Huamini au hujui mkuu? maana kuna thin line between ignorance and stupidityUnajua umeandika urojo, elimu ya anga naona imekupiga chenga sana bila kujijua unasema nn, Eti kutoka nje ya mfumo wa jua, you meant outside of our solar system? Kuwa makini ukiandika kitu huku, la sivyo nakuweka kundi moja na Std 7 Dr feki Msukuma
Mkuu ungetupa source ya hizi habari zako ILI tujifunze zaidi.Wapi inakataa. Na si kweli kuwa waislamu inawauma watu kwenda mwezini.Muhimu waislamu hawapendi uongo wa aina yoyote ile.
Kama huelewi uislamu ndio umewaelekeza watu waende mbali kuliko mwezini kama wataweza.Hakuna dini nyengine yenye maelekezo kama hayo.Hata habari za mbingu na mgawanyo wa anga upo kwa waislamu pekee.
Zaidi ya hapo elimu ya anga ni fani tunayoweza kusema imechukuliwa kwa waislamu kama hujui iulize Urusi. Waislamu ndio waliokwisha kupiga hatua kwa mahesabu makali ya tanjent na cosine na mengine makali makali hata Amerika haijajulikana ipo wapi. Waislamu ndio waliotoa maelekezo kuwa upande ule lazima kuna watu wanakaa hiyo ni miaka mingi baada ya dunia kupiga hatua kubwa za kimaendeleo,
NASA wako na chombo nje ya solar system na kinazid kutokomea sembuse kamwezi tu kapo hapo jirani , mwenye legitimacy ya kupinga hili ni mrusi maana walikua kwa same race kipindi hicho na mrusi ndo alikua wakwanza kushusha chombo pale lakin mmarekan akawa wakwanza kushusha binadamu pale kipindi hicho hayo yanatendeka kuna baadhi ya jamii apa bongo zilikua bado zinatumia ulindi na ulimbombo kuwasha moto sishangai mkibishia hiliKwa hili Elon Musk amekuwa mwiba kwa NASA.na kujua kuwa NASA waliidanganya dunia utaona watakavyopiga kimya kuhusu kauli ya kuwafedhehesha ya Elon Musk.
Kama ingekuwa hawakutudanganya basi wangeingia kwenye mpambano mpaka mahakamani na Elon Musk
Dalili kuwa elimu ya NASA ni duni sana kuhusu teknolojia za anga angalia mpaka leo wanabebwa kwenda na kurudi ISS ambayo wala haijajengwa karibu sana na mwezi.
hakuna cha ajabu hapo na ni mipango ya Mungu hiyo binadamu apeleke vyombo mbali akashuhudia utukufu wake.Elewa kwamba kufikia utaalamu huo wamarekani na warusi wamechota kutoka kwa waislamu.Muhimu ni kuwa mwaka 1969 hakuna mtu aliyefika mwezini.Tulidanganywa.NASA wako na chombo nje ya solar system na kinazid kutokomea sembuse kamwezi tu kapo hapo jirani , mwenye legitimacy ya kupinga hili ni mrusi maana walikua kwa same race kipindi hicho na mrusi ndo alikua wakwanza kushusha chombo pale lakin mmarekan akawa wakwanza kushusha binadamu pale kipindi hicho hayo yanatendeka kuna baadhi ya jamii apa bongo zilikua bado zinatumia ulindi na ulimbombo kuwasha moto sishangai mkibishia hili
Waislam gani? π€£ Embu wataje. Mbona hawakwenda wao? Upo serious braza?hakuna cha ajabu hapo na ni mipango ya Mungu hiyo binadamu apeleke vyombo mbali akashuhudia utukufu wake.Elewa kwamba kufikia utaalamu huo wamarekani na warusi wamechota kutoka kwa waislamu.Muhimu ni kuwa mwaka 1969 hakuna mtu aliyefika mwezini.Tulidanganywa.
Daaah boss natamani kujua hao waislamu japo na mimi nijifunze. Kwanini hawakwenda waislamu mkuu wakati marekani na urusi wametoa maarifa KWA waislamu? Misingi ipi inakufanya useme hakuna aliyefika mwezini? Ungetupa sababu na vyanzo vya habari YAKO tuendelee kujifunza.hakuna cha ajabu hapo na ni mipango ya Mungu hiyo binadamu apeleke vyombo mbali akashuhudia utukufu wake.Elewa kwamba kufikia utaalamu huo wamarekani na warusi wamechota kutoka kwa waislamu.Muhimu ni kuwa mwaka 1969 hakuna mtu aliyefika mwezini.Tulidanganywa.
Mkuu ungetupa source ya hizi habari zako ILI tujifunze zaidi.
Waislamu ni walimu wa mambo ya anga.Mwalimu si lazima aingie katika fani awe daktari au vyenginevyo.Hata kocha wa mpira si lazima awe mchezaji.Waislam gani? π€£ Embu wataje. Mbona hawakwenda wao? Upo serious braza?
Waislamu ni walimu wa mambo ya anga.Mwalimu si lazima aingie katika fani awe daktari au vyenginevyo.Hata kocha wa mpira si lazima awe mchezaji.
Ukitaka kujua zaidi kuhusu uongo huo angalia hii video ya zamani sana.Daaah boss natamani kujua hao waislamu japo na mimi nijifunze. Kwanini hawakwenda waislamu mkuu wakati marekani na urusi wametoa maarifa KWA waislamu? Misingi ipi inakufanya useme hakuna aliyefika mwezini? Ungetupa sababu na vyanzo vya habari YAKO tuendelee kujifunza.
Ukitaka kujua zaidi kuhusu uongo huo angalia hii video ya zamani sana.
Acha conspiracy theories, tutajie hao walimu wa anga wa kiislam hapa. Otherwise unaishi kwenye dunia nyingine.Ukitaka kujua zaidi kuhusu uongo huo angalia hii video ya zamani sana.
Alafu nasikia Armstrong huyu huyu ambaye tunaambiwa hakutimba mwezini , kwamba apollo ilivotua tu mwezin muhuni akasikia adhana uko uko mwezin aliens wanaadhin πππ mwamba akaslimu hii story waamini wengi wameipokea kwa mikono miwili nachekaga sanahakuna cha ajabu hapo na ni mipango ya Mungu hiyo binadamu apeleke vyombo mbali akashuhudia utukufu wake.Elewa kwamba kufikia utaalamu huo wamarekani na warusi wamechota kutoka kwa waislamu.Muhimu ni kuwa mwaka 1969 hakuna mtu aliyefika mwezini.Tulidanganywa.
π€£πππDaaah achana mkuu.Alafu nasikia Armstrong huyu huyu ambaye tunaambiwa hakutimba mwezini , kwamba apollo ilivotua tu mwezin muhuni akasikia adhana uko uko mwezin aliens wanaadhin πππ mwamba akaslimu hii story waamini wengi wameipokea kwa mikono miwili nachekaga sana
kumtaja Armstrong na adhana na kusilimu ni njia ya kuwazuga waislamu.Alafu nasikia Armstrong huyu huyu ambaye tunaambiwa hakutimba mwezini , kwamba apollo ilivotua tu mwezin muhuni akasikia adhana uko uko mwezin aliens wanaadhin πππ mwamba akaslimu hii story waamini wengi wameipokea kwa mikono miwili nachekaga sana
Ni wao lakin ndo walioitunga hio hadithkumtaja Armstrong na adhana na kusilimu ni njia ya kuwazuga waislamu.
Nilikutana na chizi kama wewe huko kwenye thread inayo husu kuzama kwa jua kasha jirekebisha. Sasa hangaikaNa jua linazama kwenye tope jeusi au sio? Alafu hayo mahesabu yalikuwapo kabla ya uislam. 630AD juzi tu.
Mmoja wapo anaitwa Albiruni.Ili ujue namna ya kurusha chombo angani na kukielekeza eneo maalum inabidi ujuwe kwa usahihi hesabu za vipenyo (diametes & radius).Huyu ndiye mtu wa mwanzo kukokotoa kipenyo cha dunia kwa usahihi mpaka unaojulikana mpaka leo .Ni sehemu ndogo sana ya kazi zake nyingi za maumbile ya angani.Urusi kwa kujua mchango wake walimtungia sinema ndefu ya kueleza maisha yake.Acha conspiracy theories, tutajie hao walimu wa anga wa kiislam hapa. Otherwise unaishi kwenye dunia nyingine.
Una akili timamu?Mwaka 1969 Neil Armstrong binadamu wa kwanza kuweka mguu wake wa kushoto katika ardhi ya mwezi.Voyager 2 chombo kilochosafiri umbali mrefu zaidi hadi kutoka nje ya mfumo wa jua na kupiga selfie ya solar system baada ya kuwa safarini kwa zaidi ya miaka 40!