Helios 2 chombo chenye kasi zaidi kuwahi kuundwa kikiwa na mwendokasi wa 252,800 km/h kiliundwa mahsusi kuchunguza mfumo wa jua.Voyager 2 kilifanikiwa kupita karibu kabisa na sayari ya Jupiter na kupiga picha, pamoja na picha ya dunia nje ya mfumo wa jua maarufu kama pale blue dot.Science never lie, Kama yote haya yamewezekana mpaka kutoka nje ya mfumo wa jua milions of kilometres, sembuse hapo mwezini iwe uongo?
Ng'hana du. Leo tunaambiwa eti sayari ya Pluto haionekani tena. Eti zimebaki sayari nane tu.
Tunalishwa matango pori sana
Inasikitisha sana kuona watu na mataifa yaliyoendelea yanazungumza future technology sisi bado tupo busy kuhoji mambo ya 1969! Watu wanatafiti mambo ya dark matters, dual particle relations itakayomwezesha binadamu ku co-exist na kuteleport, Lakini bado kuna pimbi za 3rd world country zinahoji mambo ambayo tulishayaacha 1969! Ni sawa na kuturudisha katika zama za simu za kuzungusha wakati tupo katika smart-world!
Acha uongo hahahahahah..miaka 40?Mwaka 1969 Neil Armstrong binadamu wa kwanza kuweka mguu wake wa kushoto katika ardhi ya mwezi.Voyager 2 chombo kilochosafiri umbali mrefu zaidi hadi kutoka nje ya mfumo wa jua na kupiga selfie ya solar system baada ya kuwa safarini kwa zaidi ya miaka 40!
Namkubali sana Elon na Space X. Lakini bado sana hajaifikia NASA. Unadhani NASA imeanza lini na ineshafanya missions ngapi? Tena zingine kubwa kuliko hata hiyo ya kwenda mwezini kabla ya 1969! Nadhani Elon yupo kibiashara zaidi.
😆😆☺️ Wanaenda kuweka mbuga huko km Qatar au sio, palikua Jangwa jamaa wakajenga mpaka pamekua townBaada ya kukamilika na matayarisho madhumuni ni kujenga mji maalum wa kitalii huko mwezini.
Kwa hio wale waliokwenda walikua wanakanyaga wapi Mars?Marekan alidanganya uma, Hilo liko wazi.
Hamna mwanadam alowah kukanyaga mwezin.
Anataka kurudi kwao nini mbon km simuelewi elewi huyu alien?"I think we should build a city on the Moon and on Mars."
Umeokotwa na hao wazungu ukaokoteka na wewe unataka kuokota wengine, hata picha ya wanasayansi kwenda mwezini ni ya kufoji waliweka bendera ya marekani inaonekana inapepea na huko hakuna upepo wa kuipepea bendera. Ndiyo sembuse kufika huko JupiterHelios 2 chombo chenye kasi zaidi kuwahi kuundwa kikiwa na mwendokasi wa 252,800 km/h kiliundwa mahsusi kuchunguza mfumo wa jua.Voyager 2 kilifanikiwa kupita karibu kabisa na sayari ya Jupiter na kupiga picha, pamoja na picha ya dunia nje ya mfumo wa jua maarufu kama pale blue dot.Science never lie, Kama yote haya yamewezekana mpaka kutoka nje ya mfumo wa jua milions of kilometres, sembuse hapo mwezini iwe uongo?
Wapi walisema hivyo weka basi angalau rejea ya taarifa yako tujue kama wewe sio roporoponilikuwa mpenzi sasa wa mambo ya anga lakin NASA walivo sema wameiona yelusalemu kwenye space heri mfia dini wenda wavo sema ni flat si flat tunayo maanisha ss ni disc ya milkway.
Taarifa sahihi ya space zipo lakin sio kutoka NASA, NASA NI WAHUNI
Siwezi kuandika jambo kubwa kama hili kwa akili yangu bila kumsoma Ellon Musk.Wewe tu ni mvivu wa kusoma maneno yake wachangiaji karibu wote wameyaona.Elon hata hajasema huo upambavu huyu mleta uzi alioundika na anaotaka kuaminisha watu.
Hii ni fake news, ipuuzwe.
kuioata tena ni ngumu lakin FORUM ipo tafuta kama huwez kausha maana NASA kwangu sio takataka tuWapi walisema hivyo weka basi angalau rejea ya taarifa yako tujue kama wewe sio roporopo
Unamaanisha nini unaposema kutoka nje ya mfumo wa jua? Kama kiliwesa kupiga picha ya jupiter je ? Jupiter ipo mfumo wa jua lipi?Helios 2 chombo chenye kasi zaidi kuwahi kuundwa kikiwa na mwendokasi wa 252,800 km/h kiliundwa mahsusi kuchunguza mfumo wa jua.Voyager 2 kilifanikiwa kupita karibu kabisa na sayari ya Jupiter na kupiga picha, pamoja na picha ya dunia nje ya mfumo wa jua maarufu kama pale blue dot.Science never lie, Kama yote haya yamewezekana mpaka kutoka nje ya mfumo wa jua milions of kilometres, sembuse hapo mwezini iwe uongo?
Wewe unataka picha ya umbo halisi la dunia.Zipo video kabisa unaiona dunia inavyojibingirisha angani,Kwa hizi NASA wanazo nyingi.Na hata ukiingia ISS unaiona dunia. ANGALIA HAPA.MTU MWENYE PICHA HALISI YA UMBO LA DUNIA KWA NJEE NA SAYARI ZINGINE AWEKE HAPA
Ajabu ni kwamba hata wewe usiye kariri unatumia kifaa na teknolojia ya anayekaririsha (Mzungu)Umekariri matakataka mengi sana ambayo hayakusaidii
kuioata tena ni ngumu lakin FORUM ipo tafuta kama huwez kausha maana NASA kwangu sio takatakahakuna kitu
Umeshindwa kuweka rejea ya ulichosema ulitaka kutupuga changa la macho ,humu ni Great thinkers ukija njoo kamili kamilikuioata tena ni ngumu lakin FORUM ipo tafuta kama huwez kausha maana NASA kwangu sio takataka tu