Mlango umefungwa hakujawahi kuwepo na safari ya mwezini

Mlango umefungwa hakujawahi kuwepo na safari ya mwezini

Uko sahihi 100%
Helios 2 chombo chenye kasi zaidi kuwahi kuundwa kikiwa na mwendokasi wa 252,800 km/h kiliundwa mahsusi kuchunguza mfumo wa jua.Voyager 2 kilifanikiwa kupita karibu kabisa na sayari ya Jupiter na kupiga picha, pamoja na picha ya dunia nje ya mfumo wa jua maarufu kama pale blue dot.Science never lie, Kama yote haya yamewezekana mpaka kutoka nje ya mfumo wa jua milions of kilometres, sembuse hapo mwezini iwe uongo?
 
Mnalishwa na nani?
Tumieni wagaganga wenu wa jadi kuchunguza anga na nyie.
Ng'hana du. Leo tunaambiwa eti sayari ya Pluto haionekani tena. Eti zimebaki sayari nane tu.

Tunalishwa matango pori sana
 
Hakika Inasikitisha sana kuzungukwa na wajinga wengi kiasi hichi, safari ya kujikomboa kimaendeleo ukiwa na watu wengi kama hawa ni ngumu sana.
Inasikitisha sana kuona watu na mataifa yaliyoendelea yanazungumza future technology sisi bado tupo busy kuhoji mambo ya 1969! Watu wanatafiti mambo ya dark matters, dual particle relations itakayomwezesha binadamu ku co-exist na kuteleport, Lakini bado kuna pimbi za 3rd world country zinahoji mambo ambayo tulishayaacha 1969! Ni sawa na kuturudisha katika zama za simu za kuzungusha wakati tupo katika smart-world!
 
Weee
Mwaka 1969 Neil Armstrong binadamu wa kwanza kuweka mguu wake wa kushoto katika ardhi ya mwezi.Voyager 2 chombo kilochosafiri umbali mrefu zaidi hadi kutoka nje ya mfumo wa jua na kupiga selfie ya solar system baada ya kuwa safarini kwa zaidi ya miaka 40!
Acha uongo hahahahahah..miaka 40?
 
Elon hata hajasema huo upambavu huyu mleta uzi alioundika na anaotaka kuaminisha watu.
Hii ni fake news, ipuuzwe.
Namkubali sana Elon na Space X. Lakini bado sana hajaifikia NASA. Unadhani NASA imeanza lini na ineshafanya missions ngapi? Tena zingine kubwa kuliko hata hiyo ya kwenda mwezini kabla ya 1969! Nadhani Elon yupo kibiashara zaidi.
 
Baada ya kukamilika na matayarisho madhumuni ni kujenga mji maalum wa kitalii huko mwezini.
😆😆☺️ Wanaenda kuweka mbuga huko km Qatar au sio, palikua Jangwa jamaa wakajenga mpaka pamekua town
 
Helios 2 chombo chenye kasi zaidi kuwahi kuundwa kikiwa na mwendokasi wa 252,800 km/h kiliundwa mahsusi kuchunguza mfumo wa jua.Voyager 2 kilifanikiwa kupita karibu kabisa na sayari ya Jupiter na kupiga picha, pamoja na picha ya dunia nje ya mfumo wa jua maarufu kama pale blue dot.Science never lie, Kama yote haya yamewezekana mpaka kutoka nje ya mfumo wa jua milions of kilometres, sembuse hapo mwezini iwe uongo?
Umeokotwa na hao wazungu ukaokoteka na wewe unataka kuokota wengine, hata picha ya wanasayansi kwenda mwezini ni ya kufoji waliweka bendera ya marekani inaonekana inapepea na huko hakuna upepo wa kuipepea bendera. Ndiyo sembuse kufika huko Jupiter
 
MTU MWENYE PICHA HALISI YA UMBO LA DUNIA KWA NJEE NA SAYARI ZINGINE AWEKE HAPA
 
nilikuwa mpenzi sasa wa mambo ya anga lakin NASA walivo sema wameiona yelusalemu kwenye space heri mfia dini wenda wavo sema ni flat si flat tunayo maanisha ss ni disc ya milkway.

Taarifa sahihi ya space zipo lakin sio kutoka NASA, NASA NI WAHUNI
Wapi walisema hivyo weka basi angalau rejea ya taarifa yako tujue kama wewe sio roporopo
 
Elon hata hajasema huo upambavu huyu mleta uzi alioundika na anaotaka kuaminisha watu.
Hii ni fake news, ipuuzwe.
Siwezi kuandika jambo kubwa kama hili kwa akili yangu bila kumsoma Ellon Musk.Wewe tu ni mvivu wa kusoma maneno yake wachangiaji karibu wote wameyaona.
 
Wapi walisema hivyo weka basi angalau rejea ya taarifa yako tujue kama wewe sio roporopo
kuioata tena ni ngumu lakin FORUM ipo tafuta kama huwez kausha maana NASA kwangu sio takataka tu
 
Helios 2 chombo chenye kasi zaidi kuwahi kuundwa kikiwa na mwendokasi wa 252,800 km/h kiliundwa mahsusi kuchunguza mfumo wa jua.Voyager 2 kilifanikiwa kupita karibu kabisa na sayari ya Jupiter na kupiga picha, pamoja na picha ya dunia nje ya mfumo wa jua maarufu kama pale blue dot.Science never lie, Kama yote haya yamewezekana mpaka kutoka nje ya mfumo wa jua milions of kilometres, sembuse hapo mwezini iwe uongo?
Unamaanisha nini unaposema kutoka nje ya mfumo wa jua? Kama kiliwesa kupiga picha ya jupiter je ? Jupiter ipo mfumo wa jua lipi?
 
MTU MWENYE PICHA HALISI YA UMBO LA DUNIA KWA NJEE NA SAYARI ZINGINE AWEKE HAPA
Wewe unataka picha ya umbo halisi la dunia.Zipo video kabisa unaiona dunia inavyojibingirisha angani,Kwa hizi NASA wanazo nyingi.Na hata ukiingia ISS unaiona dunia. ANGALIA HAPA.
Hapo ni kutoka ISS lakini kila ukipanda juu zaidi na dunia unaiona ndogo na hatimae kutoka mbali sana zaidi ya mwezi ulipo ukiangalia angani duniaa ni ndogo kama unavyoziona nyota na yawezekana usiijue ni ipi .Jaribu kuona inavyokuwa HAPA
 
kuioata tena ni ngumu lakin FORUM ipo tafuta kama huwez kausha maana NASA kwangu sio takataka tu
Umeshindwa kuweka rejea ya ulichosema ulitaka kutupuga changa la macho ,humu ni Great thinkers ukija njoo kamili kamili
 
Back
Top Bottom