eddiewamapacha
Member
- Oct 6, 2019
- 14
- 7
Binaadam wakwanza ni Yuri Gagarin mwanajeshi na pia mwana anga wa Russia. Rashia ndio nchi ya kwanza kupeleka viumbe mwezini kabla ya binaadam. Walipekeka mbwa hakurudi, second time mbwa wawili streka na belka kwa majina, akafata Yuri Gagarin na chombo aina ya Vostok. Kisha wakafatia Marekeani sasa na Apollo yao.Mwaka 1969 Neil Armstrong binadamu wa kwanza kuweka mguu wake wa kushoto katika ardhi ya mwezi.Voyager 2 chombo kilochosafiri umbali mrefu zaidi hadi kutoka nje ya mfumo wa jua na kupiga selfie ya solar system baada ya kuwa safarini kwa zaidi ya miaka 40!