ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 4,792
- 11,295
Huamini au hujui mkuu? maana kuna thin line between ignorance and stupidityUnajua umeandika urojo, elimu ya anga naona imekupiga chenga sana bila kujijua unasema nn, Eti kutoka nje ya mfumo wa jua, you meant outside of our solar system? Kuwa makini ukiandika kitu huku, la sivyo nakuweka kundi moja na Std 7 Dr feki Msukuma