Nadhani ziara ya Blinken haikuwa na mafanikio toka siku ya kwanza kusema nimekuja hapa sio kama Secretary of state lakini kama myahudi( ni kweli ni myahudi). Mataifa ya waarabu nahisi wamemwambia hakuna guarantee vita vitaishia wapi sababu support za wananchi ni kubwa na serikali hazitaki machafuko. Hakuna vita ukavimaliza kwa masiku tu ni maafa makubwa yanakuja na vita hata USA na washirika wake na nguvu zao zote lakini Afghanstan ikawashinda, Syria kumtoa to Assad wakashindwa. Vita vimebadilika siku hizi drones tu zinaleta maafa kuliko vifaru na hizi silaha vikundi vyote wanamiliki. Kiujumla mbinu za kivita zimebadilka hata asiye kuwa na nguvu anaweza kukuumiza. Kumbuka huwezi kushinda vita kwa kupiga mabomu tu.
 
Fukara anashida sana.
Ukimpiga anapiga yowe ANAONEWA..
Ukiacha kumpiga anajigamba UNAMUOGOPA
 
Kuishi kwa haki na amani mbona ni rahisi tu. Ni jambo la kheri kuwa dhwalimu mambo yamemgeuka.

Waarabu wangekuwa wajinga mno kumsikiliza na kumkubalia Blinken.
 
Fukara anashida sana.
Ukimpiga anapiga yowe ANAONEWA..
Ukiacha kumpiga anajigamba UNAMUOGOPA

Kumbe imekuwa je sasa si aendelee kumpiga kwa sababu atasema unamwogopa na kumbe humwogopi?

Kulikoni kughairi baada tu ya Iran kukomaa?
 
Back
Top Bottom