Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Uko sahihi 100%
Helios 2 chombo chenye kasi zaidi kuwahi kuundwa kikiwa na mwendokasi wa 252,800 km/h kiliundwa mahsusi kuchunguza mfumo wa jua.Voyager 2 kilifanikiwa kupita karibu kabisa na sayari ya Jupiter na kupiga picha, pamoja na picha ya dunia nje ya mfumo wa jua maarufu kama pale blue dot.Science never lie, Kama yote haya yamewezekana mpaka kutoka nje ya mfumo wa jua milions of kilometres, sembuse hapo mwezini iwe uongo?