Mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje?

Mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje?

Mlango wa ndege kufunguliwa kwa nje,
tena kuvunjwa kwa kutumia kasia. Isitoshe ndege ilikuwa ndani ya maji.

Ni jinsi gani unaweza kupiga mlango mpaka ufunguke na ni ndani ya maji?

Mimi sikatai ila najaribu kuangalia ugumu uliopo.
 
Kwa Ndege zinazokuja futuhi inawezekana,
Jamaa alikuta kufuri la Solex na kitasa,
Ushahidi👇
20221111_204851.jpg

Akavunja👇
20221111_204954.jpg
 
Milango yote ya ndege inafunguliwa kwa nje, lkn ikiwa tu waliofunga nao wako nje ya hiyo ndege. Mfano wakienda kulala ile ndege inaachwa milango wazi??, Jibu hapana, wanafunguaje wao, jibu kuna namna ya kufungua.

Kwa ishu ya dogo, pale tumepangwa, ndege ikifungwa milango yake, na wahusika wakiwa ndani yake ni ngumu kwa mtu wa nje na asiyejua lolote kuhusu ndege akaweza kufungua.
 
Naomba kuuliza kwa wenye uelewa. Hivi mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje?
Achana na Dogo Majaliwa ni muongo ni tapeli na sirikali ya sisiem imeamua kupotezea mambo ya msingi kwa kumtumia Majaliwa- mlango wa Ndege kafungua Mhudumu wa Ndege na pia kwenye Ndege kulikuwa Giza after crash (lkn dogo anakuambia aliwasiliana na pilot kwa ishara).... Dogo ni muongo Mkubwa
 
Kwa kawaida chombo chochote cha Moto kikizama majini kunakuwa na external pressure ya maji,ambayo inasababisha milango ,madirisha yajilock.Mtu wa nje tu ndio atakfungua.
Najua milango ya dharula kwenye ndege, inakua pia nyuma karibu na mkia, Kwa majibu wa muhanga mmoja, andai, watu wa mbele, walifunikwa na maji ila pia alimuona mhudumu akihangaika kuufungua mlango wa dharula.
Ila hajui kama alifanikiwa.
 
Naomba kuuliza kwa wenye uelewa. Hivi mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje? Wajuzi wa mambo ya ndege tafadhali.
Nimejiuliza sana bila majibu. Nadhani wahudumu wa ndege walifanya jitihada za kufungua mlango ndipo shujaa Majaliwa akasaidia kuunasua ama kuuvuta kwa nje maana kwa jinsi ile ndege ilivyokuwa mlango usingefunguka vizuri wao wakiwa ndani.
 
Nimejiuliza sana bila majibu.
Nadhani wahudumu wa ndege walifanya jitihada za kufungua mlango ndipo shujaa Majaliwa akasaidia kuunasua ama kuuvuta kwa nje maana kwa jinsi ile ndege ilivyokuwa mlango usingefunguka vizuri wao wakiwa ndani.
Aliuvuta yy akiwa amesimama wapi pale??
 
Milango yote ya ndege inafunguliwa kwa nje, lkn ikiwa tu waliofunga nao wako nje ya hiyo ndege. Mfano wakienda kulala ile ndege inaachwa milango wazi??, Jibu hapana, wanafunguaje wao, jibu kuna namna ya kufungua.

Kwa ishu ya dogo, pale tumepangwa, ndege ikifungwa milango yake, na wahusika wakiwa ndani yake ni ngumu kwa mtu wa nje na asiyejua lolote kuhusu ndege akaweza kufungua.

Msitumie kanuni hii kwa kubisha scenario ya dogo,kumbuka ndege ilikuwa imeanguka imevunjika mifumo mingi kama inavyoonekana haikuwa katika hali yake ya kawaida.

Kama ingekuwa nzima ilikuwa ni uchizi hata kufikiria kuvunja tu achia mbali kuvunja na kasia,vioo vya ndege sio kama vya kabati la vyombo,ukizingatia ilikuwa ndani ya maji,hapo isingewezekana kabisa.

but tuzingatie ndege ilikuwa imecrash.
 
Back
Top Bottom