Labda tusaidiane kidogo kuweka rekodi sawa,kwanza na declare sina interest na dini yoyote zilizoletwa na wageni, haya turudi kwenye mada sasa, ni hivi katika suala la biashara ya utumwa,uislamu au dini ya kiislamu imehararishwa hadi kwenye kitabu chao,na waliochangia kukomesha biashara ya utumwa na wamissionari wa kikristo,waislamu hawakupendezwa na hili na pamoja na kwamba ilishapigwa marufuku waarabu na waarabu weusi waliendelea na biashara hii kinyemela...utumwa umemdhalilisha sana mtu mweusi kiasi kwamba leo hii tuko hivi kwa sababu ya utumwa pamoja na kwamba kuna sababu zingine zimechangia.