Mkwara tu, Biden abadili gia angani, Mbona wanapigika?

Siku zote kiburi ndo huwafanya wanadamu waangamie. Firauni aliangamia kwa kiburi na mwingine yeyote awaye, akifanya kiburi hatosalimika. Ni swala la muda tu.
 
Siku zote kiburi ndo huwafanya wanadamu waangamie. Firauni aliangamia kwa kiburi na mwingine yeyote awaye, akifanya kiburi hatosalimika. Ni swala la muda tu.

Na ikawe hivyo, Ya-Rabi twakuomba.
 
In short mkuu unashabikia upumbavuuu11
 
In short mkuu unashabikia upumbavuuu11

Ulishabikia hakuna corona ikapita shujaa wako juu kwa juu. Ukashabikia chanjo ni upumbavu, waliogundua wamepewa zawadi ya Nobeli.

Bado hujakoma?

Lipi ulishabikia likawa la maana?

Zingatia sishabikii lolote hapa, ila kwangu haki sawa kwa wote ni jambo la msingi hata kama siyo mwana CUF.

Habari ndiyo hiyo ndugu mburula, Lumumba pale.
 
Hapana upanga wa HAMAS hsutoshi ndiyo maana yahudi.alikuwa akijomwambafy. Sasa wamesikika wenye panga zao. Tayari yeye na bwana wake waki ndembe ndembe!
Uzuri Iran na kajibwa kanakobwekea mbaaaaaali akasigei. Miaka zaidi ya ishirini kanabweka nafuta Israel
 
Iran mbona wanachelewa, waende wapigane kwani wanamuomba nani ruhusa? Wahusika Hamas Iran inajitanua, kwani Hamas ni uislamu? Waache wapigane wenyewe, na ikiwa wanaona wanumia sana wende tu wasijisemeshe semeshe kwani wanamuomba nani ruhusa na vita ipo inapiganwa? Hapa hakuna cha kuvua shati wala kukunja suruali wao waende tu wapigane, tunataka vidume vyote viende tuone tofauti ya wavulana na wanaume.
 
Uzuri Iran na kajibwa kanakobwekea mbaaaaaali akasigei. Miaka zaidi ya ishirini kanabweka nafuta Israel

Suala so kajibwa au lijibwa. Kufuta Israel SI sahihi ila kukomaa kuwa Israel anachofanya so sahihi, hapo Iran wako vizuri.

Kama kusema waenda huku huendi ni ujibwa, basi hata Israel kabweka Dana na u ground offensive. Halafu kumbe imekuwa je?
 

Israel naye mbona anachelewa? Kwani hadi leo karibu wiki ya pili sasa ground offensive imekuwa je?

Haki ni haki hata ya mpalestina ni haki. Hatuwezi kujinasibu kupigania haki zetu kama za wengine tunadhani ni upuuzi.

Asimamaye na Palestina au Ukraine Kwa hakika anayo nafasi yake hata kwa Mola.
 
vipi uko dawa imepenya au bado mnaomboleza 500 walio tangulizwa kwa mabikra 72
 
vipi uko dawa imepenya au bado mnaomboleza 500 walio tangulizwa kwa mabikra 72

Kwamba mwizi wa ardhi ya watu ana mashabiki kama wa Simba na Yanga?



Zingatia hii siyo vita ya kidini ndugu.

Israel: approximately 73.8 percent of the population is Jewish, 18 percent Muslim, 1.9 percent Christian, and 1.6 percent Druze.

Kingine kuonyesha ulivyo hollow % kubwa ya wahanga hao ni wanawake na watoto. Hoja yako isiyo na kichwa wala miguu inasimama wapi hapo?

Kubwabwaja bwabwaja tu ndugu kwa kuwa una bando?

Kazi kweli kweli.
 
Sishabikii vita ninashabikia amani. Amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga.

Wewe ndiyo bIla kujua unashabikia vita.
Unataka wafe watu wangapi ndipo uone haja ya kuwepo suluhu. Kama Biden amitaka Israel ikomeshe vita ni kwasababu za kibinadamu tu. Hafanyi hayo kwa kuiogopa Iran. Tangu damu imeanza kumwagika Gaza si Iran wala nchi yoyote ya kiislam iliyokwenda Gaza kuwasaidia Palestine,wote wanabwekea ndani kama mbwa koko. Fahamu hilo!
 
Uko sahihi,,mtanange kati ya Russia na Ukraine umedhihirisha kwamba mabomu pekee hayashindi vita.
 
Tena hao Iran ndiyo majibwa koko,makelele mengi vitendo sifuri kabisa.
 

Unasema wapi nataka afe mtu?

Unajua kuwa amani haipatikani ila Kwa ncha ya upanga? Unajua kuwa peace is the result of readiness to go to war?

Unajua kuwa matumizi kwenye ulinzi kwa nchi yote (hara Tanzania tu) ingemaliza umaskini?

Unajua kuwa matumizi ya kwenye ulinzi duniani yangefuta umaskini wote?

Wadhani wanaojiandaa kwenda vitani wote wanaotaka kwenda kuuwa watu?

Ni kama nakuona kwenye Uzi huu:

Tutambuane: Wenye ujasili au sababu za kumkabili CCM
 
Hahaha mimi sisimamii haki yoyote, mi nataka mwenye hasira,uchungu, sijui maumivu naye akajitose apigane na huyo anayetaka kupigana naye. Wameamua wenyewe kutwangana nyie mnatafuta nafasi kwa mola ya nini.
Russia wachokozi, na Hamas(Palestina) wachokozi, mkiwa vitani maumivu hayaendi kwa mchokozi au mchokozwa peke yake. Wote mtapoteza na kuumia vile vile.
Kulikuwa na njia nyingine za kusuluhisha migogoro lakini wao waliamua kutumia vita, sasa huruma za nini?
Huku nawapongeza Israel kama ninavyowapongeza Ukraine, haya mataifa mawili yana jitetea. Ila Hama na Russia shauri yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…